Ukiagiza gari Uingereza bei ni ndogo na ushuru kuliko kuagiza Japan. Hii imekaaje?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,610
8,736
Kuna group la Bwana Chriss Lukosi, bingwa wa minada na magari.

Huyu jamaa anajitaidi sana kutuweka kama ulaya na magari ya kisasa.

Sasa kwenye magroup kuna marange na madiscover ya UK unakuta gari umenunua milioni 14 na ushuru milioni 18.

Tena unaenda kuchukua kwake wala swala la nini wewe sio lako na range nzuri ya mwaka 2006 na kuendelea. Ila huku japan ni kwa jumla ya pesa uliyonunua ni kama umenunua gari mara mbili.

Bado na jiuliza au gari ikiwa kwenye kontena ushuru unashuka na ikija wazi ushuru unakuwa mkubwa.
 
Unajua neno "HUENDA"?

wewe ni ukoo wa shetani nilifikiri labda unatambua hata mawazo yangu
Unaona ni kutoka UK
Screenshot_20230228-140453_WhatsAppBusiness.jpg
Screenshot_20230228-140453_WhatsAppBusiness.jpg
 
Kuna group la Bwana Chriss Lukosi, bingwa wa minada na magari.

Huyu jamaa anajitaidi sana kutuweka kama ulaya na magari ya kisasa.

Sasa kwenye magroup kuna marange na madiscover ya UK unakuta gari umenunua milioni 14 na ushuru milioni 18.

Tena unaenda kuchukua kwake wala swala la nini wewe sio lako na range nzuri ya mwaka 2006 na kuendelea. Ila huku japan ni kwa jumla ya pesa uliyonunua ni kama umenunua gari mara mbili.

Bado na jiuliza au gari ikiwa kwenye kontena ushuru unashuka na ikija wazi ushuru unakuwa mkubwa.
Naomba hiyo whatsapp link kama unayo chief
Nimeona kweli jamaa anauza magari kwa bei nzuri sana ila wasi wasi wangu ni ubora wa magari yenyewe
 
Back
Top Bottom