Ukiachwa kubali matokeo

Nkashilingi

Member
Jul 21, 2009
8
0
Hello wana JF,
Happy new yr,

Kuna rafiki yangu wa kike jina z kaachana na mchumba wake, sasa imekuwa tabu kweli huyo mwanaume anamtangazia vibaya dada wa watu eti ohooo demu kicheche nk, sasa nauliza hivi nyie wanaume wenye tabia hizo kwani kuna ulazima gani wa kuanza kumsema vibaya x wako, unafaidika nn??? sana
sana unaonakena mshamba tu,

Ni hayo naomba kuwasilisha.
 
Ni kweli usemayo mie pia nina rafiki yangu aliachana na G/F baada ya mwenzie kuamua kuolewa ..kipindi chote cha mahusiano yao sikuwahi kusikia huyo rafiki yangu wa kiume akilalamika kama Binti ana tabia mbaya
lakini baada ya kuachwa ndo maneno yote machafu juu ya dada wa watu yanasambaa
kila kona kutoka kwa huyo X wake si tabia njema kabisa
 
hayo huwa maneno ya mkosaji tu..hata sungura alisema sizitaki mbichi hizi baada ya kushindwa kuzifikia mbivu !!!!!!!!!!!!!!!!
 
of course inategemea they way mlivyoachana. Kanuni zasema kwenye action kuna reaction inayopingana na action. Hakuwezi kukawa na reaction bila action.
 
jamani wanawake wengi ndo wenye tabia hizo zaidi adimu sana kumkuta mwanaume mwenye tabia hizo
 
Hello wana JF,
Happy new yr,

Kuna rafiki yangu wa kike jina z kaachana na mchumba wake, sasa imekuwa tabu kweli huyo mwanaume anamtangazia vibaya dada wa watu eti ohooo demu kicheche nk, sasa nauliza hivi nyie wanaume wenye tabia hizo kwani kuna ulazima gani wa kuanza kumsema vibaya x wako, unafaidika nn??? sana
sana unaonakena mshamba tu,

Ni hayo naomba kuwasilisha.

Uuuuuuuwiiiiiiiiiiiii POLE Nkashilingi,nasema tena pole sana..:mad:
 
Hello wana JF,
Happy new yr,

Kuna rafiki yangu wa kike jina z kaachana na mchumba wake, sasa imekuwa tabu kweli huyo mwanaume anamtangazia vibaya dada wa watu eti ohooo demu kicheche nk, sasa nauliza hivi nyie wanaume wenye tabia hizo kwani kuna ulazima gani wa kuanza kumsema vibaya x wako, unafaidika nn??? sana
sana unaonakena mshamba tu,

Ni hayo naomba kuwasilisha.

...'Uombolezaji' upo wa aina nyingi,

...kuna wengine wanaangua kilio kwa sauti, wengine kimya kimya, wengine huchanganyikiwa na kucheka cheka, na wengine hujifanya hamnazo...

Msamehe tu, ..."people notice the fool between the two!"
 
of course inategemea they way mlivyoachana. Kanuni zasema kwenye action kuna reaction inayopingana na action. Hakuwezi kukawa na reaction bila action.

Hata kama mkiachana kwa namna gani si vyema kuesmana vibaya ni upumbavu na utoto pia.Kwani ukimsema vibaya ndio itabadilisha ukweli?lakini tukumbuke kwamba wakati mwingine watu wanaoachana huwa wanarudiana na hata kufunga pingu za maisha kama sio ya Jerry Muro,hivi mkirudiana inakuwaje?
 
Hello wana JF,
Happy new yr,

Kuna rafiki yangu wa kike jina z kaachana na mchumba wake, sasa imekuwa tabu kweli huyo mwanaume anamtangazia vibaya dada wa watu eti ohooo demu kicheche nk, sasa nauliza hivi nyie wanaume wenye tabia hizo kwani kuna ulazima gani wa kuanza kumsema vibaya x wako, unafaidika nn??? sana
sana unaonakena mshamba tu,

Ni hayo naomba kuwasilisha.

Kwanza pole sana kwa huyo rafiki yako..kuna mifano mingi living(hai) jamani,Juma nature alipopigwa chini na Sinta minyimbo kibao ooohhh ana Ngoma ooohh kapigwa Denda na Cool Jamaes mpaka gari ikagoma kwenda,ooohhh mambo kibao tu..ukiona x anaongea sana ujue hapo yeye ndo kaachwa si unajua mambo ya kibuti m2 mzima yanavyouma?Ukikichezea mzee lazima upake kupunguza ukali wa njumu mzee,kamwe majuto huja baada ya kuachwa na wengi hudhani wakisema sana ndo inasaidia YES kwa nature ilimupa umaarufu zaidi lkn kwa wajua mambo ya mapenzi walimdharau..yangu hayo tu
 
Hata kama mkiachana kwa namna gani si vyema kuesmana vibaya ni upumbavu na utoto pia.Kwani ukimsema vibaya ndio itabadilisha ukweli?lakini tukumbuke kwamba wakati mwingine watu wanaoachana huwa wanarudiana na hata kufunga pingu za maisha kama sio ya Jerry Muro,hivi mkirudiana inakuwaje?

Sidhani kama ni upumbavu.

Najua ngozi nyeusi ni ngumu sana kuchukulia mambo ya commitment seriously. Ndo hapo mtu anammislead mwenzake halafu mwishoni anakuja kumwambia oohh siwezi kuendelea kuwa na wewe na vitu kama hivyo, kama hukuwa sure kwanini ulimkubalia in the first place mpaka mwenzako akawa ameridhika kuwa amepata mwenza halafu baadae kirahisirahisi tu unakuja kuleta pozi??
 
Kwani mwanzo walipoanzana hakuona huyo demu ni malaya mpaka uje kupakazia mbovu baada ya kuachana. Ni ushamba tuu na kukumbukia matamu aliyokuwa anayapata kutoka kwa huyo demu. Wajaja husifia ili wengine wakijipeleka wanakuta kweli holaaa!
 
Rangi zingine hufichwa mwanzoni na huanza kuchomoza baadae....ndio maana nasema dawa ni kutokuwa ktk uhusiano ulio monogamous.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom