Mnyiramba JF-Expert Member Joined Jun 19, 2022 Posts 1,207 Reaction score 3,296 May 28, 2024 #21 Utaratibu wangu niliojiwekea ni kwamba sipokei namba yeyote mpya hadi utume sms kwanza kinyume na hapo utapiga hata miaka 20
Utaratibu wangu niliojiwekea ni kwamba sipokei namba yeyote mpya hadi utume sms kwanza kinyume na hapo utapiga hata miaka 20
mbwangali JF-Expert Member Joined Jan 8, 2021 Posts 3,110 Reaction score 5,399 May 28, 2024 #22 😄😄unaanzaje kumblock loan officer?
Ivan Stepanov JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 6,797 Reaction score 22,356 May 28, 2024 #23 BabaMorgan said: Sasa namba ngeni zinaenda kuwa na wakati mgumu kupokelewa kwenye simu yangu maana kuna loan officer wa bank fulani naye nilimblock ana mtindo wa kunipigia kwa namba ngeni. Click to expand... Mimi hapa tu ndio pamenichekesha
BabaMorgan said: Sasa namba ngeni zinaenda kuwa na wakati mgumu kupokelewa kwenye simu yangu maana kuna loan officer wa bank fulani naye nilimblock ana mtindo wa kunipigia kwa namba ngeni. Click to expand... Mimi hapa tu ndio pamenichekesha
BabaMorgan JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 5,188 Reaction score 14,343 May 28, 2024 Thread starter #24 Robot la Matope said: Mke wangu kaingiaje hapa?? Una bahati hatujuani. Ningekutafuta nikufundishe adabu Click to expand... Njoo Kibamba hospital uje unifundishe adabu takataka
Robot la Matope said: Mke wangu kaingiaje hapa?? Una bahati hatujuani. Ningekutafuta nikufundishe adabu Click to expand... Njoo Kibamba hospital uje unifundishe adabu takataka
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 33,638 Reaction score 97,276 May 28, 2024 #25 Perfectz said: MAHUDIANO YAUMIJA ZANA YAMANI. Click to expand... 🤣🤣🤣
Robot la Matope JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 8,593 Reaction score 17,550 May 28, 2024 #26 BabaMorgan said: Njoo Kibamba hospital uje unifundishe adabu takataka Click to expand... Ndo wapi umbwa mjane ??
BabaMorgan said: Njoo Kibamba hospital uje unifundishe adabu takataka Click to expand... Ndo wapi umbwa mjane ??
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 74,210 Reaction score 183,059 May 28, 2024 #27 Hayanaga mwongozo!! Kweli yanarun dunia Cc Smart911
Namshakende JF-Expert Member Joined Sep 23, 2021 Posts 844 Reaction score 2,184 May 30, 2024 #28 Ku' block mtu ni ukenge na kukosa akili