BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,187
- 14,342
Hii kweli aiseeeNyie ndo mnafanya tuwadharau wanaume wa Dar!!
Pamoja mkuuAchana na matapeli hao, wewe pambana tu kumlea Morgan wako
Actions speak louder than wordsUwezi ukakuta mtu unamkataa serious alafu bado anakusumbua...
Huruma ya nini kama una acha,. acha kweli sio unasema unaacha unaishia kumpa block na kumwambia ujamwambia 😂😂😂😂
Wanaume wa Dar ndio wanampagawisha mke wakoNyie ndo mnafanya tuwadharau wanaume wa Dar!!
Sawa si unaleta misemo kwa mambo ya uhalisiaActions speak louder than words
Kusoma ni jambo moja kuelewa ni jambo lingineDemu alikukataa na akakupiga block kila sehemu kisha akajirudisha kwako tena na wewe ukampokea1
Wewe ni wakupigwa makofi mpaka akili zikukae sawa,nyie ndio mnasababisha wanaume wote tunaonekana laini laini,
Huyo demu alipata dume akaenda kuchezea mkia kisha akaachwa huko ndio akajirudisha kwako,
Hebu kaza kidogo uwe na roho ya kiume na maamuzi ya kiume.
Mke wangu kaingiaje hapa?? Una bahati hatujuani. Ningekutafuta nikufundishe adabuWanaume wa Dar ndio wanampagawisha mke wako
Bado aisee!Hebu bugia na aspro tuone maendeleo.MAHUDIANO YAUMIJA ZANA YAMANI.