DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
2009 ?Mm nilikisoma miaka 10 iliyopita...nikiwa form three B
2009 ?Mm nilikisoma miaka 10 iliyopita...nikiwa form three B
Sasa mbona nilikitaja ukasema nimemix mafaili. Mimi sijakisomaOrodha!
sasa umekifundishaje kama hujakisoma?Sasa mbona nilikitaja ukasema nimemix mafaili. Mimi sijakisoma
Duh, kwa hiyo walimu wanaofundisha sasa hivi walisoma miaka ya 90 huko wanafundishaje na vitabu karibu vyote ni vipya wakati wao wanasoma havikuwepo?sasa umekifundishaje kama hujakisoma?
Huwezi kufundisha kitabu hujakisoma!Duh, kwa hiyo walimu wanaofundisha sasa hivi walisoma miaka ya 90 huko wanafundishaje na vitabu karibu vyote ni vipya wakati wao wanasoma havikuwepo?
Duuh haya....Huwezi kufundisha kitabu hujakisoma!
🙄🙄🙄Darling upo single mara hii ?
Ndio darling..😉2009 ?
Hahah sasa we uko single ila unatoa dog bandani huwezi kusema uko single haswa!
Swali nzur San shangazi ,eh nn suruhisho SAS?sijui nitawaacha wangapi,ndio tatizo..lol......
Ivi aya majina huwa akil ya kuyawaza inatokaga wapi!? Ha ha ha haHaya mazungumzo nayafatilia hatwaaariiii,
Don't tell me darling...?!Duuuuu
Kumbe ni classmate kabisaa
Ndio hivyo darling.Don't tell me darling...?!
I don't care about that my darling...😍Ndio hivyo darling.
Mambo ya kusoma pre kidato cha kwanza mwaka mzima yakafanya tuwe classmates