Ukeketaji: Mila isiyochuja Tarime

Mkuu kama mnadumisha mila na desturi zenu,hapo mnadhalilishwa kivipi?au hamtaki ukweli ujulikane?

pametumika neno UNYAMA. Kuna wanyama (nje ya wanadamu) wanaofanya tohara? Ongeleeni na makabila mengine ya humu TZ kwani wao ni wazungu? Au Senegal na nchi kibao za Afrika magharibi au pia wao ni wazungu?

cc Galadudu,
 
Last edited by a moderator:
Mijitu mengine bwana miili mikubwa ubongo nusu kilo...
Unaambiwa Tarime kuna ukeketaji unasema unazalilishwa...sasa aliyekuzalilisha nani ?

Nina mashaka na IQ yako. Ukitumia neno UNYAMA WA WAKURYA kwa tohara tuu hapo umetukana jamii ya Tarime. Dodoma, Singida, Upareni, Kilimanjaro na sehemu kibao wanafanya tohara kwa kina mama, mpaka afrika magharibi. Mbona hamu aandiki "UNYAMA--- Chamwino?" Tarime tupo bold enough to come out in the open na kufanya tunachotaka. We are not cowards. Kama ni ushenzi kawaulize pia wakikuyu nao pia wanafanya tohara. Wewe Hydrobenga na kabila lako mna nini cha zaidi kuwazidi wakikuyu kama sio poverty na low education? Na kama tohara inaleta madhara ya kama mnavyodanganya watu mbona wakikuyu ni the most populous tribe huko Kenya.
 
Last edited by a moderator:
Mila ya kishenzi sana hiyo
siju wakurya watastaarabika lini?
 

Uislam unaruhusu kukeketa
 
Haujagegeda mtoto aliyekeketwa wewe ndio maana unasema ni unyama!...
Watoto super extraordinary Honey, gusa unate....uuuh!!
 
Kwanza nyie ndio mnadhalilisha kitendo hiko kwa kukiita FGM, ile kitu inaitwa
FGI yaani Female Genital Improvement.
 
Sawa wewe ndio una IQ kubwa ....
Post inasema kuna ukeketaji unaendelea huko Tarime...sasa wewe unacholalamika nini ?
Kama unaunga mkono au haungi mkono ukeketaji hiyo ni juu yako ....
taarifa imefikishwa hapa kuwa kuna ukeketaji tarime
 

Mkuu jibukistaarabu tu, kwaninikweliwewe mwilimkubwa akilindogo? Usifanyena sisi wengine tukufikiriehivyo.
 
Last edited by a moderator:
Sawa wewe ndio una IQ kubwa ....
Post inasema kuna ukeketaji unaendelea huko Tarime...sasa wewe unacholalamika nini ?
Kama unaunga mkono au haungi mkono ukeketaji hiyo ni juu yako ....
taarifa imefikishwa hapa kuwa kuna ukeketaji tarime

haya Mkuu, yameisha, merry christmas and happy new year
 
Mijitu mengine bwana miili mikubwa ubongo nusu kilo...
Unaambiwa Tarime kuna ukeketaji unasema unazalilishwa...sasa aliyekuzalilisha nani ?

Badala ya kusiKitika binadamu kama yeye kudhalilishwa anasikitika kuharibiwa jina, tena si lake!, la kabila!
 

Viginal revitalization wana fanya kwa kupenda, ku keketa some ' o them wanalazimishwa against their will, and it's unbearable pain!
 
Hii ni mila, sio unyama.
Wengi wenu mmeshakuwa braiwashed kudharau mila zenu. Inatakiwa kuheshimu mila zenu, neno sahihi ni kutahiri. Hili neno kukeketa limetungwa ili kuleta hisia mbaya kwa huu utamaduni wa watu wengi. Ni kama walivyoleta neno terrorist badala ya freedom figher. Kila jamii ina mila zake. Wanaotahiri wasichana na waendelee. Wanye utamaduni wa kuoa wanawake wengi na waendelee. Wanaokula panya na waendelee........
 
Viginal revitalization wana fanya kwa kupenda, ku keketa some ' o them wanalazimishwa against their will, and it's unbearable pain!

haya bwana, kwa hiari nasema yaishe. Mimi ni mkazi wa wilaya husika na najua kuwa ukweli upo elsewhere, yaani kama vile escrow
 


YOU HAVE EARNED MY DEEPEST RESPECT. TATIZO NI KUWA KUNA VILAZA WENGI AMBAO NI WAVIVU HATA KUTAFUTA FIKRA MBADALA ZAIDI YA MATANGAZO YA TV NA MAGAZETI NA MAWAZO YA NGOs ZINAZOPOKEA HELA ZA WAZUNGU ILI KUPIGA VITA MILA TOFAUTI.


In Defense Of Female Circumcision? Panel Presents Seven Facts | CommonHealth

Duniani sio mtu anadanganywa kirahisi!!!!


CC kui,
 
Last edited by a moderator:

Tatizo ni kuwa WE, are both trying to be Advocates wa wahusika wa pande zote mbili, The ones who're considered victims by someone like me more and the ones who're considered non victims by someone like you. Labda wao, watakuwa na mitazamo tofauti na YETU!

Mkuu, if I may!, what are 'advantages' of this practice to women?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…