nina miaka 24 na nimeanza kufanya mapenz nikiwa na miaka 20, na ndo mpenzi wangu niliye naye sasa.. na sijawahi kuwa na mpenzi mwingine
Msaada wataalamu, ukeni kunauma kama kunawaka moto hivi hasa wakati wa kufanya mapenzi na hata baada ya kumaliza, kila aina ya vipimo nimefanya sijapata ugonjwa wowote. sasa inawezekana kuna mwanamke mwenzangu amewahi ugua au amewah kumwona rafiki yake wa karibu akisumbuka au kuna wataalamu zaidi hapa, wote hao jamani naombeni msaada namna ya kutatua hili tatizo, mara ya kwanza madaktari walifikiri ni candadiasis nikapewa dawa haikusaidia, wengine wakabuni labda trikonoma nikapewa dawa lakn haikusaidia kitu, dawa nyingi natumia lakini bado sijapata unafuu.,naomba mwenye ujuzi anisaidie., Natanguliza shukurani za dhati wapendwa
nina miaka 24 na nimeanza kufanya mapenz nikiwa na miaka 20, na ndo mpenzi wangu niliye naye sasa.. na sijawahi kuwa na mpenzi mwingine
Inaonekana uke wako hautengenezi ute wa kutosha,Ndio maana unapata michubuko wakati wa kufanya mapenzi,ambayo hupelekea husia za kuwaka moto baada ya tendo.
Nakushauri tumia lubricant, kama KY jelly halafu uje utupe feedback.
hahahahaa umenifuraisha sana iDaah kuna watu wanasimamia kucha aisee!
Try yale mafuta ya k-y jelly hata kama maji yako yanatoka may be hayana viscosity yenye kiwango, mupenzi wangu nakumbuka alinisumbua sana kipindi tunaanza mahusiano kwani alikuwa brand new mpaka akaanza kunibania eti abdala kipara mkubwa sasa hivi aaaaah analengeshea mwenyewe na anasimamia kucha kweli. So you will be fine worry nothing ongeza na intervial ya kujifuraisha na mpenzi wako yaweza saidia.
nina miaka 24 na nimeanza kufanya mapenz nikiwa na miaka 20, na ndo mpenzi wangu niliye naye sasa.. na sijawahi kuwa na mpenzi mwingine