UKAWA yavuka boda, Lowassa gumzo Kenya

UKAWA yavuka boda, Lowassa gumzo Kenya

MAKAMPUNI YA SIMU KUZIMA HUDUMA ZA DATA 24/10------26/10
JE HILI TUNALICHUKULIAJE WATANZANIA?
ii
 
Kama hamjuhi Kenyatta ana masrahi gani na Lowassa ndo utashangaa kwanini wanamuandika Lowassa ..wazee wa madili feki wanajuana kwa rangi zao
 
Uganda nao wameunda ukawa ni mabadiliko tu kwenda mbele
 
Hata majirani zetu wametuchoka kwa chama kile kile na maliasili tulizo nazo.... wanatuombea tushinde kama UKAWA ili nchi yetu iendleee
 
Umaarufu wa Lowassa hautii shaka kimataifa. Vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa vinamzungumzia sana. Tuache huko.. Hata nchi za jirani nako vyombo vyao vya habari Lowasa ameteka pia huko kuanzia habari zao hadi makala.

Hapo Kenya jina la Lowassa linatajwa sana na lipo midomoni mwa wakenya utadhani ni raia wao. Mitaa ya Nairobi, Kisumu, Eldoret, Mombasa na kwingineko jina ni Lowassa.

Jamaa anajulikana sana kimataifa na pia ana uelewa mkubwa sana juu ya masuala ya kimataifa na anazungumza kiingereza safi kupindukia. Hapa tumepata jembe.

attachment.php
. T/shirt ya M4C leo hii nimeinunua katika mji wa Lusaka Zambia na zilikua zinagombaniwa kama mwali.
.
 
Hatuhangaiki nao hakuna wapiga kura wetu huko Nairobi wala huyo kenyata sio mpiga kura wetu magufuli anatosha
 
Umaarufu wa Lowassa hautii shaka kimataifa. Vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa vinamzungumzia sana. Tuache huko.. Hata nchi za jirani nako vyombo vyao vya habari Lowasa ameteka pia huko kuanzia habari zao hadi makala.

Hapo Kenya jina la Lowassa linatajwa sana na lipo midomoni mwa wakenya utadhani ni raia wao. Mitaa ya Nairobi, Kisumu, Eldoret, Mombasa na kwingineko jina ni Lowassa.

Jamaa anajulikana sana kimataifa na pia ana uelewa mkubwa sana juu ya masuala ya kimataifa na anazungumza kiingereza safi kupindukia. Hapa tumepata jembe.

attachment.php

Lowassa chaguo la wengi
 
Back
Top Bottom