UKAWA yavuka boda, Lowassa gumzo Kenya

UKAWA yavuka boda, Lowassa gumzo Kenya

Umaarufu wa Lowassa hautii shaka kimataifa. Vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa vinamzungumzia sana. Tuache huko.. Hata nchi za jirani nako vyombo vyao vya habari Lowasa ameteka pia huko kuanzia habari zao hadi makala.

Hapo Kenya jina la Lowassa linatajwa sana na lipo midomoni mwa wakenya utadhani ni raia wao. Mitaa ya Nairobi, Kisumu, Eldoret, Mombasa na kwingineko jina ni Lowassa.

Jamaa anajulikana sana kimataifa na pia ana uelewa mkubwa sana juu ya masuala ya kimataifa na anazungumza kiingereza safi kupindukia. Hapa tumepata jembe.

attachment.php
..Ndio " Yale Madini makubwa makubwa" Tutapanga yale makubwa makubwa...Tutawapa wakubwa wakubwa...!!!
 
Back
Top Bottom