UKAWA ya Lowassa yapumulia mashine, BAVICHA wakosa hoja

jogoo_dume

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
2,204
1,939
Baada ya jana usiku kwa mara nyingine MAKAMANDA na ma-infantry soldiers wa UKWELI katika ukombozi wa taifa hili DR.Slaa na kijana anayewanyima usingizi BAVICHA:

NEW VERSION H. Polepole kutupa tena makombora, vijana wengi wa bavicha wameishia kutukanatukana tu! Hii ni ishara kuwa DOZI inaingia (KURUKARUKA KWA MAHARAGE NDO ISHARA KUWA YANAIVA).

Makamanda hawa wameendelea kuweka chumvi na kuisiriba katika kidonda cha ufisadi na uadilifu kitu ambacho UKAWA ya Lowassa na 'kajeshi' kao dhaifu ka BAVICHA:NEW VERSIO hawataki kusikia sababu ya uchafu wao.

Makamanda hawa MCHANGO wao umeanza kuwafumbua macho wananchi na hasa vijana. Tumeona wimbi kubwa la vijana wa CHADEMA kuandamana na kuchoma bendera za CHADEMA maeneo tofauti ya nchi kama ishara ya kumuunga mkono Dr. Slaa kwa kuweka utaifa mbele. Hii ni ishara tosha kuwa sasa CHADEMA wapo katika wakati mgumu. UKAWA inapasuka.

Sisi watanzania wengi tunaopenda uadilifu na taifa lisilo na Mafisadi TUKO pamoja na hawa makamanda wa ukweli!

POLEPOLE > BAVICHA:NEW VERSION
DR.SLAA > CHADEMA YA LOWASSA.

TUTAHESHIMIANA NA KUELEWANA TU, hamna pa kutokea, FULL DOSAGE mpaka muamke kutoka katika COMA.
 
Impact ya dr slaa,lipumba na polepole mnataka kuipima kwa kuandaa vijana waandamane mkijua wazi kuwa sio wa chadema,mnazidi kukitia hasara chama chenu,hao washastukiwa kitambo,na hizo tv mnazozitumia mnapoteza mda na hela yenu,wa ukawa wanajifahamu ninyi mnaodhani ukawa unayumba mnapoteza mda,cha msingi mmeweza kumpata slaa naye amewin mioyo yenu na kwa kuwa ndo silaha pekee ilokuwa imebakia,i ilikuwa butu,ni gobole
 
Ama Kweli Nimekubali CCM ni CHOO kama alivyosema kibaraka wenu na mtahangaika sana sisi malofa ni MABADILIKO,
 
Piga makelele hila 25october kwenye kisanduku cha kupigia kura.siku zimebaki chache vichinjio vyetu tunavinoa kila wiki
 
Ccm sasa sawa na choo by slaaaa....
1. Alitaka kumaanisha nini?
2. Then wenyewe wanashangilia.

Kinachotoka chooni ni cheme kweli...? Si mkojo wa mavi!!!!!alitaka kusema nini???
 
Pamoja na kukubaliana na wewe kuwa UKAWA sasa wameanza kuisoma namba, sikubaliani kbisa na ujumbe wa kuchoma bendera za upinzani.
Hili ni kuchochea fujo.
 
Kunayo Haja ya kuwachukua Vijana woote wa CCM tukawapime akili asee.. kwa Post zenu hiz ni dalili tosha Mna mtandio wa ubongo!
 
Back
Top Bottom