UKAWA ya Dr Slaa INGESHINDWA kwa 10%-, UKAWA ya Lowassa ITASHINDA kwa 68%+




attachment.php





katika ubora wake yericko​
 
Every1 Atakuja Na Technic Zake,wengne Bao La Mkono Wengne Ndo Kama Hvi Lakini Mwisho Wa Siku Ni 25 Oct...Always Wanasema Usijisifu Una Mbio Msifu Na Anaekukimbiza..Ccm Hatujisifu Tunambio Sana Cz Tunajua Wenzetu Pia Wanazo,tunachoweza Kufanya Ni Kumaintain The Gap And Speed Until Race Is Over....#hapakazitu #umojaniushindi
 
Nchi nzima haijawahi kuwa na uchaguzi ulioleta wapiga kura m15 tu haijawahi hao m18 wa Chadema peke yake mtawatoa wapi? Labda muende kupiga na ile misukule yenu jumla

Wewe uwe unatoa hoja za msingi hiv population ya 2005 unaweza kulinganisha na 2015???au waliojiandikisha 2005 n wengi kuliko 2015,usipende kukalili
 
Wewe uwe unatoa hoja za msingi hiv population ya 2005 unaweza kulinganisha na 2015???au waliojiandikisha 2005 n wengi kuliko 2015,usipende kukalili

Kukalili ndio kitu gani?

Kwa akili yako hizo hesabu za Yericko ziko sawa?
Watu walioandikishwa kwa mujibu wa tume ni m24 mwaka huu, Yericko anakuambia kura m21 ziende chadema nawewe nyumbu unaitikia tu inawezekana wapi hiyo?
 
Leo ndio utaelewa Dr Slaa alikuwa na Nguvu gani Chadema.... shok imewapata Ukawa leo ndio leo kitaeleweka tu na naamini Slaa hawezi kumuunga mkono El Fisadi
 
Mwanangu Yericko Nyerere you are too anxious and emotional. Angalia title yako, Acha kuwatanguliza watu katika kuamini kua Dr. Slaa anatarajia kutangaza kujitoa. Dr. Slaa hatajitoa bali ataunga mkono vuguvugu
 
Last edited by a moderator:
.....................
..................
Nimefanya utafiti kwa miezi nane mpaka sasa, Kuongezeka kwa umaarufu wa chama baada ya Muungano wa Ukawa, na kusinyaa kwa mbali kwa umaarufu wa Dr Slaa, UKAWA kupitia Dr Slaa ingeshindwa kwa ccm kwa asilimia 10, yaani ccm wangeshinda kwa asilimia 55-60, Na baada ya kuja Lowasa kwa mwendo huu wa kisiasa UKAWA itashinda kwa 68-75%. Jambo mhimu ni itatangazwaje washindi?

Hiyo ndio hatua waliyobakiwa nayo ambayo chaguo kuu la kimkakati liwe ni presha ya umma dhidi ya tume ya uchaguzi, pili ni kupenyeza ushawishi kwenye dola (political gov). Zaidi ya hapo ushindi ni wazi kwa UKAWA.


Nimeweka kwakifupi tu, lakini kwakirefu zaidi nyaraka ipo..

wewe ni Genius basi tu huwa kuna watu wanakuonea gere!
 
Kuna uhakika gani kwamba kila kituo watapatikana hao timu ya ushindi 30? Hesabu za mezani muda mwengine huwa zinakataa katina mazingira halisi. Wait and see
 
Ni hoja nzuri ila haijakamilika.
Ina maana kama Dr Slaa angegombea ni nini kingezuia UKAWA kupata hizo kura 30 x 10? Au huo ni mkakati ambao Lowassa kauleta na sio mkakati wa chama au UKAWA?
Nataka mabadiliko ila kumkejeli Dr Slaa sio hekima!
Pamoja na kuwa tumeamua kwenda na Lowassa,Dr Slaa ataendelea kuheshimika kwa mchango wake.

Ahsante Mkuu Kwa Maneno Yenye Hekma Heshima Ya Slaa Iko Palepale Hata Kama Tumeaua Kwenda Na Lowasa Hivyo Si Busara Kumtolea Maneno Ya Zarau
 
Back
Top Bottom