UKAWA Wavunjika Rasmi

Mkuu vp jk hajakutambulisha kwa jpm upewe hata U dc?
Naona kama unajitahidi sana
 
Wananchi Tunataka Unafuu Wa Bei Katika Sukari, Mchele Maharage,vifaa Vya Ujenzi Na Pembejeo Za Kilimo. Sio Hizo Sifa Zenu Za Kijinga Eti Mnatumbua Vipele Huku Mkiacha Kutumbua Majipu Ambayo Mna maslahi Nayo.
Bila siasa safi na upinzani imara inakuwa ngumu...japo angalau JPM ameonyesha njia tumuunge mkono.
 
Naona unataka kukumbukwa kama alivyosema jk.....!!!
Hakuna laana kubwa kama kula rambirambi. Laana hiyo ndiyo inamtafuna huyu mtoa mada. Huna afya ya akili wewe.
 
Wananchi Tunataka Unafuu Wa Bei Katika Sukari, Mchele Maharage,vifaa Vya Ujenzi Na Pembejeo Za Kilimo. Sio Hizo Sifa Zenu Za Kijinga Eti Mnatumbua Vipele Huku Mkiacha Kutumbua Majipu Ambayo Mna maslahi Nayo.
Bila majipu kutumbuliwa unadhani hiyo nafuu iyapatikanaje? Fanyeni kazi, zalisheni kwa bidii kupubguza mfunuko Wa bei
 
Yaan lizaboni ni muongo kuliko mtu yeyote duniani nakumbuka kabla ya uchaguzi alileta u
Zi hapa kuwa UKAWA imekufa rasmi...leo tena baada ya uchaguzi tena analeta uzi UKAWA imekufa binafsi nashindwa kumuelewa ulisema imekufa kipindi kabla ya uchaguz hii ya leo ni ipi ? au unataka upate buku saba tu ?? Haya nenda Nape akupe....
 
mimi namwaminia LIZABONI akitoa mada inakuwa sahihi 100%
 
Museveni kishashinda shosheni suti mkale vyuku Na ubwabwa, tuondoleee nuksi hapa
 
huyu Lizaboni katika watu wa jf akitoa mada sina shaka naye kwa habari zake ni za uhakika wala hazina figisufigisu
 
Nakubaliana na wewe Mkuu. Mbowe kaua UKAWA kwa tamaa zake
Kama bi hivyo ni faraja kwa CCM. Inabidi musherehekee ushindi kama UKAWA imeparaganyika. Hivyo naamini Lizabon kama uyasemayo ni kweli, utakua umefurahi sana
 
Kwa ujumla mimi nimeshakataa kwamba UPAWA sio chama kwasababu;
¤Hawana office.
¤Hawana kiongozi mkuu.
¤Hawana msemaji mkuu.
¤Hawana stratejia za aina moja.
¤CUF muonekano na mtazamo wa kiislam na ukanda wa pwani na visiwani,
¤While CHADEMA mtazamo wa kikristo na ukanda wa kaskakazi na rafiki yake ni CDU
NB:Nukta mbili hapo juu not only ITIKADI point of view but also Wapemba na Wachaga wote ni majolowe kwenye kitu kinachoitwa pesa.

nawasilisha.
 
Mkuu vya kurithi vinazidi, uongo karithi toka kwa chama Na serikali yake, alipwa kwa kazi hii ya uongo, bila uongo hawezi kuendesha familia yake, mvutie pumzi tu
 
naona maalimu seif kamaliza fedha alizopewa na lowasa anataka kuvuta nyingine
 
Mkuu vya kurithi vinazidi, uongo karithi toka kwa chama Na serikali yake, alipwa kwa kazi hii ya uongo, bila uongo hawezi kuendesha familia yake, mvutie pumzi tu
Yaan sijui anasema uongo kwa faida ya nan ?? Huyu jamaa ni muongo halafu anasahau ....
 
Umeandika uzi wako kama mtu mwenye utapiamlo. Yaani umekaa kimajungu majungu. Endelea na ccm yako. Nyie si mnatetea uozo Kila kukicha. Wakati mkwere yupo madarakani mlikua mnasema ccm imefanya mambo mengi. Kaingia magufuli mnasema ccm iliharibu magu kaja kutengeneza
 
Umetoka milembe lini? Alokwambia ukawa ni chama nani? Yaani mtu mzima unakubali kugandishw akili zako?
 
Yaan sijui anasema uongo kwa faida ya nan ?? Huyu jamaa ni muongo halafu anasahau ....
Kwa faida ya chama chake Na sasa hivi anakidhi vigezo vyote chamani na nasikia anaweza kuwa mkuu wa mkoa kanda ya ziwa siku za usoni,
 
Naomba kurekebisha kwamba UPAWA sio chama bali UPAWA ni umoja wa NZI.

Naomba kuwasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…