UKAWA Wavamia Ofisi za Jiji la Dar - es -Salaam

CCM yapaswa kukubali kuwa numbers do favor Ukawa, Ukawa iachwe itawale Jiji kisha tutumie kigezo hicho kuwapima kama wataweza kuongoza hii nchi ama la......

Null Hypothesis: Hakuna utofauti wa kimaendeleo kati ya utawala wa CCM na Ukawa jijini Dar es salaam
Altenative Hypothesis: CCM/Ukawa imeleta maendeleo zaidi katika utawala wake jijini Dar es salaam

Chi square distribution will be used to test the significance of the hypothesis above

Kumbuka......Data za ccm tunazo tayari, tusubiri za ukawa kwa miaka mitano kisha tutatoa majibu ya utafiti wetu.

subutu ccm wachie jiji la dar kwa maufisad walioyafanya ya kuuza uda kwa bei poa na mirad iliyo chini ya kiwango ukawa watoe siri ccm iumbuke? hujui kwa nn jamaa wamekomaa wanajua madudu yao wangekuwa wasaf kiroho saf wangeachia mji ufisad ni dhambi inayoitesa ccm wanapenda sna democracy shida inakuja matendo yao wengi wanataishia ndanu ya nondo ikiwa utawala utakuwa tofaut na ccm hata ww ukipata cheo unamuachaje chenge na tibaijuka hao ni mfano tu
 
The

Then your argument could be one of the variable to be tested in the model
 
Ccm wanatia kichefuchefu ni wendawazimu na wanatumia mamlaka za serikali kulinda upumbavu wao.halafu na mamlaka zenyewe kama polisi na jiji wanayumbishwa na ccm na waoga kusimamia ukweli ili kulinda vibarua vyao wamekuwa watu wa ndio mzee bila hata kufikiri kidogo kwa akili zao.
 
Lazima upate PhD ya upumbavu ndio uweze kuelewa ccm aka chama cha machafuko
 
Kwa kweli hata tukiwaita ccm wahuni tutakuwa hatujakosea hawaoni hata aibu nasikia pia uhuni huu wapo pia mawaziri ambao ni madiwani wanajidhalilisha wenyewe na kupotea imani kwa wananchi siamini waziri kama Ndalichako Mbarawa Balozi Maiga na wegine wapo ktk ijinga huu.
 
Ccm ni ile ile hakuna mwema anaweza kukaa huko
 
Awa jamaa maendeleo wanafanya saa ngapi muda wote ni vurugu za kihuni. Nashauri wafanye kazi waache kutafuta kick za dezo dezo.
We unadhani kazi yao uwakilishi ni ya kihuni, ama wadhani ya yafanywa hewani!!??

Ili hao wachape kazi km unavyohimiza, ni lazma mh. Meya apatikane kwanza.
Nenda kasome kanuni za maongozi ya majiji na halmashauri ndiyo utaelewa. Usikurupuke siku nyengine, tafadhali.
 
Awa jamaa maendeleo wanafanya saa ngapi muda wote ni vurugu za kihuni. Nashauri wafanye kazi waache kutafuta kick za dezo dezo.
Ukilaza wako wa kutokujua mambo umesababishwa na chama chako pendwa pale Lumumba,cha kukusaidia tafuta mtaalam aformat ubongo wako uwe na uwezo wa kufikiri
 
Naskia pia ata Mkuu wa Kaya hana Mamlaka ya kuingilia hili suala lakini yupo tayari kupeleka FFU .
 
Back
Top Bottom