UKAWA watikisa Kahama: Kafulila asimikwa utemi

UKAWA watikisa Kahama: Kafulila asimikwa utemi

pia mheshimiwa kafulila amesimikwa kuwa mtemi wa kahama na kupewa jina kishimba ishara ya kumkumbuka mpiganaji wa utemi wa kahama mtemi kishimba.

Hivi huu utemi wa sikuhizi unatolewaje?umegeuka nao kuwa maigizo.
 
je usisimizi wa Kafulila umeisha lini?

Kwenye siasa mabadiliko yanatokea kila siku kulinga na matendo yako. Waweza kuwa Tembo, gamba, fisadi,nyang'au,msaliti, jembe, kilaza nk kulingana na ufanyayo wakati husika.
 
Kwenye siasa mabadiliko yanatokea kila siku kulinga na matendo yako. Waweza kuwa Tembo, gamba, fisadi,nyang'au,msaliti, jembe, kilaza nk kulingana na ufanyayo wakati husika.
yaani mkuu kuna watu ni wagumu sana kuelewa.ivi yeye ni mkosaji siku zote?hata kwa ndugu anaokwaruzana nao hubaki hivyo siku zote?
 
ACT nao wakianza mikutano msianze kulialia...


Wewe ni msemaji wa ACT hapa habari ni UKAWA na Kafulila kupewa heshima huko Kahama wewe cause you got a big head with small brain in it unaleta za kuleta . ACT ni chama cha Siasa wakianza nao wana haki ya kusikilizwa .
 
picha basi mbona mkutano umejaaa kumsema zito tu sera zao nini haswa
tarehe 15 /5/2015 act tunanza ziara
 
namuonea huruma sna ndugu yangu kafulila kichwa kimejaa kiburi ngoha tuone badae itakuaje
 
Back
Top Bottom