Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,198
- 7,539
Wadau,
Mtaalam mmoja wa kijeshi anasema, tabia fulani inapopandikizwa vya kutosha ndani ya kicha cha mtu, tabia pandikizi hugeuka na kuwa kama "Second nature" kwa mhusika. Kwa mfano anasema, mtu wa kawaida kabisa anavyojiunga na jeshi, hupandikiziwa tabia ya upiganaji na uvaaji wa magwanda katika kiwango ambacho tabia hiyo huwa ni kama "Second nature" kwa muhusika na huifurahia hali hiyo.
Kwa kuwa UKAWA wamepandikiziwa tabia ya kukimbia mijadala kwa kiwango ambacho tabia hiyo imekuwa kama "second nature" kwao, na kwa kuwa hivi karibuni inatarajiwa kwamba bunge litakutana tena kwa ajili ya kubadilisha sheria kadhaa kuhusu mchakato wa katiba mpya na kuboresha baadhi ya vifungu katika katiba ya 1977, Inatarajiwa kwamba watagoma tena na kuondoka zao.
Sasa kama watagoma kama kawaida; unashauri nini Kifanyike kati ya machaguo matatu ambayo yamekuwepo wakati wote.
1. Rais kuwaita ikulu?
2. Wabunge wanaotaka kuendelea (coalition of the willing ) kuendelea?
3. Mchakato wa marekebisho ya katiba 1977, usitishwe na tuendelee na yo kama ilivyo hadi hapo mpya itakapopitishwa?