Sorry mkuu, kwa kutoka kwenye mada, Nilipokuwa rumande nilikula bata.
Lisu; "'Waliozoea vya kunyonga vyakuchinja hamwezi". tayari mpaka andishi langu umeshalichakachua.
Sorry mkuu, kwa kutoka kwenye mada, Nilipokuwa rumande nilikula bata.
Betlehem kusema ukweli nakuchukia kwa jinsi ulivyomnafiki kujifanya mpinzani wakati unajua wazi mnatumika na CCM ili kuua upinzani!!!!!!! Natamani ningekuwa na uwezo watu kama nyie wote niwapoteze kabisa ila Mungu kaacha Magugu na Ngano zimee pamoja, ingawa magugu haya hakika yanaharibu mazao. ACT ni guguUjue wengine tulikula bata tulipokuwa rumande.Kwa hiyo usishangae mkuu.
Wadau,
Mtaalam mmoja wa kijeshi anasema, tabia fulani inapopandikizwa vya kutosha ndani ya kicha cha mtu, tabia pandikizi hugeuka na kuwa kama "Second nature" kwa mhusika. Kwa mfano anasema, mtu wa kawaida kabisa anavyojiunga na jeshi, hupandikiziwa tabia ya upiganaji na uvaaji wa magwanda katika kiwango ambacho tabia hiyo huwa ni kama "Second nature" kwa muhusika na huifurahia hali hiyo.
Kwa kuwa UKAWA wamepandikiziwa tabia ya kukimbia mijadala kwa kiwango ambacho tabia hiyo imekuwa kama "second nature" kwao, na kwa kuwa hivi karibuni inatarajiwa kwamba bunge litakutana tena kwa ajili ya kubadilisha sheria kadhaa kuhusu mchakato wa katiba mpya na kuboresha baadhi ya vifungu katika katiba ya 1977, Inatarajiwa kwamba watagoma tena na kuondoka zao.
Sasa kama watagoma kama kawaida; unashauri nini Kifanyike kati ya machaguo matatu ambayo yamekuwepo wakati wote.
1. Rais kuwaita ikulu?
2. Wabunge wanaotaka kuendelea (coalition of the willing ) kuendelea?
3. Mchakato wa marekebisho ya katiba 1977, usitishwe na tuendelee na yo kama ilivyo hadi hapo mpya itakapopitishwa?
wewe bethelem nasikia Yesu kazaliwa pande hizo ni kweli?? kama kweli basi tutarajie UKAWA, CCM na TANZANIA yetu kupata ukombozi. si si mkombozi amezaliwa???
Wadau,
Mtaalam mmoja wa kijeshi anasema, tabia fulani inapopandikizwa vya kutosha ndani ya kicha cha mtu, tabia pandikizi hugeuka na kuwa kama "Second nature" kwa mhusika. Kwa mfano anasema, mtu wa kawaida kabisa anavyojiunga na jeshi, hupandikiziwa tabia ya upiganaji na uvaaji wa magwanda katika kiwango ambacho tabia hiyo huwa ni kama "Second nature" kwa muhusika na huifurahia hali hiyo.
Kwa kuwa UKAWA wamepandikiziwa tabia ya kukimbia mijadala kwa kiwango ambacho tabia hiyo imekuwa kama "second nature" kwao, na kwa kuwa hivi karibuni inatarajiwa kwamba bunge litakutana tena kwa ajili ya kubadilisha sheria kadhaa kuhusu mchakato wa katiba mpya na kuboresha baadhi ya vifungu katika katiba ya 1977, Inatarajiwa kwamba watagoma tena na kuondoka zao.
Sasa kama watagoma kama kawaida; unashauri nini Kifanyike kati ya machaguo matatu ambayo yamekuwepo wakati wote.
1. Rais kuwaita ikulu?
2. Wabunge wanaotaka kuendelea (coalition of the willing ) kuendelea?
3. Mchakato wa marekebisho ya katiba 1977, usitishwe na tuendelee na yo kama ilivyo hadi hapo mpya itakapopitishwa?
akili za mtoto shule ya vidudu ya ccm

Hehehe watu wanaoongea vikao vya maamuzi ya taifa wewe unaoongea taarab za siasa