UKAWA wanamvizia Lowassa atoswe CCM wamchukue

UKAWA wanamvizia Lowassa atoswe CCM wamchukue

Watake radhi Ukawa. Tangu lini Ukawa wakawa wala-makombo??
 
MCHUNGUZI HURU

UKAWA hawamsubiri Lowasa aliyetoswa bali windfall effect ya kutoswa kwake.

wafuasi wote wa Lowasa (ambao idadi yake si haba kwa kweli) watapiga kura za hasira - in favour of UKAWA.

.....na hii ndiyo dilemma ya CCM!
 
Last edited by a moderator:
Matatizo ya lowassa kama yeye mtu ni rahisi kuyathibiti kuliko kuthibiti mfumo ... kama lowassa akahamia ukawa anaweza kuongoza vizuri tuu tofauti na malaika akaongoza chama ambacho mfumo wake ni umeharibika.... kwani uraisi ni taasisi sio mtu mmoja.
 
UKAWA hawamsubiri Lowasa aliyetoswa bali windfall effect ya kutoswa kwake.

wafuasi wote wa Lowasa (ambao idadi yake si haba kwa kweli) watapiga kura za hasira - in favour of UKAWA.

.....na hii ndiyo dilemma ya CCM!
Hata lowassa mwenyewe akihamia ukawa tatizo liko wapi? kwani tatizo ni lowassa ama mfumo uliopo?
 
Ka akili za viongozi wa UKAWA, hili linawezekana. Hawana kabisa mgombea Urais. Wanasubiri makapi toka CCM

Mkuu nakumbuka Zitto alianza kumkatibisha alipokuwa akihutubia mkutano wa ACT Mwanza.....
 
.... Kama Lowasa Atachukuliwa Na Ukawa, Sitakuwa Na Imani Tena Na Upinzani. Nitahamia Ccm.
 
Hata lowassa mwenyewe akihamia ukawa tatizo liko wapi? kwani tatizo ni lowassa ama mfumo uliopo?

mkuu, jibu la swali lako wanalo UKAWA. siye wengine ni wapiga debe tu (wapiga kura watarajiwa) tunaopenda kuona upinzani (hususani UKAWA) unakamata dola ifikapo October.
 
mkuu, jibu la swali lako wanalo UKAWA. siye wengine ni wapiga debe tu (wapiga kura watarajiwa) tunaopenda kuona upinzani (hususani UKAWA) unakamata dola ifikapo October.
sawa mkuu swali lako hili hapa .... Je lowassa akihamia ukawa na akawa mgombea wa ukawa na akaahidi kuwa akiingia madarakani ataihuisha ile rasimu ya katiba ya warioba na kubadilisha mfumo wa sasa wa utendaji serikalini ... je utampa kura ?
 
UKAWA akili kubwa wewe kamwe mafisadi na maselule hawataruhusiwa kutia mguu ndai ya UKAWA. Achana na dhana zako potofu.

Ka akili za viongozi wa UKAWA, hili linawezekana. Hawana kabisa mgombea Urais. Wanasubiri makapi toka CCM
 
Lowassa anasubiriwa Act wazalendo hiyo ndio habari iliyopo mjini stay tune!
 
Katu Lowasa hawezi hamia ukawa hakubaliki huko...Lowasa akitoswa na ccm atahamia ACT hicho ndicho chama chake na anakifadhili kwa sana tu.
 
Wakuu kuna tetesi zimeenea mitaani na kwenye mitandao kuwa UKAWA wanasubiri LOWASA atemwe wampe kugombea URAIS kupitia CHADEMA, wanasema eti ni maamzi ya mmiliki wa chama mzee Edwin Mtei. kama ni kweli basi mtakuwa mmewasaliti wanachama wenu.
 
Back
Top Bottom