Akisimama Lowasa hatumpigii kura. Na ninajua UKaWA si wasanii kama ccm. Hakuna mtu atasimamisha fisadi hilo akitegemea litapigiwa kura na Watanzania. Kura zake limeshapata ni zile 870,000 Tanzanai nzima!.
Ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaa!.
Ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaa!.
Wakuu kuna tetesi zimeenea mitaani na kwenye mitandao kuwa UKAWA wanasubiri LOWASA atemwe wampe kugombea URAIS kupitia CHADEMA, wanasema eti ni maamzi ya mmiliki wa chama mzee Edwin Mtei. kama ni kweli basi mtakuwa mmewasaliti wanachama wenu.