UKAWA Wanahofia Kuzomewa Pindi Wakirudi BMK

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Ni baada ya kutoka bunge la katiba kwa mbwembwe na kiburi kama timu ya mpira iliyofuzu mashindano huku wakijua na kuamini Watanzania wa sasa ni wale wa mwaka wa 47, wakaamini lengo lao la kutoka litashangiliwa na kila mtu.

Baada ya kujidhihirishia kosa lao la kukimbia majadiliano, na kukosa support ya walio wengi kuendelea kugoma kurudi bungeni, Sasa wanatamani Sana kurudi ila wanahofia kuzomewa na wabunge na wajumbe ambao hawakutoka, wala hakuna sababu nyingine.

Rai yangu kwa mh. Sitta, awahakikishie kutokuzomewa pindi watakaporudi.

Unajua BMK wamekula mabilion ya pesa wasituchezee kabisa! Bado kuna ishu nimesikia harufu kwa mbaaali ya PPRA ya ununuzi wa BVR kwa $117, zaidi ya Tsh.295 bilion!
 
Hata wafanyeje watazomewa tu kama walivyozomewa wakati wanatoka, uliumbwa udongo utarudi kwa udongo
 
mtu ukiona anatapatapa ujue kazidiwa na hana ujanja
 
Mnaweweseeka na bado mwaka huu lazima mchizike,endeleeni kujadili kiujanjanjaujanja katiba mnayoitaka nyinyi kama chama wala sio wananchi,hukumu yake mtaipata ktk kuipitisha
 
Ukawa wakirudi bungeni kwa hali ya sasa watakuwa wameusaliti umma wa watanzania uliokaa juani kutoa maoni yao kwa tume ya warioba. Ccm waendelee na uchakachuaji wao dodoma bila kulazimisha ukawa kwenda dodoma!
 
Ni baada ya kutoka bunge la katiba kwa mbwembwe na kiburi kama timu ya mpira iliyofuzu mashindano huku wakijua na kuamini Watanzania wa sasa ni wale wa mwaka wa 47, wakaamini lengo lao la kutoka litashangiliwa na kila mtu.

Baada ya kujidhihirishia kosa lao la kukimbia majadiliano, na kukosa support ya walio wengi kuendelea kugoma kurudi bungeni, Sasa wanatamani Sana kurudi ila wanahofia kuzomewa na wabunge na wajumbe ambao hawakutoka, wala hakuna sababu nyingine.

Rai yangu kwa mh. Sitta, awahakikishie kutokuzomewa pindi watakaporudi.

Unajua BMK wamekula mabilion ya pesa wasituchezee kabisa! Bado kuna ishu nimesikia harufu kwa mbaaali ya PPRA ya ununuzi wa BVR kwa $117, zaidi ya Tsh.295 bilion!

Ahaaaa! Sasa mmeona ukawa ha watarudi mnageuza kuwa wanaogopa kuzomewa, harudi mtu bungeni hadi nyie mainterahamwe muache kujadili rasimu yenu ya uchochoroni na mjikite kwenye rasimu ya warioba. Nyambafu nyie!

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Ni baada ya kutoka bunge la katiba kwa mbwembwe na kiburi kama timu ya mpira iliyofuzu mashindano huku wakijua na kuamini Watanzania wa sasa ni wale wa mwaka wa 47, wakaamini lengo lao la kutoka litashangiliwa na kila mtu.

Baada ya kujidhihirishia kosa lao la kukimbia majadiliano, na kukosa support ya walio wengi kuendelea kugoma kurudi bungeni, Sasa wanatamani Sana kurudi ila wanahofia kuzomewa na wabunge na wajumbe ambao hawakutoka, wala hakuna sababu nyingine.

Rai yangu kwa mh. Sitta, awahakikishie kutokuzomewa pindi watakaporudi.

Unajua BMK wamekula mabilion ya pesa wasituchezee kabisa! Bado kuna ishu nimesikia harufu kwa mbaaali ya PPRA ya ununuzi wa BVR kwa $117, zaidi ya Tsh.295 bilion!

hukukosea maana mtaji mkubwa wa ccm uliobaki bungeni ni kuzomea tu,na wanafanya hivyo kwa kuwa hawana point za kuongea na kwa kuwa spika ni wao kama ulivyobainisha haoni kama huo ni ujinga sasa wabunge makini kama wa chadema hawawezi kuvumilia huo ujinga. lapili wabunge wa UKAWA wanachotaka kijadiliwe bungeni ni maoni ya wananchi sio maoni ya ccm.usipolitambua hili na wewe ni miongoni mwa waliojitoa Akili kuona kwamba maoni ya tume iliyochaguliwa na Rais wa nchi haikufanya kazi yoyote ila ccm ndio iliyofanya kazi ya kukusanya maoni ya wananchi
 
Mimi nasema wazomewe tu kucheka na nyani utavuna mabua bwana wazomewe make walitumwa kuvuruga nchi naona wamegonga mwamba.
 
hukukosea maana mtaji mkubwa wa ccm uliobaki bungeni ni kuzomea tu,na wanafanya hivyo kwa kuwa hawana point za kuongea na kwa kuwa spika ni wao kama ulivyobainisha haoni kama huo ni ujinga sasa wabunge makini kama wa chadema hawawezi kuvumilia huo ujinga. lapili wabunge wa UKAWA wanachotaka kijadiliwe bungeni ni maoni ya wananchi sio maoni ya ccm.usipolitambua hili na wewe ni miongoni mwa waliojitoa Akili kuona kwamba maoni ya tume iliyochaguliwa na Rais wa nchi haikufanya kazi yoyote ila ccm ndio iliyofanya kazi ya kukusanya maoni ya wananchi
Dawa ya tumbili kama ukawa ni kuyazomea tu nashauri wawachape na bakola ikiwezekana tumechoka nao.
 
Back
Top Bottom