Tatizo lenu wana-UKAWA ni utanganyika ndio umewafumba macho! Hivi unaweza kuamini kuwa eti Kibatala na usomi wake wote alidai eti kuwa "Rasimu ya Warioba ni Sheria!" Afadhali hata Tundu Lissu hakutia miguu mahakamani!
Hata mimi nilifundishwa kwamba mtu akisema kuwa fulani ni muongo lakini akashindwa kuthibitisha uwongo wake, huyo mtu ni wa kumpuuza!Katika kitu nilikielewa darasani wakati mwalimu ananifundisha nimatumizi ya neno "eti" nilivyofundishwa MTU akitumia neno hilo nimwongo niwakumpuuza
Wana-UKAWA mlikuwa mmeficha makucha, sasa yameanza kuonekana!Hivi Tanzania tuna mahakama? Mahakama hii iliyokithiri na inanuka rushwa? Hii si mahakama ni kitengo kingine cha chama cha wahuni wanachokitumia ili kutumia mabavu kubaki madarakani.
Wana-UKAWA mlikuwa mmeficha makucha, sasa yameanza kuonekana!
Ni kweli mkuu kuna rushwa ndio maana wana-UKAWA akina Tundu Lissu, Lema, Mnyika, nk wamerudishiwa ubunge wao!Kama hulijui hili la mahakama kukithiri kwa rushwa na pia ni kitengo cha chama cha wahuni basi utakuwa unaishi nchi ya kusadikika weye, pole sana.
Ni kweli mkuu kuna rushwa ndio maana wana-UKAWA akina Tundu Lissu, Lema, Mnyika, nk wamerudishiwa ubunge wao!
Najaribu kutafuta hayo uliyosema kwamba mahakama iliyatamka:
![]()
![]()
1.Kuna mgongano mkubwa kati ya toleo la Kiswahili na Toleo la Kiingereza la kifungu cha 25 (2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.
2. Kwamba pamoja na mgongano huo, Sheria imekusudia kwamba Madaraka ya Bunge Maalum la Katiba yatatekelezwa kupitia Rasimu ya Tume ya M.y.K kama ilivyowasilishwa kwake.
3. Kwamba mamlaka ya BMK yana mipaka, na kwamba madaraka yake yanaongozwa na na kutekelezwa kupitia Rasimu. BMK linaweza kubadili na kuboresha mapendekezo yaliyomo katika Rasimu mradi tu maboresho yasiende kinyume na misingi iliyowekwa na kifungu cha 9 (2) cha Sheria ya M.y.K, kama ilivyokuwa pia kwa Tume.
4.Mahakama Kuu haina Mamlaka ya kuamua ni kiwango gani BMK inaweza kuboresha Rasimu kwani hilo ni suala la kisiasa, ingawa BMK inafungwa na kifungu cha 9 (2) cha Sheria ya M.y.K.
Mkuu hoja yako nini hasa
1. Kwanini useme mahakama imezalauliwa na UKAWA usiseme CCM imedharau maoni ya wananchi?
2. Kwanini useme UKAWA wamedharau mahakama na usisemi ccm imevuruga msingi wa upatikanaji katiba bora?
3. Kwanini useme ukAWA wamedhrau mahakama usiseme katiba pendekezwa imekosa uhali mbele ya watanzania wote?
A) Imejadiliwa kibabe na chama kimoja yaani ccm, je tunaunda katiba ya ccm au ya taifa la Tanzania?
B) nikwa usahihi gan hasa imepata 2/3 ya wazanzibar?
Nimahakama ya kipuuzi inayotekeleza na kufanya maamuzi ya washenzii ccm unayoipigia kelele sidhani kunamahakama Duniani ya kishenzi kama hii unayoipigia kelele ikafanya upumbavu na ujinga kupindsha ukweli Ilikulinda maslahi ya wachache ccm na kuweka nyuma maslahi ya TaifaM
1. Kwa nini usiseme Bunge Maalum limeboresha maoni ya Wananchi badala ya kusema CCM wamedharau maoni ya wananchi? Pia kwa nini usiseme kuwa Rasimu ya Warioba ilikuwa hailifungi Bunge Maalum la Katiba?
Mpumbavu kama wewe unaweza kusema hivyo nawapumbavu wengine.
2. Kwa nini usiseme Serikali imeweka msingi wa kupata Katiba Bora kwa kuwashirikisha wananchi wote kutunga Katiba Bora badala ya kusema kuwa CCM imevuruga misingi?
3. Kwa nini usiseme kuwa Katiba inayopendekezwa itapata uhalali wakati wa Kura za maoni badala ya sasa?
Na kama unadai Mahakama ni ya kipuuzi nashauri UKAWA muunde Mahakama zenu ambapo Jaji Mkuu atakuwa ni Tundu Lissu na Majaji wengine ni akina Kibatala, Marando, nk! Hapo nafikiri "haki" itakuwa inatendeka mkuu!
Hivi Tanzania tuna mahakama? Mahakama hii iliyokithiri na inanuka rushwa? Hii si mahakama ni kitengo kingine cha chama cha wahuni wanachokitumia ili kutumia mabavu kubaki madarakani.
Uwa sipendi kuamini sana kuwa corruption inaweza ikaishinda justice. Sitakuja kuamini hilo.Nawashangaa UKAWA wanapeleka kesi kwenye Mahakama ambayo ni "corrupt!"