UKAWA Wanadharau Mahakama

UKAWA Wanadharau Mahakama

Wakuu,
Mahakama Kuu katika kesi ya kihistoria ya Saed Kubenea v. Attorney General, Misc. Civil Cause No. 28 of 2014 ilitamka wazi kwamba Bunge Maalum la Katiba
halikufungwa na RASIMU YA WARIOBA na wala hawakulazimika kufuata yaliyokuwa ndani ya RASIMU hiyo, ...
Najaribu kutafuta hayo uliyosema kwamba mahakama iliyatamka:

attachment.php

attachment.php

1.Kuna mgongano mkubwa kati ya toleo la Kiswahili na Toleo la Kiingereza la kifungu cha 25 (2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.

2. Kwamba pamoja na mgongano huo, Sheria imekusudia kwamba Madaraka ya Bunge Maalum la Katiba yatatekelezwa kupitia Rasimu ya Tume ya M.y.K kama ilivyowasilishwa kwake.
3. Kwamba mamlaka ya BMK yana mipaka, na kwamba madaraka yake yanaongozwa na na kutekelezwa kupitia Rasimu. BMK linaweza kubadili na kuboresha mapendekezo yaliyomo katika Rasimu mradi tu maboresho yasiende kinyume na misingi iliyowekwa na kifungu cha 9 (2) cha Sheria ya M.y.K, kama ilivyokuwa pia kwa Tume.
4.Mahakama Kuu haina Mamlaka ya kuamua ni kiwango gani BMK inaweza kuboresha Rasimu kwani hilo ni suala la kisiasa, ingawa BMK inafungwa na kifungu cha 9 (2) cha Sheria ya M.y.K.
 
Ukita watu wakuone ukawa nchii hii wewe sema ukweli ukisema ukweli utasikia wanakuita huyu ni ukawa
 
Najaribu kutafuta hayo uliyosema kwamba mahakama iliyatamka:

attachment.php

attachment.php

1.Kuna mgongano mkubwa kati ya toleo la Kiswahili na Toleo la Kiingereza la kifungu cha 25 (2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.

2. Kwamba pamoja na mgongano huo, Sheria imekusudia kwamba Madaraka ya Bunge Maalum la Katiba yatatekelezwa kupitia Rasimu ya Tume ya M.y.K kama ilivyowasilishwa kwake.
3. Kwamba mamlaka ya BMK yana mipaka, na kwamba madaraka yake yanaongozwa na na kutekelezwa kupitia Rasimu. BMK linaweza kubadili na kuboresha mapendekezo yaliyomo katika Rasimu mradi tu maboresho yasiende kinyume na misingi iliyowekwa na kifungu cha 9 (2) cha Sheria ya M.y.K, kama ilivyokuwa pia kwa Tume.
4.Mahakama Kuu haina Mamlaka ya kuamua ni kiwango gani BMK inaweza kuboresha Rasimu kwani hilo ni suala la kisiasa, ingawa BMK inafungwa na kifungu cha 9 (2) cha Sheria ya M.y.K.
Unamfafanulia jambo kubwa kama hili mtoto mdogo ataumia kichwa kuchambua uliyoyaandika
 
usipende kunyofoa baadhi ya sentensi ktk hukumu ili kujenga hoja mkuu,kasome statutory interpretation. kisha uisome ile judgment kiundani utaluta sehem mahakama ilipotamka wazi kuwa kuna mkanganyiko kati ya ile sheria ya kiswahili dhidi ya kiingereza hivo loophole kama hizi zinazid kuwapa ukawa locus stand ya kuchallenge hiyo decision ili kufikia clear conclusion
 
Ndugu zangu mambo ya kisiasa ni maridhiano sio ya kisheria kwa hiyo mahakama sio chama cha siasa na ndio maana walilielekeza bunge kujadili rasimu tu na si vinginevyo na hii inatokana kweli rasmu imekaa kisheria zaidi kuliko kisiasa
 
Buchanan, naomba unisaidie kutafsiri hukumu hii kuanzia namba moja hadi nne. Uzuri sio ndefu sana. Huenda lugha ya Malkia na ya kisheria zinanisumbua:
Now wea are talking! Muda si mrefu mkuu nitajikita kwenye hoja yako!
 
Ndugu zangu mambo ya kisiasa ni maridhiano sio ya kisheria kwa hiyo mahakama sio chama cha siasa na ndio maana walilielekeza bunge kujadili rasimu tu na si vinginevyo na hii inatokana kweli rasmu imekaa kisheria zaidi kuliko kisiasa
Huo ni ukurasa wa ngapi wa hukumu?
 
Ndugu zangu mambo ya kisiasa ni maridhiano sio ya kisheria kwa hiyo mahakama sio chama cha siasa na ndio maana walilielekeza bunge kujadili rasimu tu na si vinginevyo na hii inatokana kweli rasmu imekaa kisheria zaidi kuliko kisiasa
Mkuu ni ukurasa wa ngapi wa Hukumu hiyo unaodai eti Bunge Maalum la Katiba lijikite kwenye Rasimu ya Warioba?
 
Unamfafanulia jambo kubwa kama hili mtoto mdogo ataumia kichwa kuchambua uliyoyaandika
Tatizo lenu wana-UKAWA ni utanganyika ndio umewafumba macho! Hivi unaweza kuamini kuwa eti Kibatala na usomi wake wote alidai eti kuwa "Rasimu ya Warioba ni Sheria!" Afadhali hata Tundu Lissu hakutia miguu mahakamani!
 
Najaribu kutafuta hayo uliyosema kwamba mahakama iliyatamka:

attachment.php

attachment.php

1.Kuna mgongano mkubwa kati ya toleo la Kiswahili na Toleo la Kiingereza la kifungu cha 25 (2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.

2. Kwamba pamoja na mgongano huo, Sheria imekusudia kwamba Madaraka ya Bunge Maalum la Katiba yatatekelezwa kupitia Rasimu ya Tume ya M.y.K kama ilivyowasilishwa kwake.
3. Kwamba mamlaka ya BMK yana mipaka, na kwamba madaraka yake yanaongozwa na na kutekelezwa kupitia Rasimu. BMK linaweza kubadili na kuboresha mapendekezo yaliyomo katika Rasimu mradi tu maboresho yasiende kinyume na misingi iliyowekwa na kifungu cha 9 (2) cha Sheria ya M.y.K, kama ilivyokuwa pia kwa Tume.
4.Mahakama Kuu haina Mamlaka ya kuamua ni kiwango gani BMK inaweza kuboresha Rasimu kwani hilo ni suala la kisiasa, ingawa BMK inafungwa na kifungu cha 9 (2) cha Sheria ya M.y.K.
Mkuu,
Kuna vitu 2 hapa, yaani Hukumu na Sababu za Hukumu! Wewe ulichonukuu ni "Hukumu," mimi nilichonukuu ni "Sababu za Hukumu!" Tuanzie hapo kwanza!
 
Naomba unipe vifuatavyo:

1. document inayoelezea 'Sababu za Hukumu'

2. document inayoeleza kwamba Bunge Maalum la Katiba halikufungwa na RASIMU YA WARIOBA na wala hawakulazimika kufuata yaliyokuwa ndani ya RASIMU hiyo kama ulivyotueleza hapa nilipokuquote:
Wakuu,

Mahakama Kuu katika kesi ya kihistoria ya Saed Kubenea v. Attorney General, Misc. Civil Cause No. 28 of 2014 ilitamka wazi kwamba Bunge Maalum la Katiba halikufungwa na RASIMU YA WARIOBA na wala hawakulazimika kufuata yaliyokuwa ndani ya RASIMU hiyo, ...
 
si rahisi kwa binadamu aliyejidharau nafsi yake kuheshimu mamlaka zilizopo, UKAWA wameshadharau utu wao kama watanzania, hawaoni faida ya kuheshimu mamlaka zilizopo, hawa watu ni wa kupuuzwa toka mwanzo

Rudini shule!
 
Attachments

  • 1414171648243.jpg
    1414171648243.jpg
    50.1 KB · Views: 63
Back
Top Bottom