UKAWA wamwandama Rais Magufuli

UKAWA wamwandama Rais Magufuli

Awamu hii mtaandika thread mpaka vidole vipinde, lakini hizo akilinj zenu ndogo watanzania wameshazishtukia , yaani watanzania tunamuelewa Magufuli kuliko maelezo

Badilisheni mbinu, kama prof kitila alivyowashaur la sivyo mtabaki historia

# Hapa KAzi Tu
By wa Tanzania una Maana wewe,Mumeo na wanenu sio ?
 
RAIS John Magufuli anaandamwa, sasa anatakiwa kuwachukulia hatua wakurugenzi, watendaji na makatibu tawala wa mikoa waliosababisha kuwepo kwa watumishi hewa, anaandika Aisha Amran.

Wabunge na viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wamekuwa wakimtaka Rais Magufuli kuchukua hatua dhidi ya wale wanaofuja fedha za umma.

Safari hii Ruth Mollel, Waziri Kivuli na Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni-Ofisi ya Rais (Utumishi) amesema, endapo Rais Magufuli atashindwa kuwachukulia hatua watumishi hao, atakuwa hajatimiza wajibu wake.

Amesema, sababu inayochangia kuwepo kwa watumishi hewa ni udhaifu wa Tume ya Utumishi wa Umma kutohakiki mfumo wa rasilimali watu pia kukoseka kwa vitendea kazi ili watekeleze jukumu la kuhakiki watumishi wa umma na kisha kutoa taarifa kwa mamlaka husika.

Amesema “watumishi hewa ni tatizo la kutengenezwa kwa makusudi kwani mabilioni yanayopotea kila mwaka kutokana na malipo ya watumishi hewa yanakwenda kwenye mifuko binafsi ya viongozi na watendaji.”

Amesema, licha ya kelele na jitihada zote na taarifa rasmi za kila mwaka za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesaba za Serikali (CAG) kuonesha ukubwa na upana wa tatizo, hakuna kiongozi wala mtendaji wa idara ya serikali au taasisi ambaye amewajibishwa.

“Wakurugenzi watendaji wa Halmashauri za Serikali za Mitaa ndio waajiri wa watumishi katika halmashauri zao. Kwa sababu hiyo, Wakuu wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri wanahusika moja kwa moja na uwepo wa watumishi hewa katika mikoa na katika halmashauri za serikali za mitaa.

“Hawa ndio ambao wamepewa jukumu na Rais Magufuli la kuwabaini watumishi hewa katika maeneo yao na kutoa taarifa,” amesema Mollel na kuongeza;

“Tunasubiri kuona hatua zitakazochukulia na Rais Magufuli dhidi ya wakuu wa mikoa na wakurugenzi wa halmashauri ambao kwa makusudi au kwa uzembe wao wamesababisha kuwepo kwa watumishi hewa katika mikoa na halmashauri zao.”

Majina ya viti maalum wa chadema asilimia kubwa wanatoka kaskazini sijui wametumia vigezo gani? du kweli kazi ipo
 
swala la watumishi hewa ni hoja ya jmp sasa kama ameianza atashindwaje kuwachukulia hatua
 
Alifanya nini wakati akiwa utumishi??
 
maskini ukawa wamebakia kudandia gari kwa mbele
 
Hao wakurugenzi ndio wamejazana kwenye huu uzi baada ya kuona huu utawasababishia madhara ya kutumbuliwa . chama cha ccm ndio kimekua siku zote kikiwatumia hawa wakurugenzi kuiba pesa za kampeni ambapo hata wakati mwingine walilazimisha mishahra ya wafanya kazi kukatwa kugharamia kampeni. Hata kampeni ya Magu ambayo kiukweli ndio iliyotumia pesa nyingi kuliko watangulizi wake ambayo ni karibu trilioni mbili ilikusanywa kwa kiwango kukubwa kijinai na hawa hawa wakugenzi. Sasa yatawatokea puani maana waliyemsapoti anajifanya hizo pesa walizompeleka nazo ikulu hana habari nazo. Namtumbuiwe tu maana ndivyo 40 yenu ilivyowafikilia!
 
Kumbe ccm wakiambiwa ukweli wana kulupuka namna hii mi nazan ujumbe umefika hayo mengine kelele tu.
 
Hata mimi nilikua mkurugenzi je nilifanya nini?
 
Ukawa ndiyo alikuwa msanii gani vile maana nishasahau nyimbo zake?
 
RAIS John Magufuli anaandamwa, sasa anatakiwa kuwachukulia hatua wakurugenzi, watendaji na makatibu tawala wa mikoa waliosababisha kuwepo kwa watumishi hewa, anaandika Aisha Amran.

Wabunge na viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wamekuwa wakimtaka Rais Magufuli kuchukua hatua dhidi ya wale wanaofuja fedha za umma.

Safari hii Ruth Mollel, Waziri Kivuli na Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni-Ofisi ya Rais (Utumishi) amesema, endapo Rais Magufuli atashindwa kuwachukulia hatua watumishi hao, atakuwa hajatimiza wajibu wake.

Amesema, sababu inayochangia kuwepo kwa watumishi hewa ni udhaifu wa Tume ya Utumishi wa Umma kutohakiki mfumo wa rasilimali watu pia kukoseka kwa vitendea kazi ili watekeleze jukumu la kuhakiki watumishi wa umma na kisha kutoa taarifa kwa mamlaka husika.

Amesema “watumishi hewa ni tatizo la kutengenezwa kwa makusudi kwani mabilioni yanayopotea kila mwaka kutokana na malipo ya watumishi hewa yanakwenda kwenye mifuko binafsi ya viongozi na watendaji.”

Amesema, licha ya kelele na jitihada zote na taarifa rasmi za kila mwaka za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesaba za Serikali (CAG) kuonesha ukubwa na upana wa tatizo, hakuna kiongozi wala mtendaji wa idara ya serikali au taasisi ambaye amewajibishwa.

“Wakurugenzi watendaji wa Halmashauri za Serikali za Mitaa ndio waajiri wa watumishi katika halmashauri zao. Kwa sababu hiyo, Wakuu wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri wanahusika moja kwa moja na uwepo wa watumishi hewa katika mikoa na katika halmashauri za serikali za mitaa.

“Hawa ndio ambao wamepewa jukumu na Rais Magufuli la kuwabaini watumishi hewa katika maeneo yao na kutoa taarifa,” amesema Mollel na kuongeza;

“Tunasubiri kuona hatua zitakazochukulia na Rais Magufuli dhidi ya wakuu wa mikoa na wakurugenzi wa halmashauri ambao kwa makusudi au kwa uzembe wao wamesababisha kuwepo kwa watumishi hewa katika mikoa na halmashauri zao.”
Hiali yake. Yeye ndiye aliagiza wasakwe hivyo anajua cha kuwafanya.
Huyu Mollel alikuwa katibu mkuu wa wizara hana alichokifanya. Aangalie wenzie wanachapa kazi. Huo mdomomdomo kutaka kujionesha kuwa na nyie mpo, kunaweza kufanya wasichukuwe hatua kwa hofu ya kuambiwa wanatekeleza matakwa ya chadema. Au ndio lengo ili kuwaokoa wenzenu watu wa dili.
 
Back
Top Bottom