Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
- Thread starter
- #21
Kukurupuka na kushtukiza yanazaa maigizo piaDr. Magufuli hana haja ya kuambiwa na mtu kazi yake anaielewa vizuri na sasa inafanyika. Kwani kodi inayokusanywa sasa Kuna mtu amemwambia au amempeleka darasani? Tafadhali kaeni kimya nchi isafiswe maana ilichafuka Sana.