Hata baba yako mzazi asipokupa haki yako na kukuonea bila sababu hutomheshimu utamchukia, na akikupiga mara kwa mara atakufanya sugu na mwishowe uoga wote utaisha, mtabakia jicho kwa jichoSio KUMUOGOPA... la..❌❌❌
sisemi hivyo...
Nasema LAZIMA KUMHESHIMU..kumheshimu mtu sio kumuogopa..!!
Sasa ikiwa mtu anashindwa kumheshimu Mh. Rais kwa hiyari tu, sasa NGUVU ITATUMIKA ili ashike adabu na heshima...!!
Hizo spinning sijui Tundu Lissu hakumtaja mtu jina ndio hapo... asifanye watu wajinga.. huo ni ujinga, tunajua wazi anasema DICTATOR UCHWARA ni Rais.. ni akili ya kitoto kusema hakumtaja jina... mtoto akiiba kitu eg sugar ukamnasa, atakwambia sijaiba kabisaaa ila pembeni mdomoni sukari imetapakaa kuzunguka mdomo..
So Tundu Lissu aache KUTUMIA LUGHA za kuudhi, na kumdharau sana Rais...
Hata Mungu ukimdharau UTAKIONA CHA MTEMA KUNI.. Sasa ktk siasa lazima ukubali Rais ndio mtu pekee aliyepewa madaraka na wananchi kuongoza nchi yetu... sasa Lazima TUMHESHIMU..!! Akikosea Rais, kuna namna ya kufikisha ujumbe na akaelewa na akajirekebisha.. ila sio KUMDHARAU na KUMKOSEA HESHIMA, mara DICTATOR UCHWARA, sijui nn... hilo kamwe hapana, hapana, hapana...❌❌❌❌
Please muwe na ADABU... neno DICTATOR lisitumike kumchafua Rais wetu Magufuli..!! Mh. Rais hajawahi na sio DICTATOR..!!❌❌❌❌
Hii ndio jina kweli la kumuita Rais wetu aliyechaguliwa kwa kura za wananchi..? Inaudhi sana...❌❌❌❌
Hivi mnajua DICTATOR yukoje..? ✂✂✘✘ Lissu kaniudhi sana kwa kweli...
Mh. Rais Magufuli kapatikana kwa njia ya demokrasia, kwa kupigiwa kura, na yeye ndio Rais halali kwa mujibu wa Katiba yetu, kaunda SERIKALI halali, na anawatumikia WANANCHI WOTE bila kujali vyama, dini, rangi, kabila au wanaompinga hadharani majimbo yao yamepewa budget inayostahili...!!
KUZUIWA kwa MIKUTANO YA HADHARA ndio UKAWA kweli muuanze fujo, dharau, vurugu, kumtukana Rais ni DICTATOR, kisa kuzuiwa kwa mikutano ya HADHARA..?
Kampeni zilishaisha, period, aliyepata kuchaguliwa kapewa kijiti, aliyekosa ajipange baada ya miaka 5 kaombe kura... sasa ni wakati wa KUPIGA KAZI... kutimiza ahadi za wananchi... ila sio sasa hv kuanza KAMPENI na mikutano ya HADHARA, maendeleo yatafanyika saa ngapi.?
Mh. Rais Magufuli, piga kazi... wakisusa wewe ongeza speed, matokeo yataonekana SOON, na WANANCHI WATAONA... usife moyo... twende tuko nyuma yako...!!
Kazi kutafuta fujo tu.....!!
Hata baba yako mzazi asipokupa haki yako na kukuonea bila sababu hutomheshimu utamchukia, na akikupiga mara kwa mara atakufanya sugu na mwishowe uoga wote utaisha, mtabakia jicho kwa jicho
Hizo ni thimls za mmbwa mwogaUKAWA wanatakiwa wafikirie matokeo ya maamuzi wanayofanya na waachane kufanya mambo kwa mazoea. Mgomo waliounza bungeni sasa hivi unawamaliza. Kwa haraka haraka mtu anaweza kudhani wamegoma kuhudhuria hafla Ikulu lakini ukweli walijua kama wangeenda kwenye mnuso wakati wametoka bungeni ingeleta picha mbaya. Kwa maneno rahisi, kususa bunge kunaanza kuathiri nafasi ya UKAWA kuhudhuria mambo mengine ya kitaifa.
Sasa huko tuendako watamalizaje huo usanii wa kususa?
Umeoga madam!!!!???Hili neno "DICTATOR" lafaa kupigwa marufuku hapa jukwaani. Hatuwezi kuendelea kumdhihaki rais kiasi hiki.
Huu mwezi.mtukifu usituletee JANABA!!!Umeoga madam!!!!???
Joseph au John?ahaaa! Kumbe ni mh. Pombe! Mimi nilikuwa namfahamu kwa jina la Joseph Pombe
Ila nashukuru kwa kunijuza mdau
Unatumia masaburi KUJENGA hojaUKAWA wanatakiwa wafikirie matokeo ya maamuzi wanayofanya na waachane kufanya mambo kwa mazoea. Mgomo waliounza bungeni sasa hivi unawamaliza. Kwa haraka haraka mtu anaweza kudhani wamegoma kuhudhuria hafla Ikulu lakini ukweli walijua kama wangeenda kwenye mnuso wakati wametoka bungeni ingeleta picha mbaya. Kwa maneno rahisi, kususa bunge kunaanza kuathiri nafasi ya UKAWA kuhudhuria mambo mengine ya kitaifa.
Sasa huko tuendako watamalizaje huo usanii wa kususa?
Alisema pia mnaweza kumuita MbegeJoseph au John?
Ipo video,wakati anapiga kampeni alisema watu wanaweza kumwita, Pombe, Spirit, Wine ni sawa tu. Sijui kama bado msimamo wake uko hivyo baada ya kuukwaa utakatifu!
Tanzania Ina ombwe la diplomasia toka BENARD KAMILIUS MEMBE. WIZARA IPO KWA WAZIRI WA NUSU WELEDI ANAYEFUATA MZUKA YA MFALME MKUU WA TZ AMBAYE ANACHEKEWA NA TAASISI ZA DINIHivi kwanini JPM hajiulizi ilikuwaje KJ akawa na urafiki wa mashaka na Kagame??
Nijuavyo mimi JK alikuwa anasaidia kuwaondoa waasi DRC na bwana Kagame hataki waondoke kuna tetesi kwamba Kagame anawasaidia.
Sasa tujiulize JPM anamuunga Kagame mkono kama kweli anawasaidia waasi?
Kagame ameona uhodari wa jeshi la Tanzania lililopo DRC anataka kumuingia jamaa yetu ili awaondoe makamanda wetu huko Kongo kwa manufaa yake.
Nashauri JPM awe makini na huo undugu wake na KAGAME
Please muwe na ADABU... neno DICTATOR lisitumike kumchafua Rais wetu Magufuli..!! Mh. Rais hajawahi na sio DICTATOR..!!❌❌❌❌
Hii ndio jina kweli la kumuita Rais wetu aliyechaguliwa kwa kura za wananchi..? Inaudhi sana...❌❌❌❌
Mh. Rais Magufuli kapatikana kwa njia ya demokrasia, kwa kupigiwa kura, na yeye ndio Rais halali...
Mi nazani wapo sawa mana upinzani umeshzonekana kama sio wa Tz sasa hakuna kunyenyekea mtu kwanza kagame hawezi kushauri mazuri kwa Tz yetu maana ndio wala wale wasio sitaka demokrasiaUKAWA wanatakiwa wafikirie matokeo ya maamuzi wanayofanya na waachane kufanya mambo kwa mazoea. Mgomo waliounza bungeni sasa hivi unawamaliza. Kwa haraka haraka mtu anaweza kudhani wamegoma kuhudhuria hafla Ikulu lakini ukweli walijua kama wangeenda kwenye mnuso wakati wametoka bungeni ingeleta picha mbaya. Kwa maneno rahisi, kususa bunge kunaanza kuathiri nafasi ya UKAWA kuhudhuria mambo mengine ya kitaifa.
Sasa huko tuendako watamalizaje huo usanii wa kususa?
Hawajielewi ndio maana wanafanya Cheap PoliticsMtasubili sana nyie UKAWA, jueni kuwa mmepotea
birds of the same wings fly togatherHivi kwanini JPM hajiulizi ilikuwaje KJ akawa na urafiki wa mashaka na Kagame??
Nijuavyo mimi JK alikuwa anasaidia kuwaondoa waasi DRC na bwana Kagame hataki waondoke kuna tetesi kwamba Kagame anawasaidia.
Sasa tujiulize JPM anamuunga Kagame mkono kama kweli anawasaidia waasi?
Kagame ameona uhodari wa jeshi la Tanzania lililopo DRC anataka kumuingia jamaa yetu ili awaondoe makamanda wetu huko Kongo kwa manufaa yake.
Nashauri JPM awe makini na huo undugu wake na KAGAME
Tunataka uongozi/serikali bora na sio Raisi mkali pia mtu anaye tambua katiba na sheria za nchi na asiye na upendeleo kwa kundi la watu flani au kutumia jeshi kwa manufaa yake binafsi, sasa swali je JPM anafiti hapo?Halafu hata mimi swala hili linanitatiza kweli: eti Ukawa walikuwa wanataka raisi mkali na mwenye kuchukia hatua za kijasili. Leo amepatikana wanaaza kuogopa ogopa!! Kana kwamba wao ndiyo wanachukua hatua hizo za kijasili. Eti bora angekuwa yule yule ..huu ni unafiki uliokidhiri!!