kwani kujali ndio serikali ifuate jinsi chadema inataka kwa hoja dhaifu za upinzani? cdm sio chama tawala hivyo wajifunze kutambua nafasi yao sio kudhani wataongoza nchi huku serikali kwa kila hali imeonyesha kufanya kile wananchi wanataka.Dar es Salaam. Vyama vya upinzani vimesusia hafla iliyoandaliwa Ikulu kwa ajili ya Rais Paul Kagame wa Rwanda.
Rais John Magufuli alikuwa ameandaa dhifa ya kitaifa kwa ajili ya mgeni huyo ambaye aliwasili nchini juzi kwa ziara ya siku mbili, iliyohusisha kufungua Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara jijini Dar es Salaam.
Baada ya kuzindua maonyesho hayo, Rais Kagame aliandaliwa hafla hiyo ambayo ingeweza kumkutanisha na viongozi wengine wa kisiasa na wafanyabiashara, lakini hali ikawa tofauti baada ya viongozi wa vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa kutoshudhuria.
“Kuna mgogoro huo wa kuzuia mikutano ya hadhara, lakini hawajali. Suala la Zanzibar, watu wanakufa lakini hawajali, bungeni kuna mpasuko kwa muda wote lakini hawajali,” amesema Mwenyekiti wa Chadema, Freeman
Mbowe, ambaye ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na mbunge wa Hai akizungumzia uamuzi wao wa kugoma.
Hata hivyo jay one mbona mi naona huyo lissu hata hatambui alichosema anamaanisha nini maana unapompa mtu sifa ya uchwara it meanz anajifanya na sio halisiPlease muwe na ADABU... neno DICTATOR lisitumike kumchafua Rais wetu Magufuli..!! Mh. Rais hajawahi na sio DICTATOR..!![emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]
Hii ndio jina kweli la kumuita Rais wetu aliyechaguliwa kwa kura za wananchi..? Inaudhi sana...[emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]
Hivi mnajua DICTATOR yukoje..? [emoji418][emoji418]✘✘ Lissu kaniudhi sana kwa kweli...
Mh. Rais Magufuli kapatikana kwa njia ya demokrasia, kwa kupigiwa kura, na yeye ndio Rais halali kwa mujibu wa Katiba yetu, kaunda SERIKALI halali, na anawatumikia WANANCHI WOTE bila kujali vyama, dini, rangi, kabila au wanaompinga hadharani majimbo yao yamepewa budget inayostahili...!!
KUZUIWA kwa MIKUTANO YA HADHARA ndio UKAWA kweli muuanze fujo, dharau, vurugu, kumtukana Rais ni DICTATOR, kisa kuzuiwa kwa mikutano ya HADHARA..?
Kampeni zilishaisha, period, aliyepata kuchaguliwa kapewa kijiti, aliyekosa ajipange baada ya miaka 5 kaombe kura... sasa ni wakati wa KUPIGA KAZI... kutimiza ahadi za wananchi... ila sio sasa hv kuanza KAMPENI na mikutano ya HADHARA, maendeleo yatafanyika saa ngapi.?
Mh. Rais Magufuli, piga kazi... wakisusa wewe ongeza speed, matokeo yataonekana SOON, na WANANCHI WATAONA... usife moyo... twende tuko nyuma yako...!!
Kazi kutafuta fujo tu.....!!
Unajua ukweli lakini mahaba yanakufanya upotoshe. Ukawa wamemgomea NS. Serikali ilitakiwa kuingilia kati kumaliza tofauti hiyo lakini kwa makusudi wamekaa kimya na siku zote tuna wasikia viongozi wa ukawa wakisema kuna mpasuko unahitaji wajadili lakini ccm hawapo tayari kumaliza suala hilo kitu kinacho niaminisha nikweli NS anatumba kukandamiza wabunge wa upinzani bungeni.UKAWA wanatakiwa wafikirie matokeo ya maamuzi wanayofanya na waachane kufanya mambo kwa mazoea. Mgomo waliounza bungeni sasa hivi unawamaliza. Kwa haraka haraka mtu anaweza kudhani wamegoma kuhudhuria hafla Ikulu lakini ukweli walijua kama wangeenda kwenye mnuso wakati wametoka bungeni ingeleta picha mbaya. Kwa maneno rahisi, kususa bunge kunaanza kuathiri nafasi ya UKAWA kuhudhuria mambo mengine ya kitaifa.
Sasa huko tuendako watamalizaje huo usanii wa kususa?
Aliyesema raisi dictator ni nani?? Mbona mnajishtukiaPlease muwe na ADABU... neno DICTATOR lisitumike kumchafua Rais wetu Magufuli..!! Mh. Rais hajawahi na sio DICTATOR..!!❌❌❌❌
Hii ndio jina kweli la kumuita Rais wetu aliyechaguliwa kwa kura za wananchi..? Inaudhi sana...❌❌❌❌
Hivi mnajua DICTATOR yukoje..? ✂✂✘✘ Lissu kaniudhi sana kwa kweli...
Mh. Rais Magufuli kapatikana kwa njia ya demokrasia, kwa kupigiwa kura, na yeye ndio Rais halali kwa mujibu wa Katiba yetu, kaunda SERIKALI halali, na anawatumikia WANANCHI WOTE bila kujali vyama, dini, rangi, kabila au wanaompinga hadharani majimbo yao yamepewa budget inayostahili...!!
KUZUIWA kwa MIKUTANO YA HADHARA ndio UKAWA kweli muuanze fujo, dharau, vurugu, kumtukana Rais ni DICTATOR, kisa kuzuiwa kwa mikutano ya HADHARA..?
Kampeni zilishaisha, period, aliyepata kuchaguliwa kapewa kijiti, aliyekosa ajipange baada ya miaka 5 kaombe kura... sasa ni wakati wa KUPIGA KAZI... kutimiza ahadi za wananchi... ila sio sasa hv kuanza KAMPENI na mikutano ya HADHARA, maendeleo yatafanyika saa ngapi.?
Mh. Rais Magufuli, piga kazi... wakisusa wewe ongeza speed, matokeo yataonekana SOON, na WANANCHI WATAONA... usife moyo... twende tuko nyuma yako...!!
Kazi kutafuta fujo tu.....!!
Kwani neno hilo linahusiana vipi na Rais?Hili neno "DICTATOR" lafaa kupigwa marufuku hapa jukwaani. Hatuwezi kuendelea kumdhihaki rais kiasi hiki.
Hivi nani mwenye mamlaka ya kumuondoa Rais madarakani?
Akili yako ndogo sana.
maana yake kaburu!Nini maana ya dikteta? Nielewesheni
Aliyesema raisi dictator ni nani?? Mbona mnajishtukia
Rais akishavunja bunge nini kinafuata?Kumwondoa Rais ni mpaka Kwa kura... Bunge linacunjwa saa yoyote Rais akiona inafaa...
Kiungo gani umetumia kufikiri hiki ulichoandikaUKAWA wanatakiwa wafikirie matokeo ya maamuzi wanayofanya na waachane kufanya mambo kwa mazoea. Mgomo waliounza bungeni sasa hivi unawamaliza. Kwa haraka haraka mtu anaweza kudhani wamegoma kuhudhuria hafla Ikulu lakini ukweli walijua kama wangeenda kwenye mnuso wakati wametoka bungeni ingeleta picha mbaya. Kwa maneno rahisi, kususa bunge kunaanza kuathiri nafasi ya UKAWA kuhudhuria mambo mengine ya kitaifa.
Sasa huko tuendako watamalizaje huo usanii wa kususa?
kumbe mlio choka kufikiri mpo wengi! endelea kujipendekeza akupe ukuu wa kijiji.Tundu Mughway Lissu...!!❌❌❌
Hivi Mh. Rais Magufuli angekuwa DICTATOR, hata Lissu angefikishwa MAHAKAMANI KWELI..? Angepata hata podium ya kurudia rudia kusema Rais ni DICTATOR UCHWARA..? Si angempoteza tu wala asingejulikana yuko wapi..
Jamani, lazima Rais aheshimike... sio OMBI ni lazima.. Rais SIO MWENZAKO... Lazima tumheshimu na adabu tele iwepo..!! Haiwezekani mtu kama Lissu, pamoja na UHAMAHIRI WAKE KTK SHERIA, but he has to RESPECT and DISPLINE himself hata kabla ya Dola kuingilia, kuwa Rais sio wa KUDHARAULIWA TU HOVYO HOVYO... hili halikubaliki..!! hapana tuseme..!!❌❌❌❌ Heshima ni lazima, kwa Rais... hapana, sio kumtukana hovyo hovyo.. hapana hapana..!!
Inauma..!! Mh. Rais lazima aheshimiwe.. lazima..!!✔✔✔
Acha mambo ya ajabu ww!! Kwahiyo Magufuli ni dikteta wa kwanza hapa Duniani?Hili neno "DICTATOR" lafaa kupigwa marufuku hapa jukwaani. Hatuwezi kuendelea kumdhihaki rais kiasi hiki.
Nini maana ya dikteta? Nielewesheni
Hilo neno siyo dhihaka, bali ni hulka ya mh mtukufu rais wetuHili neno "DICTATOR" lafaa kupigwa marufuku hapa jukwaani. Hatuwezi kuendelea kumdhihaki rais kiasi hiki.
We Vipi....nani anawahitaji UKAWA! hawana mchango wowote kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi hii! wataendelea kusota vijiweni!Dar es Salaam. Vyama vya upinzani vimesusia hafla iliyoandaliwa Ikulu kwa ajili ya Rais Paul Kagame wa Rwanda.
Rais John Magufuli alikuwa ameandaa dhifa ya kitaifa kwa ajili ya mgeni huyo ambaye aliwasili nchini juzi kwa ziara ya siku mbili, iliyohusisha kufungua Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara jijini Dar es Salaam.
Baada ya kuzindua maonyesho hayo, Rais Kagame aliandaliwa hafla hiyo ambayo ingeweza kumkutanisha na viongozi wengine wa kisiasa na wafanyabiashara, lakini hali ikawa tofauti baada ya viongozi wa vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa kutoshudhuria.
“Kuna mgogoro huo wa kuzuia mikutano ya hadhara, lakini hawajali. Suala la Zanzibar, watu wanakufa lakini hawajali, bungeni kuna mpasuko kwa muda wote lakini hawajali,” amesema Mwenyekiti wa Chadema, Freeman
Mbowe, ambaye ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na mbunge wa Hai akizungumzia uamuzi wao wa kugoma.
UKAWA wanatakiwa wafikirie matokeo ya maamuzi wanayofanya na waachane kufanya mambo kwa mazoea. Mgomo waliounza bungeni sasa hivi unawamaliza. Kwa haraka haraka mtu anaweza kudhani wamegoma kuhudhuria hafla Ikulu lakini ukweli walijua kama wangeenda kwenye mnuso wakati wametoka bungeni ingeleta picha mbaya. Kwa maneno rahisi, kususa bunge kunaanza kuathiri nafasi ya UKAWA kuhudhuria mambo mengine ya kitaifa.
Sasa huko tuendako watamalizaje huo usanii wa kususa?