chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,961
jamii gani iliyokata tamaa?? au jamii ya BAVICHA?? sisi mbona tunaona fresh tuMagufuli atapotupeleka wapi sijui,jamii imekata tamaa.halafu washauri wake hawampi hali halisi wanaitikia...ndio...ndio
Magufuli atapotupeleka wapi sijui,jamii imekata tamaa.halafu washauri wake hawampi hali halisi wanaitikia...ndio...ndio
Wewe njoo tu mitaani. Uandamane ndio utajua magufuli alikuwa anamaanisha nini.Huyu jamaa huwa anakurupuka sidhani kama huwa anatafakari nini cha kuongea na nini hakistahili kuongelewa. Huyu jamaa ni janga kubwa la Taifa.
Mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni amepinga vikali kitendo cha Magufuli kuzuia watu kusema, amesema unapozuia watu kusema unasababisha watu kusema kwa vitendo na wakisema kwa vitendo, vitendo hivyo vinakuwa vya uvunjifu wa amani.
Ameshangaa pia kiongozi huyo aliposema kuwa atawalinda marais wastaafu kwani marais wastaafu wanalindwa na katiba wala sio kauli zake, amemtaka aache kuropoka kwani kauli zake zinalifarakanisha taifa.
Kila mwaka huwa mnatuambia bajeti ya mwaka huu ni mbovu mno..! Tumewachoka tafuteni kiki ingine.
Acheni maneno mengi chukueni hatua...Ndio aache kuropoka
Anadhani yeye ndiye Mungu wa Tanzania labda
Walikuwepo kina nyerere wenye kila haiba ya uongozi lkn hawakuwa waropokaji km yy
Asidhani anapendwa sana wanaomchekea wakat anahutubia wanalinda vibarua vyao tu
Nawashangaa kila siku wanatoa matamko bila kuchukua hatua.Wewe njoo tu mitaani. Uandamane ndio utajua magufuli alikuwa anamaanisha nini.
Mbowe acha maneno mengi fanya hivyo vitendo tukuone wewe mwanaume kweli!
Magufuli yeye ni maneno machache na matendo mengi.