Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,836
Halafu yule mama mwenye mapengo ni nani huyo?Nawashangaa kila siku wanatoa matamko bila kuchukua hatua.
Halafu yule mama mwenye mapengo ni nani huyo?Nawashangaa kila siku wanatoa matamko bila kuchukua hatua.
Mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni amepinga vikali kitendo cha Magufuli kuzuia watu kusema, amesema unapozuia watu kusema unasababisha watu kusema kwa vitendo na wakisema kwa vitendo, vitendo hivyo vinakuwa vya uvunjifu wa amani.
Ameshangaa pia kiongozi huyo aliposema kuwa atawalinda marais wastaafu kwani marais wastaafu wanalindwa na katiba wala sio kauli zake, amemtaka aache kuropoka kwani kauli zake zinalifarakanisha taifa.
Hata bajeti mnayolilia sijajua kama imewahi pitishwa ya upinzani. Maana sisi kazi ya kuongea ni kawaida. Tungekuwa mle leo wangesema wanatumia bajeti ya upinzani na mwisho wanakataa.Hujitambui na hata ukiambiwa bajeti mbovu huelewi kwa sababu uwezo wako wa kuelewa ubovu wa bajeti ni finyu sana. Umewachoka wewe na nani? acha kukurupuka na kujibaraguza.
Wewe hapo umegusa kwenye kidondambowe umekuwa mwenyekiti wa chadema muda mrefu, haya inatosha waachie wenzio nao waongoze!! hiyo ndio demokrasia
Huwa anaona tumemsahau. Kesho watasema bajeti yao ndo inatumika wakati wanaandika matusi na kejeli.Mbowe is a big failure. Mtu anabadili gia angani na kuleta mafisadi aliotuaminisha miaka mia. Pathetic kabisa, Magu fanya kazi achana na hawa wapiga domo.
Hahahahahah jamaa zetu awa waoza meno, hawaamini kama watanzania hawawataki. Waongeaji wakuu wote wawili wanywa mbegeJamaa anarafudhi ya kama jirani yangu muuza duka.
Mda wa kubembelezwa haupo tena.
Hapa kazi.
Magufuli atapotupeleka wapi sijui,jamii imekata tamaa.halafu washauri wake hawampi hali halisi wanaitikia...ndio...ndio
Ila awa jamaa matapeli sana, mchungaji ananyoa kiduku!Hahaha Mch Msigwa amesema wazi kuwa Rais Magufuli alishinda kwa kura Million 8 dhidi ya Kura million 6 za kwao.
Aisee hapa Mch nimekubali kwa kusema ukweli!
Yule atakuwa baby wa Mbati kutoka zanziba na yule bonge anayesema vyombo vya habari vimefungwa ni vyombo vipi?Halafu yule mama mwenye mapengo ni nani huyo?
Hahaha huyo mangi majibu yake atayapata kwa vitendo.Huyu aweza kumwambia Mh Rais aache kuropoka....basi acha nishie hapa.
Nasikia ni mchungapi wa kisasa!Ila awa jamaa matapeli sana, mchungaji ananyoa kiduku!
Litulie. Tulia. Analituliza Bunge. Na siye TULIE.......Duh.........hivi hili Taifa ipo siku litakaa litulie kweli, nadhani ninaeleweka ninaposema "litulie" vile ninavyoona ni kama joto la kisiasa linapanda kwa kasi sana, wengine wanataka kusema, wengine wanagoma watu wasiseme.
Kama misri wametulia nasi tutatulia haya ni mawimbi tu.Duh.........hivi hili Taifa ipo siku litakaa litulie kweli, nadhani ninaeleweka ninaposema "litulie" vile ninavyoona ni kama joto la kisiasa linapanda kwa kasi sana, wengine wanataka kusema, wengine wanagoma watu wasiseme.
True mkuu, mwenyewe Mbowe nimemuona yupo smarter na wiser kuliko Magufuli japokuwa yeye hana Phdkwa mara ya kwanza toka niufahamu upinzani wa kisiasa Tanzania katika mfumo wa vyama vingi,leo hii viongozo hao wameongea 'alama kubwa',wamesema busara badala ya mihemko,wamesema vema kuliko wakati wote ule niliowahi kuwashuhudia wakiwa pamoja kama hivi,ila kingine nadhani ni muhimu wakavuta subra kupisha kipindi hiki cha mpito kuisha kwani naamini bado wananafasi ya kuishauri serikali na ikawasikiliza,ni vema wakakubali kile serikali inawataka kufanya ili kupisha msuguano baina yao na serikali kwani siku zote serikali a kiafrika huwa hazikubali kushindwa kirahisi hivyo,hivyo wakitulia,wakaacha kufanya mikutano time hii,nauhakika wao ndio watakuwa washindi wa baadaye wa hii changamoto,vinginevyo ni kutaka kutafuta umaarufu wa machafuko ya kisisa na kushiana heshima katika jamii