UKAWA wamdhalilisha Paul Makonda

UKAWA wamdhalilisha Paul Makonda

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Umoja wa katiba ya wananchi(UKAWA) umesababisha mjumbe wa bunge maalum la katiba ambaye pia ni katibu wa chipukizi taifa wa chama cha mapinduzi Paul Makonda kupata wakati mgumu akijaribu kufuta nyayo za UKAWA baada ya kuzomewa na wananchi na kuondoka katika mkutano wakimuacha jukwaani akishindwa kuhutubia mkutano huo alipopanda kujibu swali kuhusu katiba mpya.

Nukuu ya Nyerere ilitumika kumdhoofisha na kushindwa kuhutubia mkutano hadi ukavunjika huku wananchi wa mjini Geita wakiwaomba Ukawa waendelee kuwaelimisha wananchi kuheshimu maoni ya jaji Warioba na kuacha kuwahadaa wananchi kama ambavyo chama cha mapinduzi kimewahadaa katika mkutano huo.

Tukio hilo lilitokea jana katika mkutano wa hadhara wa chama cha Mapinduzi uliofanyika katika viwanja vya soko kuu wilayani Geita ikiwa ni mwendelezo wa chama hicho kushawishi wananchi kuhusu muundo wa serikali mbili katika katiba mpya kama ccm inavyopendekeza.

Baada ya mwenyekiti wa ccm mkoa wa Geita Joseph Musukuma kumaliza kuhutubia wananchi,aliomba wananchi kumi waulize maswali ili ayapatie majibu,ambapo kijana mmoja ambaye hakujitambulisha jina lake,aliuliza swali lililoonekana kuwakera viongozi wa chama hicho na kumfukuza aondoke mbele ya jukwaa .

Kabla ya kuuliza swali kijana huyo alisema……..

"Mheshimiwa mwenyekiti wa mkoa,Jaji Warioba na timu yake ya mabadiliko ya katiba walizunguka nchi nzima wanakusanya maoni yetu na ndiyo yaliyo andikwa kwenye rasmu,hata hivyo, baba wa taifa Julius Nyerere aliwahi kusema kwamba,kama kuna watu wanao dhani katiba mpya haitungwi na wananchi basi watu hao ni wapumbavu".

Kabla hajamaliza kuuliza swali hilo,Katibu mwenezi wa ccm mkoa wa Geita Said Kalidushi alimnyang'anya kipaza sauti kijana huyo na kumfukuza aondoke huku watu wakizomea kama ishara ya kupinga kinachofanywa na kiongozi huyo.

Baada ya mwenyekiti kugundua kuwa wananchi hawakufurahishwa na kitendo hicho,alipopanda jukwaani kujibu maswali alilazimika kumuita tena kijana huyo aendelee kuuliza swali hilo huku akiomba swali lijibiwe na Pul Makonda.

"Baba wa taifa Julius Nyerere aliwahi kusema kuwa ,wale wanaodhani katiba mpya haitungwi na wananchi ,basi watu hao ni wapumbavu,na nyie ccm mnapinga maoni ya wananchi tuliyotoa kwa Tume ya Warioba,…swali langu ni je,na nyie ccm ni wapumbavu kama alivyosema baba wa taifa? maana nyie mnakataa maoni yetu na mnasema katiba haitungwi na wananchi ila inatungwa na bunge la katiba"?

Baada ya swali hilo, umati wa mkutano huo ulilipuka kwa kuzomea na kumshangilia kijana huyo kuashiria kuwa wamekubaliana na alichouliza kijana huyo.

Mjumbe wa bunge maalum la katiba ambaye pia ni katibu wa chipukizi taifa wa chama cha mapinduzi Paul Makonda alipopanda jukwaani kujibu swali, ghafla wananchi walianza kuzomea na kuondoka katika mkutano huo huku Makonda akipigwa na butwaa na kushindwa kuendelee kuhutubia na kulazimika kushuka jukwaa bila kutoa majibu ya swali hilo.

Tukio hilo lilitafsiriwa kama ni ishara kwamba watu wengi waliokuwepo katika mkutano huo pamoja na kwamba uliitishwa na ccm lakini wanapenda muundo wa serikali tatu katika katiba mpya ijayo.

Mkutano huo wa ccm ulilenga kufuta nyayo za mikutano iliyofanywa na viongozi wa umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA) iliyofanyika mwezi jana katika mkoa wa Geita ikiongozwa na Dr. Wilbroad Slaa
 
Umoja wa katiba ya wananchi(UKAWA) umesababisha mjumbe wa bunge maalum la katiba ambaye pia ni katibu wa chipukizi taifa wa chama cha mapinduzi Paul Makonda kupata wakati mgumu--akijaribu kufuta nyayo za UKAWA--baada ya---kuzomewa na wananchi na kuondoka katika mkutano wakimuacha jukwaani akishindwa kuhutubia mkutano huo alipopanda kujibu swali kuhusu katiba mpya.
-
Nukuu ya Nyerere ilitumika kumdhoofisha na kushindwa kuhutubia mkutano hadi ukavunjika huku wananchi wa mjini Geita wakiwaomba Ukawa waendelee kuwaelimisha wananchi kuheshimu maoni ya jaji Warioba na kuacha kuwahadaa--wananchi kama ambavyo chama cha mapinduzi kimewahadaa katika mkutano huo.
-
Tukio hilo lilitokea jana katika mkutano wa hadhara wa chama cha Mapinduzi uliofanyika katika viwanja vya soko kuu--wilayani Geita ikiwa ni mwendelezo wa--chama hicho kushawishi wananchi kuhusu muundo wa serikali mbili katika katiba mpya kama ccm inavyopendekeza.
-
Baada--ya mwenyekiti wa ccm mkoa wa Geita Joseph Musukuma kumaliza kuhutubia wananchi,aliomba wananchi kumi waulize maswali ili ayapatie majibu,ambapo-kijana mmoja ambaye--hakujitambulisha jina lake,aliuliza swali lililoonekana kuwakera viongozi--wa chama hicho na kumfukuza aondoke mbele ya jukwaa .
-
Kabla ya kuuliza swali kijana huyo alisema……..
-
“Mheshimiwa mwenyekiti wa mkoa,Jaji Warioba na timu yake ya mabadiliko ya katiba walizunguka nchi nzima wanakusanya maoni yetu na ndiyo yaliyo andikwa kwenye rasmu,hata hivyo, baba wa taifa--Julius Nyerere aliwahi kusema kwamba,kama kuna watu wanao dhani katiba mpya haitungwi na wananchi basi watu hao ni wapumbavu”.
-
Kabla hajamaliza kuuliza swali hilo,Katibu mwenezi wa ccm mkoa wa Geita Said--Kalidushi alimnyang’anya kipaza sauti kijana huyo na kumfukuza aondoke huku watu wakizomea kama ishara ya kupinga kinachofanywa na kiongozi huyo.
-
Baada ya mwenyekiti kugundua kuwa wananchi hawakufurahishwa na kitendo hicho,alipopanda jukwaani kujibu maswali alilazimika kumuita tena kijana huyo aendelee kuuliza swali hilo huku akiomba swali lijibiwe na Pul Makonda.
-
“Baba wa taifa Julius Nyerere aliwahi kusema kuwa ,wale wanaodhani katiba mpya--haitungwi na wananchi ,basi--watu hao ni wapumbavu,na nyie ccm mnapinga maoni ya wananchi tuliyotoa kwa Tume ya Warioba,…swali langu ni je,na nyie ccm ni wapumbavu kama alivyosema baba wa taifa? maana nyie mnakataa maoni yetu na mnasema katiba haitungwi na wananchi ila inatungwa na bunge la katiba”?
-
Baada ya swali hilo, umati wa mkutano huo ulilipuka kwa kuzomea na kumshangilia kijana huyo kuashiria kuwa wamekubaliana na alichouliza kijana huyo.
-
Mjumbe wa bunge maalum la katiba ambaye pia ni katibu wa chipukizi taifa wa chama cha mapinduzi Paul Makonda--alipopanda jukwaani kujibu swali, ghafla wananchi walianza kuzomea na kuondoka katika mkutano huo huku--Makonda akipigwa na butwaa na kushindwa kuendelee kuhutubia na kulazimika kushuka jukwaa bila kutoa majibu ya swali hilo.
-
Tukio hilo lilitafsiriwa kama ni ishara kwamba watu wengi waliokuwepo katika mkutano huo pamoja na kwamba uliitishwa na ccm lakini wanapenda--muundo wa serikali tatu katika katiba mpya ijayo.
-
Mkutano huo wa ccm ulilenga kufuta nyayo za mikutano iliyofanywa na viongozi wa umoja--wa katiba ya wananchi (UKAWA)--iliyofanyika--mwezi jana katika mkoa wa Geita--ikiongozwa na--Dr. Wilbroad Slaa
-
 
Tatizo la Makonda ni mbishi, alitakiwa aombe fungu awanunue vijana pale Geita waje kwa wingi kwenye mkutano wake huku wakihamaisha kama wanavyofanya wakubwa zake!! Sasa aibu hiyo eti kujipima na DR. Slaa!!
 
Makonda anakiherehere sana. na amezoe kutumiwa tu. Hajui kupima kina cha maji kama ni saizi yake
 
Safi kijana aliyeuliza swali nzuri. Magamba waje hapa wajibu hilo swali; baba wa taifa aliwahi kusema "watu wanaodhani wananchi hawawezi kutunga katiba yao ni wapumbavu" kwa kuwa magamba wanapuuza maoni ya wananchi kuhusi muundo wa Muungano wanaotaka basi CCM ni mapumbavu.
 
kilichomkuta nepi na makombo kimempata
 
sasa hapo mbona hamna swali

Je ccm kukataa maoni ya wananchi ni upumbavu au siyo upumbavu? Swali rahisi sana lakini lilikuwa zito kwa yule mwizi simu bungeni ndiyo maana akazomewa. CCM ni manyani tu wazomewe kila waendako la sivyo tutavuna mabua. Hongera sana ndugu zangu wasukuma.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Makonda ni moja ya vijana ambao ni bahati mbaya kwa taifa hili! I wish he was a gay tujue moja!
 
UKAWA WAMDHALILISHA PAUL MAKONDA

Umoja wa katiba ya wananchi(UKAWA) umesababisha mjumbe wa bunge maalum la katiba ambaye pia ni katibu wa chipukizi taifa wa chama cha mapinduzi Paul Makonda kupata wakati mgumu--akijaribu kufuta nyayo za UKAWA--baada ya---kuzomewa na wananchi na kuondoka katika mkutano wakimuacha jukwaani akishindwa kuhutubia mkutano huo alipopanda kujibu swali kuhusu katiba mpya.
-
Nukuu ya Nyerere ilitumika kumdhoofisha na kushindwa kuhutubia mkutano hadi ukavunjika huku wananchi wa mjini Geita wakiwaomba Ukawa waendelee kuwaelimisha wananchi kuheshimu maoni ya jaji Warioba na kuacha kuwahadaa--wananchi kama ambavyo chama cha mapinduzi kimewahadaa katika mkutano huo.
-
Tukio hilo lilitokea jana katika mkutano wa hadhara wa chama cha Mapinduzi uliofanyika katika viwanja vya soko kuu--wilayani Geita ikiwa ni mwendelezo wa--chama hicho kushawishi wananchi kuhusu muundo wa serikali mbili katika katiba mpya kama ccm inavyopendekeza.
-
Baada--ya mwenyekiti wa ccm mkoa wa Geita Joseph Musukuma kumaliza kuhutubia wananchi,aliomba wananchi kumi waulize maswali ili ayapatie majibu,ambapo-kijana mmoja ambaye--hakujitambulisha jina lake,aliuliza swali lililoonekana kuwakera viongozi--wa chama hicho na kumfukuza aondoke mbele ya jukwaa .
-
Kabla ya kuuliza swali kijana huyo alisema……..
-
“Mheshimiwa mwenyekiti wa mkoa,Jaji Warioba na timu yake ya mabadiliko ya katiba walizunguka nchi nzima wanakusanya maoni yetu na ndiyo yaliyo andikwa kwenye rasmu,hata hivyo, baba wa taifa--Julius Nyerere aliwahi kusema kwamba,kama kuna watu wanao dhani katiba mpya haitungwi na wananchi basi watu hao ni wapumbavu”.
-
Kabla hajamaliza kuuliza swali hilo,Katibu mwenezi wa ccm mkoa wa Geita Said--Kalidushi alimnyang’anya kipaza sauti kijana huyo na kumfukuza aondoke huku watu wakizomea kama ishara ya kupinga kinachofanywa na kiongozi huyo.
-
Baada ya mwenyekiti kugundua kuwa wananchi hawakufurahishwa na kitendo hicho,alipopanda jukwaani kujibu maswali alilazimika kumuita tena kijana huyo aendelee kuuliza swali hilo huku akiomba swali lijibiwe na Pul Makonda.
-
“Baba wa taifa Julius Nyerere aliwahi kusema kuwa ,wale wanaodhani katiba mpya--haitungwi na wananchi ,basi--watu hao ni wapumbavu,na nyie ccm mnapinga maoni ya wananchi tuliyotoa kwa Tume ya Warioba,…swali langu ni je,na nyie ccm ni wapumbavu kama alivyosema baba wa taifa? maana nyie mnakataa maoni yetu na mnasema katiba haitungwi na wananchi ila inatungwa na bunge la katiba”?
-
Baada ya swali hilo, umati wa mkutano huo ulilipuka kwa kuzomea na kumshangilia kijana huyo kuashiria kuwa wamekubaliana na alichouliza kijana huyo.
-
Mjumbe wa bunge maalum la katiba ambaye pia ni katibu wa chipukizi taifa wa chama cha mapinduzi Paul Makonda--alipopanda jukwaani kujibu swali, ghafla wananchi walianza kuzomea na kuondoka katika mkutano huo huku--Makonda akipigwa na butwaa na kushindwa kuendelee kuhutubia na kulazimika kushuka jukwaa bila kutoa majibu ya swali hilo.
-
Tukio hilo lilitafsiriwa kama ni ishara kwamba watu wengi waliokuwepo katika mkutano huo pamoja na kwamba uliitishwa na ccm lakini wanapenda--muundo wa serikali tatu katika katiba mpya ijayo.
-
Mkutano huo wa ccm ulilenga kufuta nyayo za mikutano iliyofanywa na viongozi wa umoja--wa katiba ya wananchi (UKAWA)--iliyofanyika--mwezi jana katika mkoa wa Geita--ikiongozwa na--Dr. Wilbroad Slaa
-

Chanzo cha Habari ni Gazeti la Raia Tanzania
 
Back
Top Bottom