wewe ni kama kalio tu au unaliwa kiboga lazima utakuwa ukawa wewe endeleeni kutetea haki za mashoga maana ndio dira za ukawa
K#m@m@ko kafie mbali utuache tuitetee Tanganyika yetu kama wananchi walivyopendekeza!!!
ETI- wanataka CUF-wachukue Zanzibar
Chadema wachukue Tanganyika...Watasubiri sana.
ukawa imesambaratika kabla hata haijaanza.. muungano wowote utakaoishirikisha chadema lazima ufeli
![]()
huyu alikuwepo?
Tundu Lisu kamuudhi sana Mbowe kumtukania babaake.
urafiki wa chadema na cuf ni wa mashaka sana kama ule wa kima na mamba
kiitikadi hawaendani cuf chama cha kidini cha waisam wenye siasa kali a.k.a UAMSHO
chdema chama cha mlengo wa kikristo na kichaga wakati cuf wapemba
mimi nawapa wiki mbili tu za URAFIKI WA KINAFIKI
R.I.P UKAWA
Hivi unapompigia mtu simu halafu umpate kwa shida hua inakuaje? I mean hiyo shida unaipataje, network ya shida au how? Sijaelewa but pia huo mkutano ulifanyikia wapi cause as far as i know, magamba waliwatumia policcm kuzuia huo mkutano, ni mkutano upi huo uliofanyika!? Mwisho napenda tu kujua, vipi mmefikia wapi na ZZK wenu!?Ni baada ya kuchelewa kuwasili katika mkutano wao ulioandaliwa ikiwa ni siku moja baada
ya kususia kikao cha Bunge la Katiba. Mkutano huo ulianza saa 4:18 ukiongozwa na
Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahimu Lipumba baadaye wajumbe walianza kuhoji alipo
kiongozi wao Freeman Mbowe.
Aliyekuwa wa kwanza kuhoji alipo Freeman Mbowe ni Profesa Abdallah Safari alisimama na
kuhoji alipo Mbowe hatua ambayo ilizusha minong'ono kwa baadhi ya wajumbe. Ilibidi Prof
Lipumba aanze kumpigia simu Mbowe ndipo akampata kwa shida. Hii inaonyesha alishakimbia
kikao hicho, kwani hata hivyo wajumbe wengi wa kikao hicho walikuwa wanachama na wafuasi
wa CUF na sio CHADEMA.
Mandla.