R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Operation safisha K/koo chini ya Meya na Naibu Meya wa CHADEMA, Mpaka sasa imefikia pazuri asilimia 80% ya Kariakoo ishatwaliwa na jiji na ni asilimia ndogo bado hipo chini ya udhibiti wa machinga . Ambao wapo mtaa wa Tandamti na Lindi.
Asilimia kubwa washavurumishwa, Operation Hii ikiongozwa na FFU na Askari wa JIJI . Imesaidia kuondosha na kuifanya mitaa yote kupitika' Meya amesema wasijidanganye machinga wataondoka si nguvu ya soda, kama ilivyokuwa chini ya CCM- Machinga wakipewa kiburi na Zungu.
Eneo lilisha tengwa Gongo la mboto; Ingawa machinga wamepinga kwenda wakidai ni Eneo la Magereza kwa ajili ya michezo ya watoto wa Askari baada ya kupata fununu ya afisa mipango miji.
Aksante CHADEMA.
Machinga lazima waisome number .
Bado kiama cha waendesha Bodaboda na watumiaji wa miundo mbinu ya UDART