Hii ni tactic za kuwapa breathing space CCM na kuwatupa off guard through deviatonal tactics- mahali ambapo yuko Lowassa ogopa sana ni akili tu inatumika-si campaign mnaona inavyokwenda watu kama wanasuasua-wakiingia mikoani maximum impact hadi hatuamini-na bado nyepesi nyepesi za chini ya carpet-LOWASSA has still got an ace in his sleeve na habari zinasema mkulu has got wind of this-hiyo siku nchi itasimamia vidole
Kikubwa ni kushika dola hayo mengine hatuyataki kuyasikia!
Kweli CCM choka mbaya, mwaka huu mmelaaniwa. Rudini tena kwa aliewatuma, hizo sio propaganda za level ya kuwekwa JF. Mwambieni na hiyo mmefail awape technic nyingine.
mgogoro gani?acheni kuamini kila taarifa za humu[ Migogoro ipo, toka NCCR now CUF kuchagua ukawa ni sawa na kuweka Tanzania REHANI.
ya ukawa yanakuhusu nini wewe??
Washavurugana ao mbio za sakafuni uishia ukingoni et afu mwisho wa maji matope
UKAWA KUWA NA KIKAO CHA DHARURA
Kufuatia hali kuwa tete ndani ya kambi ya UKAWA, viongozi wa vyama vinavyounda umoja huo wanatarajia kukutana kwa dharura kesho kujadili mwenendo wa umoja wao.
Taarifa za ndani ya UKAWA zinasema Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambaye yupo nchini Marekani atalazimika kurudi haraka nchini na inaelezwa huenda akaingia usiku huu au mapema kesho kwaajili ya kikao hicho cha dharura ambacho kitaamua hatma ya umoja huo.
Mbali na Mbowe, timu yote ya kampeni za mgombea urais na mgombea mwenyewe pamoja na mgombea mwenza wanatarajia kusitisha kampeni na kurudi Dar es Salaam kwa siku ya kesho hadi watakapopata mwafaka wa masuala yanayobishaniwa ndani ya umoja huo.
Taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana na kupjnga jinsi Chadema wanavyoendesha umoja huo hadi kufikia hatua ya mgombea mwenza wa Chadema Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na inaelezwa kikao hicho kitatumika kumuomba asijitoe.
CUF wanalalamikia UKAWA kuendeshwa na mtu mmoja ambaye ni Mbowe badala ya kuendeshwa kama taasisi na amekuwa akichukua maamuzi bila kushirikisha wengine.
"UKAWA ni Mbowe na yeye ndo anaendesha mambo anavyotaka kwa maslahi yake na mkwewe mzee Mtei. Huu ni uhuni ambao tulikuwa tunausikia tu ila leo tunajionea baada ya kuingia ndani" alisema kiongozi mmoja wa CUF ambaye alisisitiza kama Mbowe lengo lake lilikuwa ni kuua CUF amefanikiwa ila dhambi hiyo itamtafuna na watahakikisha Chadema haibaki salama
Chama kila kukicha ni migogoro, wakubwa wanagawana wenyewe afu shida tunapata sisi wanainchi wa kawaida. Hata tutakuwa makini kutokubali ujinga huu kamwe.
mbowe kama ameenda marekani anatuacha tunapambana wenyewe hapo kuna shida huko juu, kibaya zaidi mgombea wetu ni shida kujieleza mwenyewe.
Mnaanzisha uzi mnachangia wenyewe poleni eeeh
Nimemwonyesha Mwenyekiti hii posting amecheka sana. Anasema hicho kikao cha dharura labda amekiita mwenyekiti wako siyo yeye. Anasema kikao chochote atakachofanya hakitakuwa cha dharura kwa sababu CDM ina mpangilio. Mwenzako pia mapema alisema kuwa Mbowe yuko Marekani kumwomba Dr. Slaa msamaha. Hii forum watu kama wewe mnaifanya iwe ni mahali pa majungu badala ya kuitumia kama inavyotakiwa-mahali pa kubadilishana mawazo. Mpaka mwezi wa kumi ufike mtapata shida sana.
yaani wewe unadhani Dhalula ndiyo sahihi na siyo dharura, LMAO,Sasa sijui kilaza nani aliyeandika Dharura au aliyedhani Dharula ndiyo sahihi?wenye kujua kiswahili wanisaidie.Yani kiitendo tu,Cha dharura kuwa"Dharula"Imeonekana aliyeandaa uzushi huu alivyo kilaza
Cc Moderator