UKAWA wagomea mwaliko wa CCM

UKAWA wagomea mwaliko wa CCM

Safi sana naunga mkono uamuzi wa UKAWA. Demokrasi inabakwa na Magufuli nchini ndani na nje ya Bunge na kuwanyima UKAWA haki yao ya kikatiba ya kufanya mikutano yao, halafu bila hata aibu wanawaalika UKAWA eti wahudhurie mkutano wao!
Kwan hapo magufuli anahusikaje?

Mbona unapenda sana kumwaga udenda nje ya maada inayokuwa mezani?
 
Wakati muafaka sasa kwa CDM kupata mwenyekiti mpya
 
Wanasikitisha sana, siasa za uadui hazijengi, siasa ni hoja sio vioja wanavyozua ukawa...
 
Wakukosa halafu mnajidai mnasusia. Kama mabingwa wasusie ruzuku.
 
Wanasikitisha sana, siasa za uadui hazijengi, siasa ni hoja sio vioja wanavyozua ukawa...
Siasa za Tanzania zilipofikia ni zaidi ya uadui na waliotufikisha hapa ni polisi na ccm , shukrani kwa wananchi walioelewa vema sana kinachoendelea .
 
Wakukosa halafu mnajidai mnasusia. Kama mabingwa wasusie ruzuku.
Ruzuku si mkutano wa ccm , tumekubaliana hakuna kusalimiana wala kushirikiana na wanaccm , hivi unaingia kwenye mkutano wao halafu unashikana mikono na Nape au lusinde ama labda yule mtoto wa kombani , nakuhakikishia hata shetani atatushangaa ! na mimi nimeitikia wito huo , yule hawara angu Mwanaccm nimemmwaga rasmi .
 
Back
Top Bottom