Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,299
- 4,701
Safi sana naunga mkono uamuzi wa UKAWA. Demokrasi inabakwa na Magufuli nchini ndani na nje ya Bunge na kuwanyima UKAWA haki yao ya kikatiba ya kufanya mikutano yao, halafu bila hata aibu wanawaalika UKAWA eti wahudhurie mkutano wao!
Inachekesha sana miaka tisa unamtukana Lowassa ni fisadi leo hii umekuwa mpambe wake mkubwa!