UKAWA wagomea mwaliko wa CCM

UKAWA wagomea mwaliko wa CCM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,574
Reaction score
272,321
Vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa katiba ya wananchi vimesema havitahudhuria mkutano mkuu wa CCM utakaofanyika July 23 mjini Dodoma licha ya kupata mwaliko .

Msimamo Huo imara ni muendelezo wa UKAWA kususia shughuli za viongozi na wabunge wa CCM tangu walipoanza kususia vikao vya bunge vilivyokuwa chini ya Naibu Spika ambaye ni Mwanasheria msaidizi wa serikali wa zamani na mbunge wa CCM wa mtelezo wa kuteuliwa na Rais Dk Tulia Ackson.

Chanzo - Mwananchi

MyTake - Naunga mkono msimamo huu wa kishujaa , CCM walioko bungeni ni walewale watakaokuwemo kwenye mkutano huo , nyeusi haijawahi kuwa nyekundu .

CCM na polisi , UKAWA na wananchi .
 
Safi sana naunga mkono uamuzi wa UKAWA. Demokrasi inabakwa na Magufuli nchini ndani na nje ya Bunge na kuwanyima UKAWA haki yao ya kikatiba ya kufanya mikutano yao, halafu bila hata aibu wanawaalika UKAWA eti wahudhurie mkutano wao!
 
Wangekwenda hata mie ningewaona wajinga. Wao wanakatazwa ya kwao kuwa ni haramu kisha waalikwe kwa aliyewakataza eti yake halali?
 
Tangu lini kuku akaalikwa kwenye birthday ya mwewe akaenda?

CCM wanawakaribisha ukawa kinafiki tu hujajua
Kuna hili pia , kama wenyewe kwa wenyewe hawaachiani maji ya kunywa mezani itakuwaje kwa sisi watu baki ?
 
Wangekwenda hata mie ningewaona wajinga. Wao wanakatazwa ya kwao kuwa ni haramu kisha waalikwe kwa aliyewakataza eti yake halali?
Mbona kwenye kupokea madawati walienda wakati hawakuchangia hata mia??
 
Wamefanya vema kukataa, maana kiuhalisia huo mwaliko hautoki mioyoni mwa hao CCM, kwa hiyo kwenda kwao pale ingekuwa ni kushuhudia vijembe maana vijembe ni kipaji maalum cha CCM
 
Wanajenga chama na CHADEMA watakuwa wanajenga chama OVAAAAAA
 
Vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa katiba ya wananchi vimesema havitahudhuria mkutano mkuu wa ccm utakaofanyika July 23 mjini dodoma licha ya kupata mwaliko .

Msimamo Huo imara ni muendelezo wa UKAWA kususia shughuli za viongozi na wabunge wa ccm tangu walipoanza kususia vikao vya bunge vilivyokuwa chini ya Naibu Spika ambaye ni Mwanasheria msaidizi wa serikali wa zamani na mbunge wa ccm wa mtelezo wa kuteuliwa na Rais Dk Tulia Ackson.

Chanzo - Mwananchi

MyTake - naunga mkono msimamo huu wa kishujaa , ccm walioko bungeni ni walewale watakaokuwemo kwenye mkutano huo , nyeusi haijawahi kuwa nyekundu .

CCM na polisi , UKAWA na wananchi .

Eti Ukawa na wananchi,pumba tupu.
Hao hao wananchi they are tearing you apart since 1995.

Ha ha ha ha ha
 
Mbowe hataki kushuhudia Jakaya Kikwete akikabidhi Madaraka kwa Magufuli

Mbowe ni Mwenyekiti Chadema Kabla Jakaya hajawa Chairman lakini kamkuta na kamuacha sasa atakosaje kuona aibu
Uchaguzi ulifanyika lini huko CCM?
 
Vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa katiba ya wananchi vimesema havitahudhuria mkutano mkuu wa ccm utakaofanyika July 23 mjini dodoma licha ya kupata mwaliko .

Msimamo Huo imara ni muendelezo wa UKAWA kususia shughuli za viongozi na wabunge wa ccm tangu walipoanza kususia vikao vya bunge vilivyokuwa chini ya Naibu Spika ambaye ni Mwanasheria msaidizi wa serikali wa zamani na mbunge wa ccm wa mtelezo wa kuteuliwa na Rais Dk Tulia Ackson.

Chanzo - Mwananchi

MyTake - naunga mkono msimamo huu wa kishujaa , ccm walioko bungeni ni walewale watakaokuwemo kwenye mkutano huo , nyeusi haijawahi kuwa nyekundu .

CCM na polisi , UKAWA na wananchi .
CCM na polisi, UKAWA na wananchi? Acha ndoto za asubuhi, CCM ina wapenzi wengi zaidi ya UKAWA. Ubaya wao siyo wapiga kelele kama wa Ukawa. Hamjifunzi na matokeo ya chaguzi zilizopita.
 
Hata siku ya kukabidhiwa Madawati Msigwa aliendeleza msimamo wa UKAWA kama kawaida....safi sana UKAWA hakuna kurudi nyuma.
Chezea madawati pale anawakilisha wananchi kama muwakilishi wao, alifikiri sana, na nadhani ni mjumbe wa kamati ya huduma za jamii ya bunge
 
Back
Top Bottom