UKAWA wagomea kampeni ya usafi Dar!

Sikubaliani na Wewe... Mambo mengine Tusiwe wajinga kiasi hiki.. ni sawa na Kusema AfyaBora Hailetwi na kuoga Mara kwa Mara
Sikubaliani na Wewe... Mambo mengine Tusiwe wajinga kiasi hiki.. ni sawa na Kusema AfyaBora Hailetwi na kuoga Mara kwa Mara
Sikubaliani na Wewe... Mambo mengine Tusiwe wajinga kiasi hiki.. ni sawa na Kusema AfyaBora Hailetwi na kuoga Mara kwa Mara
Sikubaliani na Wewe... Mambo mengine Tusiwe wajinga kiasi hiki.. ni sawa na Kusema AfyaBora Hailetwi na kuoga Mara kwa Mara
Bavicha akili zao anashika Mbowe...na mbowe ndiye mbayuwayu leo anatangaza kususia bunge,kesho anaingia kimya kimya.
 
Eee Mbowe nakusihii uangalie michango ya Bavicha humu...utaona jinsi walivyobadilishwa na 4U na Team EL ambao ndio waliidhalilisha CCM....sasa lazima wakuangushe.
 
kwani huu usafi unafanyika kichama???


mara nyingine kama hamna vya kupost muwe mnakaa kimya mnajishushia heshima sana.
 
Ukawa sasa hawajui hata walitaka kuwafanyia nini wananchi, wanapinga kila kitu cha kuleta mafanikio.
 
Kijana..unajidhalilisha sana....kiongozi anapozindua kampeni..lazima kuna mikakati atasimamia...kwa hiyo wewe hutaki kujirekebisha?...Mbowe kaweka akili zenu kwenye chupa anatembea nazo nyie kawaachia za kuvukia barabara tu.
 
Hivi hapo juu nani anafanya usafi kati ya Ukawa na makonda? Yaani mnachagua location safi kuonesha mnafanya usafi
Maigizo mengine, yaani watu wanafagia sehemu isiyo na uchafu! Tupende kuwa wakweli kuna mambo mengine hayahitaji maigizo. Kama kweli tunataka kutekeleza kwa vitendo agizo la Mheshimiwa Rais, tusifanye maigizo kama haya ya kufagia maeneo yasiyo na uchafu ili kupata picha za kwenye magazeti.
Bwana Makonda sio kwamba tunakupinga, la hasha, unayo mawazo mazuri ila utekelezaji wako unaonekana unafanya maigizo mengi kiasi cha kwamba mwisho wa siku itaonekana unamdhihaki JPM. Sote tunakumbuka jinsi mwenyew JPM alivyolifanya hilo zoezi kwa vitendo na wala alikuwa hafanyi maigizo kama hayo.
 
Unakoelekea utasema kodi unayolipa itumike kushughulikia usafi wa mwili wako...yaani kukuchambia

Usafi unaanza na wewe kwanza na hilo ndilo Makonda anasisitiza...ukila ndizi ganda lake weka kwenye dustbin na sio kurusha barabarani...
Kuyapata hayo ma dustbin sasa. Utatembea Posta mpaka Kimara mwisho umeshika tu hilo ganda mkononi.
 
Siendi kwenye usafi wa kulazimishana
 
Wewe jidanganye rafiki yangu; hakuna cha usafi hapa. Siasa tu. Wewe subiri uone.
 
kwani huu usafi unafanyika kichama???


mara nyingine kama hamna vya kupost muwe mnakaa kimya mnajishushia heshima sana.
Usipende kujitoa ufahamu kwenye mambo ya msingi.....tunahitaji meya na diwani kuwa mbele...na hao ni wanasiasa.Jikite kwenye mada kwa hoja na sio kelele!.
 
Huwezi kufanya usafi kama stunt...

Jana Clouds walikuwa wanakava huo usafi tangu asubuhi...

Ni ujinga sana kuwalazimisha UKAWA waje kwenye suala ambalo liko personalised kama la Makonda...

Yani watu ambao hawakupigiwa kura Dar wanajifanya ni wa muhimu sana kuliko waliopigiwa kura...

Ni ujinga sana!
 
Tatizo Makonda ame personalize hili zoezi la usafi hata mm siliungi mkono kwasababu linatumiwa na watu flani kupata political mileage
 
Kijana saaa hata nyumbani mligoma?..ninachoweza kukuambia kila kampeni lazima iwe na championi.Mzee Makamba alisimamia upandaji miti dar na mambo yalienda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…