Sikubaliani na Wewe... Mambo mengine Tusiwe wajinga kiasi hiki.. ni sawa na Kusema AfyaBora Hailetwi na kuoga Mara kwa Mara
Ya Jana jumamosi segerea mh Anatrophia Theonest[/QUO_]
Hapo ndio ujue Madiwani Wa asusa hali kuwa wafusi wao wanaunga mkono zoezi
Lakini au mulitaka watu wote waongozane na Konda wenuSikubaliani na Wewe... Mambo mengine Tusiwe wajinga kiasi hiki.. ni sawa na Kusema AfyaBora Hailetwi na kuoga Mara kwa Mara
Hapa wanauza sura tu cheki walivyojiset kwa selfee
Wazee wa kufuata upepo kwa hili umebugi jipange tenaAmani iwe kwenu.
Katika hali ya aibu mameya na madiwani wanaounda vyama vya ukawa jijini Dar Wamegomea kampeni ya usafi.Ikumbukwe serikali iliagiza kuwa na utaratibu wa kufanya usafi angalau mara moja kwa mwezi.
Majibu waliyoyatoa ni kuwa eti,wako "bize na masuala ya maendeleo ya wananchi".Usafi je?
Aibu nyingine ni kuwa, wameshinda kwenye mitandao ya kijamii kukosoa na kutoa unabii kuwa zoezi hili la usafi "lishindwe"..wamekuwa wakitowa picha za kejeli na kudhalilisha.
Ikumbukwe tabia hii ya kususa ni muendelezo wa "msuso" wa uchaguzi,"msuso" uchwara kwenye bunge la bajeti nk.
Ushauri.
Tabia hizi za kususia maendeleo zinawaweka katika hatari ya kuchokwa na baada ya miaka mitano mtapewa adhabu kali na wananchi.Msiruhusu ujinga kutamalaki miongoni mwenu.
Wewe ni bonge la kubwa jingaPicha ya lini hiyo?
Kubenea,Mnyika,Mtulia na Mwita walikuwa maeneo gani?Ccm acheni kuleta chuki katika taifa. Jana ukawa wameshiriki vizuri kabisa kwenye usafi. Meta Mada utakuwa umepigwa na mmeo si bure
Kamera kwenye Usafi hapana ila bungeni ndio....!!Usafi ni tabia inayojengwa sio usanii wa kubeba makamera na kuongozana nayo kufagia. Nakubaliana na kukataa tabia za kinafiki nafiki zinazochukua kasi ya ajabu katika nchi hii.
Tusipoangalia itafika mahali kila mtu atakuwa mnafiki Tanzania nzima.
Sehem ilosakafiwa hvy inafagiliwa na chelewa. Mweeh. HayaaaHapa nani anafanya usafi kiuhalisia?
Amani iwe kwenu.
Katika hali ya aibu mameya na madiwani wanaounda vyama vya ukawa jijini Dar Wamegomea kampeni ya usafi.Ikumbukwe serikali iliagiza kuwa na utaratibu wa kufanya usafi angalau mara moja kwa mwezi.
Majibu waliyoyatoa ni kuwa eti,wako "bize na masuala ya maendeleo ya wananchi".Usafi je?
Aibu nyingine ni kuwa, wameshinda kwenye mitandao ya kijamii kukosoa na kutoa unabii kuwa zoezi hili la usafi "lishindwe"..wamekuwa wakitowa picha za kejeli na kudhalilisha.
Ikumbukwe tabia hii ya kususa ni muendelezo wa "msuso" wa uchaguzi,"msuso" uchwara kwenye bunge la bajeti nk.
Ushauri.
Tabia hizi za kususia maendeleo zinawaweka katika hatari ya kuchokwa na baada ya miaka mitano mtapewa adhabu kali na wananchi.Msiruhusu ujinga kutamalaki miongoni mwenu.
Ila kweliUkweli ni kwamba watumishi serikalini ndio waliochukua tenda za usafi hapa jijini ikiwa pamoja na kumiliki kampuni za kuzoa takataka na hivyo hulipwa fedha nyingi sasa inakuwaje wananchi watumike kufanya usafi?je sio kwamba hizo kampuni zinalipwa bure bila kufanya hiyo kazi?
Hawa niwakudharau mkuuSikubaliani na Wewe... Mambo mengine Tusiwe wajinga kiasi hiki.. ni sawa na Kusema AfyaBora Hailetwi na kuoga Mara kwa Mara
Hawa jamaa sijui nani yupo kwenye bongo zao
Du! Naamini ni wana siasa VILAZA dunia nzima kuwahi tokea