Hawa UKAWA nao wameshakuwa wabunge hewa!
Posho wanatumbua vikao hawakai!
Hakuna jinsi ya kuzuia wabunge hewa wasiwepo bungeni?
Wanatoka leo vikao vya bunge kwa serikali kutumia muundo wa awamu ya 4, huyo Mbowe mbona hata haulizwi anatumia version ya Mtei, ambaye ni wa awamu ya kwanza!
Kama kuingilia madaraka ya bunge how many times Mbowe amelaumiwa for the same! Mchakato wa kikatiba wa kupata wagombea wa uraisi kwa ukawa uliharibiwa na Mbowe mmoja tu alipoamua kumpitisha Lowasa!
Nadhani tuna upinzani dhaifu ambao hauna legacy!
Sijui hata tunaupimaje utendaji wake, Mara zote kazi zao ni kukosoa, hawatendi lolote, lkn Yale ya ndani kwao ndio huozo mtupu, kama wangeamua kwa dhati kumulikana na kutumbuana ndani ya vyama vyao, wenyeviti wote wa vyama vya ukawa wangetumbuliwa instantly!