UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Najua hamtaamini yatayotokea mtoto wa mzee Joseph atakapo ibuka na ushindi wa kishindo...kura nyingi zitapigwa asubuhi na mapema....mtalalamika sana oooh tumeibiwa.....oooh hivi na vile...

Lowassa-Prophecy-01.png
 
Shirika la New Deal Africa kupitia mtandao wake wa Easypolls.com wanaendesha utafiti (opinion poll) kwa wagombea Urais nchini Tanzania waliojitokeza hadi sasa ambao ni Edward Lowassa wa (CHADEMA /UKAWA) na John Magufuli (CCM).

Hadi leo jioni matokeo ya mtandao huo yanaonesha kuwa uchaguzi ungefanyika leo Lowassa angeshinda kwa 64%, na Magufuli angefuatia kwa 31%, huku 5% ya wapiga kura wakiwa hawajaamua wampigie nani kati ya Lowassa na Magufuli.

Bila shaka hawa ni wale wanaosubiri wagombea wa vyama vingine wajitokeze. Kwa maana hiyo ni kwamba wagombea watakaojitokeza kupitia ACT, TADEA, CHAUSTA, na vyama vingine watagawana 05% ya hao "undecided".

Nawe pia unaweza kupiga kura yako na kumchagua Rais umtakaye kwa kubofya hapa

Poll.jpg
 
Lowasa hata akishinda sio kwamba ndo neema kwa taifa
tunaweza juta kuzaliwa.....miminaona hao undecided ni very very smart people
 
Yaani Lowassa, Ukawaaaaaaa

Tunawapenda hadi tumekuwa SISI
KILA KITU NI UKAWA TU...!!!

Lowassa kama Yesu...!!
 
Lowassa my president, yaaani natamani hata iwe leo kuchukua ikulu. Naiona Tanzania mpya ileeeee chini ya uongozi dhabiti wa Edo. Kila siku nikiangalia kitambulisho changu cha kura nafurahia sana sababu kura yangu inaenda kwa mtu sahihi kwa wakati sahihi.
 
hoja yako inanuka mavis!!!!!gamba wewe. Ukawa ushindi lazima!!!nchi ilikwisha uzwa na ccm sasa tunaikomboa!!!

Mkuu uko vizuri sana kwa matusi, nadhani hizi ni siasa ambazo tunatakiwa kuziepuka, na hizi ndo siasa zinazochangia kuvuruga amani. Binafsi nimeandika kwa mtazamo wangu bila kujali itikadi yangu, na ndo maana nimeomba tujadili bila ushabiki wa vyama vyetu bali tuangalie maslahi ya taifa letu, kizazi chetu na vizazi vijavyo. Nadhani kama una mtazamo au itikadi tofauti ungesema tu unavyoona kama ambavyo wengine wametoa mtazamo wao bila matusi. Hii ingekujengea heshima kubwa zaidi kuliko kutoa matusi.
 
Shirika la New Deal Africa kupitia mtandao wake wa Easypolls.com wanaendesha utafiti (opinion poll) kwa wagombea Urais nchini Tanzania waliojitokeza hadi sasa ambao ni Edward Lowassa wa (CHADEMA /UKAWA) na John Magufuli (CCM).

Hadi leo jioni matokeo ya mtandao huo yanaonesha kuwa uchaguzi ungefanyika leo Lowassa angeshinda kwa 64%, na Magufuli angefuatia kwa 31%, huku 5% ya wapiga kura wakiwa hawajaamua wampigie nani kati ya Lowassa na Magufuli.

Bila shaka hawa ni wale wanaosubiri wagombea wa vyama vingine wajitokeze. Kwa maana hiyo ni kwamba wagombea watakaojitokeza kupitia ACT, TADEA, CHAUSTA, na vyama vingine watagawana 05% ya hao "undecided".

Nawe pia unaweza kupiga kura yako na kumchagua Rais umtakaye kwa kubofya hapa host1.easypolls.net/poll.html?p=55c4c83de4b0e200525f8c38

Leo hujamaliza
Your Partner In Critical Thinking

Ha ha na wewe umeshikwa Akili , eti Nikuulize swali great thinker Wa chadema ,Je lowasa ni fisadi au kamanda?( In Dr slaa Voice)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom