UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Lowassa anatwambia "shut up" ndo awe raisi? hata kuongea decent hawezi kazoea vya kunyonga ...
 
Lowassa anatwambia "shut up" ndo awe raisi? hata kuongea decent hawezi kazoea vya kunyonga ...
Lowasa hata kwa dawa hapati kura yangu maana hata kama hakuna ushaidi wa kutosha kama kiongozi hapaswi kuwa na tuhuma ya rushwa
Kwani kwa maadili ya Uongozi haitakiwi kiongozi kutuumiwa kwa jambo lolote ovu.
 
Wote wanatuhuma za ufisadi, hakuna msafi kati yao. Watanzania tunataka mabadiliko ya kimfumo ambayo hatuwezi kuyapata ccm kutokana na dhana ya kulindana ndio maana ED ni bora kuliko JM.
 
Fisadi hana nafasi kutuongoza Watanzania

Haitawasaidia wenzenu wameachana na ajenda ya ufisadi maana hailipi kwa taifa la mbumbumbu na masikini kama hili! Kama mko serious hebu wakateni akina chenge kwenye ubunge tuone!
 
Huu uzi ni wa ovyo sana, hujanishawishi nipige kura yangu hapa yupi anafaa wakati ndani ya uzi umeleta ushabiki. Kajipange upya.
 
Ukawa, Lowassa ndio kila kitu...

Huu ni mpango wa Mungu...

It is TIME for CHANGE...!!!
 
Magufuli ni FISADI na si MSAFI njoo huku PM nikupe nondo....nadhani utanielewa na utaamua nani wa kumpigia kura.....we huoni kwa sasa wana ccm na mgombea wao wa sasa wanaenda mpaka Club za usiku kuomba KULA.......Pigia kura UKAWA.....mpigie kura LOWASSA & DUNI HAJI.
 
Lowasa hata kwa dawa hapati kura yangu maana hata kama hakuna ushaidi wa kutosha kama kiongozi hapaswi kuwa na tuhuma ya rushwa
Kwani kwa maadili ya Uongozi haitakiwi kiongozi kutuumiwa kwa jambo lolote ovu.

Unajitambua ww
 
Magufuri hata Mimi nikisimama nae UKAWA atasingizia nimetumwa kumharibia kura kanda ya ziwa. Huku kanda ya ziwa anategemea kura za wanafunzi wake aliokuwa anawafundisha kukariri Chemistry na Physics pale Sengerema Secondary.
 
Haitawasaidia wenzenu wameachana na ajenda ya ufisadi maana hailipi kwa taifa la mbumbumbu na masikini kama hili! Kama mko serious hebu wakateni akina chenge kwenye ubunge tuone!

Kama hailipi kinakuuma nn
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…