2010 chadema walisema muda wa siku moja ya kupiga kura hautoshi.
Baada ya rais kutangaza baraza ukasema anaharakisha nini muda upo tu.
Muda wa kujadili katiba mpya hautoshi et tutumie mwaka au miaka.
Muda wa kuisoma hautoshi.
Muda wa kuipigia kura ya maoni hautoshi.
Muda wa kuandikisha watia kura kwa BVR hautoshi et usitishwe.
Sasa muda wa kusoma miswada hautoshi.
Nyie mnatengeneza mazingira ya kuzorotesha mipango ya serkal ili mpate cha kuongelea mtaani mpate kiki.