UKAWA tuache kulalamika,tujibu mapigo

UKAWA tuache kulalamika,tujibu mapigo

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,171
Reaction score
162,616
Wana-Ukawa huu si muda wa kuendelea kulalamika bali tunapaswa kujibu mapigo kwa vitendo.Tunalalamika,hakuna hatua za maana zinazochukuliwa na mwisho wa siku tutajikuta tumeshachelewa.

UKAWA andaeni video clip,mabango ya kawaida,digital billboards n.k vikionyesha Twiga anapandishwa ndege,tembo wanauwawa n.k pasipo kuhusisha picha hizo na jina la chama chochote cha siasa ila mkiwataka wananchi kwa kutumia picha hizo pamoja na maandishi kwenye mabango hayo huku maandishi hayo yakiwaelekeza wananchi wasichague chama kinachofumbia macho vitendo vya aina hiyo.

Mnaweza pia kuandaa video clip na mkazilipia zikarushwa na vituo vya Television vikionyesha athari za madawa ya kulevya,mauji ya Tembo,watoto kukaa chini mashuleni n.k.

Kwa mfano,andaeni picha au video clip inayoonyesha watoto wanakaa chini mashuleni huku picha au clip hiyo ikiambatana na ujumbu kuwa ukichagua UKAWA mtoto wako hatokaa chini tena darasani n.k.

Pia mnaweza kutumia picha halisi za wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoandamana kwa kukosa/kucheleweshewa mikopo yao na picha hizo zikaandamana na ujumbe unaoweza kusome: "epukana na adhaa hii kwa kuchagua UKAWA/CHADEMA kwani tutatoe elimu bure mpaka chuo kikuu".

Kama kuna watu wataolalamika muwambie wajirekebishe kwanza kwenye matangazo yao ya tv kabla ya kuendelea kulalamika.

Mwisho,Lowassa na wewe funguka kwa unayoyajua kuhusu wanaokushambulia.

Muhimu:
Matangazo au picha hizo zisivunje sheria za nchi na sheria za uchaguzi bali zilenge kufanya campaign bila kukiuka sheria kwa kuonyesha uhalisia wa mambo yalivyo katika nchi yetu.

Mnaweza pia kuwasiliana na Tume ya Uchaguzi pamoja na TCRA kabla ya kutumia picha hizo ili kupata baraka za Taasisi hizo ambazo zinazohusika na mambo haya.
 
Mimi nimeshaamua, atoke Slaa, atoke mbowe atoke lissu atoke cjui nani, mimi kura yangu bado ntampigia mgombea urais wa UKAWA hata wakiamua waweke kivuli tu.

Hatuwezi kuwa kwenye miaka 54 ya uhuru bado tunajenga barabara tu, si bora tungeendelea kutawaliwa na wazungu tujue moja tu, kuliko kutawaliwa ki ukoo
 
Nadhani ungonjwa wa Slaa umekupanda kichwani na umekuwa na midadi ya kufa mtu. Tulia taratibu somo utalielewa tu.
 
hawana ubavu huo hao wazee wa story za kwenye vijiwe vya bodaboda na vijiwe vya kahawa, story zao mara nyingi huwa ni
UONGO
MAJUNGU
UZUSHI
UMBEA
UZANDIKI
UPASHUKUNA
USHETANI
UCHONGANISHI
UFIRAUNI

wakitoa hizo picha na video clip za twiga akipanda ndege nitajiunga nao leo leo

Wana-Ukawa huu si muda wa kuendelea kulalamika bali tunapaswa kujibu mapigo kwa vitendo.Tunalalamika,hakuna hatua za maana zinazochukuliwa na mwisho wa siku tutajikuta tumeshachelewa.

UKAWA andaeni video clip,mabango n.k vikionyesha Twiga anapandishwa ndege,tembo wanauwawa n.k pasipo kuhusisha picha hizo na jina la chama chochote cha siasa ila mkiwataka wananchi kwa kutumia picha hizo pamoja na maandishi maandishi kwenye mabango hayo wasichague chama kinachofumbia macho vitendo vya aina hiyo.

Mnaweza pia kuandaa video clip na mkazilipia zikarushwa na vituo vya Television vikionyesha athari za madawa ya kulevya,mauji ya Tembo,watoto kukaa chini mashuleni n.k.

Kwa mfano,andaeni picha au video clip inayoonyesha watoto wanakaa chini mashuleni huku picha au clip ikiambatana na ujumbu kuwa ukichagua UKAWA mtoto wako hatokaa chini tena darasani n.k.

Kama kuna watu wataolalamika muwambie wajirekebishe kwanza kabla ya kuendelea kulalamika.

Mwisho,Lowassa na wewe funguka kwa unayoyajua kuhusu wanaokushambulia.

Muhimu:
Matangazo au picha hizo zisivunje sheria za nchi na sheria za uchaguzi bali zilenge kufanya campaign bila kukiuka sheria kwa kuonyesha uhalisia wa mambo yalivyo katika nchi yetu.

Mnaweza pia kuwasiliana na Tume ya Uchaguzi kabla ya kutumia picha hizo ili kupata baraka za Tume.
 
Dr slaa fever hahahaha
Nyie ndy mna Homa tena zaidi ya dengue! Kwann jana pale kariako walitoa bango kubwa la lowasa mpaka mkazomewaaaaa...hapo nani ana presha ccm au ukawa?
 
Lowasa kaa hivyo hivyo kimya Busara zako Mungu atawashangaza
 
Hayo yote yanahitaji pesa, nani atatoa hiyo pesa ikiwa Lowassa Mwenyewe hana uhakika wa kushinda.
 
Dr slaa fever hahahaha

Huyo Dr.Slaa alishapuuzwa tayari km ilivyokuwa kwa Prof.Lipumba? Umeona sasa hivi kuna viongozi wa CHADEMA na UKAWA wanahangaika naye tena zaidi ya majizi na matapeli wa CCM? Imeshatoka hiyo. Kura zetu ni kwa Lowassa tu
 
Mdharau mwiba....

Nadhani Lowasa arudie tena na tena na tena kwamba hakuna jambo alilofanya bila Kikwete kulijua. This is very important na inappeal sana kwa umma. Hiyo tu inatosha haitaji kwenda kwa undani. Kukaa kimya huku ccm wakirudia hayomambo maranyingi inafanya watu wenye simple mind waamini. Wakisema lazima wajibiwe. Sio kuwa kimya! Watz wanaamini zaidi umbea kuliko ukweli. Ndio maan wanapenda zaidi magazeti ya udaku kuliko serious papers! Pale jangwani Sumaye alipokuwa anajibu hoja za ccm wat walihamasika na kurukaruka sana. eti leo ccm watoe tuhuma halafu ukawa tukae kimya mtavunja watu moyo! Kila wanalosema jibuni. Salary Slip yupo sahihi.
 
Sio kila ushauri unafaa, ushauri wako ni mzuri lakini si wakati wake huu. Muda wa kujibu hatuna, upo muda wa kuwaambia watanzania tunaenda kuwafanyia nini. CCM waendelee na sera zao lakini itakuwa ni upuuzi kuanzisha taarabu wakati wa kazi. Kwa sasa ni kuendelea na ratiba zetu,tujikita kuhangaikia CCM tutapoteza track yetu na kujikuta tuko chali mbaya. Hizo ni strategies za CCm kututoa kwenye track....
 
Wana-Ukawa huu si muda wa kuendelea kulalamika bali tunapaswa kujibu mapigo kwa vitendo.Tunalalamika,hakuna hatua za maana zinazochukuliwa na mwisho wa siku tutajikuta tumeshachelewa.

UKAWA andaeni video clip,mabango n.k vikionyesha Twiga anapandishwa ndege,tembo wanauwawa n.k pasipo kuhusisha picha hizo na jina la chama chochote cha siasa ila mkiwataka wananchi kwa kutumia picha hizo pamoja na maandishi kwenye mabango hayo wasichague chama kinachofumbia macho vitendo vya aina hiyo.

Mnaweza pia kuandaa video clip na mkazilipia zikarushwa na vituo vya Television vikionyesha athari za madawa ya kulevya,mauji ya Tembo,watoto kukaa chini mashuleni n.k.

Kwa mfano,andaeni picha au video clip inayoonyesha watoto wanakaa chini mashuleni huku picha au clip hiyo ikiambatana na ujumbu kuwa ukichagua UKAWA mtoto wako hatokaa chini tena darasani n.k.

Pia mnaweza kutumia picha halisi za wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoandamana kwa kukosa/kucheleweshewa mikopo yao na picha hizo zikaandamana na ujumbe unaoweza kusome: "epukana na adhaa hii kwa kuchagua UKAWA/CHADEMA kwani tutatoe elimu bure mpaka chuo kikuu".

Kama kuna watu wataolalamika muwambie wajirekebishe kwanza kabla ya kuendelea kulalamika.

Mwisho,Lowassa na wewe funguka kwa unayoyajua kuhusu wanaokushambulia.

Muhimu:
Matangazo au picha hizo zisivunje sheria za nchi na sheria za uchaguzi bali zilenge kufanya campaign bila kukiuka sheria kwa kuonyesha uhalisia wa mambo yalivyo katika nchi yetu.

Mnaweza pia kuwasiliana na Tume ya Uchaguzi pamoja na TCRA kabla ya kutumia picha hizo ili kupata baraka za Taasisi hizo ambazo zinazohusika na mambo haya.

Acha utoto, cc hatuchagui chama, cc tunachagua kiongozi safi na makini, nyie mnaochagua chama ndo tatizo nchini, kwa hiyo ndo maana mmechukua fisadi mkuu kwa maana ya kuchagua chama sio, achaneni mambo ya kijinga kiasi hicho, na hicho kihele hele chenu ndo kimewafikisha hapo, ww unajua kabisa kwamba huyu ni muathirika na unashauliwa kutumia condom ww huvai condom unategemea nn? mlikuwa na viongozi wazuri sana ila kwa ajili ya tamaa ya pesa ndo imeifikisha hapo chadema na UKAWA, mabango yanakusaidia nn kama ww una fisadi sugu? mbona hata kwenye mikutano yao hawazungumziu rushwa na ufisadi, wewe huyaoni hayo? Nyie wachagua chama mtajikuta mnabaki wachache na hao wapiga dili wenu.
 
Zile clip zenu mnazorusha star tv zinawasaidia nini?Kwanini nyinyi tu na sio sisi?Tangu lini mtu kama wewe ukatutakia mema?!Shut up!
 
Tatizo zile clip za kumuita Lowassa Fisadi na matusi mengi yasiofaa zikianza kutumika sijui CHADEMA wataficha sura zao wapi. Zipo nyingi saaana. hasa za bungeni. ni hatari...!!
 
Back
Top Bottom