kilimbamula
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,792
- 853
Siasa ni sayansi. Uzushi na kupakaziana hakufai.
sasa hiyo inasaidia nini. yote hayo ni matunda ya rushwa na maadili kwa ujumla. kwa kuwakumbatia wagombea wa ccm waliokatwa kwa ufisadi kama wagombea wenu hamna tena moral authority. wenzenu watasema japo tumewatimua na nyinyi mmewanyakua..hamna cha kufanya fungeni mdomo kuhusu ufisadi.Wana-Ukawa huu si muda wa kuendelea kulalamika bali tunapaswa kujibu mapigo kwa vitendo.Tunalalamika,hakuna hatua za maana zinazochukuliwa na mwisho wa siku tutajikuta tumeshachelewa.
UKAWA andaeni video clip,mabango n.k vikionyesha Twiga anapandishwa ndege,tembo wanauwawa n.k pasipo kuhusisha picha hizo na jina la chama chochote cha siasa ila mkiwataka wananchi kwa kutumia picha hizo pamoja na maandishi kwenye mabango hayo wasichague chama kinachofumbia macho vitendo vya aina hiyo.
Mnaweza pia kuandaa video clip na mkazilipia zikarushwa na vituo vya Television vikionyesha athari za madawa ya kulevya,mauji ya Tembo,watoto kukaa chini mashuleni n.k.
Kwa mfano,andaeni picha au video clip inayoonyesha watoto wanakaa chini mashuleni huku picha au clip hiyo ikiambatana na ujumbu kuwa ukichagua UKAWA mtoto wako hatokaa chini tena darasani n.k.
Pia mnaweza kutumia picha halisi za wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoandamana kwa kukosa/kucheleweshewa mikopo yao na picha hizo zikaandamana na ujumbe unaoweza kusome: "epukana na adhaa hii kwa kuchagua UKAWA/CHADEMA kwani tutatoe elimu bure mpaka chuo kikuu".
Kama kuna watu wataolalamika muwambie wajirekebishe kwanza kabla ya kuendelea kulalamika.
Mwisho,Lowassa na wewe funguka kwa unayoyajua kuhusu wanaokushambulia.
Muhimu:
Matangazo au picha hizo zisivunje sheria za nchi na sheria za uchaguzi bali zilenge kufanya campaign bila kukiuka sheria kwa kuonyesha uhalisia wa mambo yalivyo katika nchi yetu.
Mnaweza pia kuwasiliana na Tume ya Uchaguzi pamoja na TCRA kabla ya kutumia picha hizo ili kupata baraka za Taasisi hizo ambazo zinazohusika na mambo haya.
Wana-Ukawa huu si muda wa kuendelea kulalamika bali tunapaswa kujibu mapigo kwa vitendo.Tunalalamika,hakuna hatua za maana zinazochukuliwa na mwisho wa siku tutajikuta tumeshachelewa.

Tumezidi kulalamika kuliko kuwa wabunifu!