Psychologists have determined that overconfidence causes people to overestimate their knowledge, underestimate risks, and exaggerate their ability to control events.
Nimekuwa nikifuatilia kwa kina matukio na mijadala inayohusu kampeni za uchaguzi mkuu unaoendelea na nimegundua kuwa wapenzi ana mashabiki wa ukawa wanajimini kuliko kiwango hali inayowapunguzia ari ya kujituma. Matahalani kwanini hatujiulizi ni kwanini wanawake wengi wanahidhuri mikutano ya kampeni ya Mhe Magufuli kupita ya Mhe Lowassa?
Aidha tunashindwa kutumia vyema baadhi ya matarajio ya wapiga kura kama vile suala la Tanganyika, Katiba Mpya na kuwakumbusha wapiga kura matukio mbali mbali ya ufisadi yaliyotokea wakati wa utawala wa JK na kuwafafanuliwa wapiaga nkura jinsi yalivyowaathiri kijamii na kiuchumi