UKAWA: Tanzania sio Dar-es-salaam tu

UKAWA: Tanzania sio Dar-es-salaam tu

iArmaniAdamson

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
944
Reaction score
289
Kwa muda wa mwezi sasa, Lowassa amekuwa akitembea Dar mara moja kila week? kwani sehemu nyingine hakuna Watanzania? au hali ni mbaya?
 
Umeisoma ratiba ya mikutano yao? Unaifahamu? Nadhani tusikimbilie kutoa mahitimisho wakati hatujui hata ratiba wala mpango kazi wao wa ushindi. Kumbuka wanafanya kampeni za akili na sio fiesta na kupiga push ups. Tutofautishe mambo
 
We chizi kweli ..lowasa kabakisha mikoa ya mwanza mara mbeya na arusha ...na week hii anaanza mwanza na mwanza atakwenda zaid ya mara 3 pamoja na mbeya na arusha...dar kuna kura 4 million ...halafu jarb kuangalia ratiba
 
Mtoa Mada Hajui lolote,Kwa takwim Dar Ndio Ushindi....Wapiga Kura zaidi ya 3m lazima asichrze Mbali.
 
Wana UKAWA wanasema Lowassa anakubalika zaidi mjini, Magufuli anakubalika zaidi vijijini.

KWA TAARIFA YENU, watanzania asilimia 13% tu ndio wako mijini, hiyo iliyobaki asilimia 87% wako vijijini, kwanini msingeenda kukaa huko vijijini zaidi? kama ratiba yenu ndio hii ya mikutano mitatu mitatu Dar, basi CCM ndio mana hata hawajishughulishi sana. kweli uchaguzi huu ni rahisi kwa ccm kuliko 2010. Dr. Slaa akili kubwa ulienda wapi uuuuuuuuwi !!!

- Msemaji Huru
 
Mtoa mana unaumwa akili.kwani ukawa ni lowasa tuu.mikutano inayotangazwa na isiyo tangazwa ipo dar tu
 
Mtoa mana unaumwa akili.kwani ukawa ni lowasa tuu.mikutano inayotangazwa na isiyo tangazwa ipo dar tu

hivi unadhani UKAWA wamemchagua Lowassa kuwa mgombea kwasababu ya sera nzuri? haukumbuki Lipumba alijitoea kwasababu UKAWA wamekengeuka na kuacha sera na itikadi zao na kumweka mtu kwasababu ya ushawishi.

amini usiamini, kama Lowassa asingekuwa mgombea UKAWA, tungewasahau wana UKAWA.
 
Peleka pumba huko. Ratiba ya Ukawa unaijua? Mbinu za Ukawa za kumkaba Adui unazifahamu? Sayansi wanayotumia UKAWA imeshawatoa magamba knockout. Brave genius UKAWA.
 
Wana UKAWA wanasema Lowassa anakubalika zaidi mjini, Magufuli anakubalika zaidi vijijini.

KWA TAARIFA YENU, watanzania asilimia 13% tu ndio wako mijini, hiyo iliyobaki asilimia 87% wako vijijini, kwanini msingeenda kukaa huko vijijini zaidi? kama ratiba yenu ndio hii ya mikutano mitatu mitatu Dar, basi CCM ndio mana hata hawajishughulishi sana. kweli uchaguzi huu ni rahisi kwa ccm kuliko 2010. Dr. Slaa akili kubwa ulienda wapi uuuuuuuuwi !!!

- Msemaji Huru[/QUOTE

Kijana,naomba uthibitishe kauli zako hizi za asilimia ya watu vijijini na mijini kwa takwimu na vielelezo toka sensa na nec
 
Hata huko mikoani lowassa anarukaruka kama njiwa. Mfano tanga kuna majimbo 11 yéyé kafanya kampeni majimbo manne ambayo ni tanga mjini.. Korogwe.. Muheza na bumbuli. Magufuli kafanya kampeni majimbo yote. Tanga waliojiandikisha ni 1.3m
 
Mkoa wa kigoma lowassa hakufika majimbo mengi. Mfano Jimbo la muhambwe na kigoma kaskazini kwa kijana wake serukamba
 
... watanzania asilimia 13% tu ndio wako mijini, hiyo iliyobaki asilimia 87% wako vijijini,..

Hizi asilimia ni kwa mujibu wa utafiti wa TWAWEZA? Au ni kwa mujibu wa takwimu uliyofundishwa darasa la 6 mwaka 1975? Ukweli ni kwamba kwa sasa Mji wa Dar tu ina 11% ya population ya TZ. Hizi data zipo wazi tu .. nata uki'google utajigundua kwamba unaongopa
 
Umeisoma ratiba ya mikutano yao? Unaifahamu? Nadhani tusikimbilie kutoa mahitimisho wakati hatujui hata ratiba wala mpango kazi wao wa ushindi. Kumbuka wanafanya kampeni za akili na sio fiesta na kupiga push ups. Tutofautishe mambo

sihitaji ratiba, ratiba yenyewe inabadilishwa kila kukicha kwasababu ya hali ya mgombea wao. sindano za masaa.
 
Back
Top Bottom