UKAWA: Tanzania sio Dar-es-salaam tu

UKAWA: Tanzania sio Dar-es-salaam tu

Ha ha ha ha au mingne anafanya babu duni?? Simskii amepumzika nn??
 
Kwa muda wa mwezi sasa, Lowassa amekuwa akitembea Dar mara moja kila week? kwani sehemu nyingine hakuna Watanzania? au hali ni mbaya?

Kaka katik sehemu ambazo wabunge wa ukawa wanahali mbaya mkoa wa dsm ni mmoja wapo....mnyika na kibamba yake yupo hoi....mdee naye hali tete .....kubenea anapumulia mashine....ukonga hawaelewani kati ya cuf na cdm...act anawapeka kasi......hivyo akipita huyu el anakuwa na idadi kubwa ya watu ndipo wanapata ahueni
 
Kosa alilofanya Dr. Slaa 2010 ni kutofika mikoa yote. Yeye alijikita kule Chadema walipokuwa na nguvu. Huyu Lowassa ameweka mikoa yenye nguvu kiporo!
Pia mgombea mwenza wake 2010 hakuwa na nguvu bara na visiwani. Mwaka huu mgombea mwenza ni mwanasiasa mahiri na atasaidia kuleta kura Zanzibar na mikoa ya kusini!
Wadhungu wanasema "You do the math"

Lowassa ameweka mikoa yenye nguvu kiporo? Kila weekend yuko Dar, anafanya mikutani mitatu kwa siku na hapo ndio ngome yao kubwa, maana Dar wahanga wa uchumi ndio wako hapo kuhiji.

2010 hawakuwa na pesa, na usiku 2015 pesa ya Lowassa ni ya kupima pia either sindano za masaa au pesa imekamata.
 
usijitoe ufahamu wewe angeenda vijijini bado ungekuja hapa utuambie watz wengi wapo mjini! mwaka huu mmeshikwa pabaya

haha, kuna nchi duniani yenye ukubwa kuanzia kilomita 15,000 miraba na watu wengi wanaishi mijini ??

nchi yoyote kubwa zaidi ya hivyo lazima zaidi ya 70% wawe vijijini. na huko ndio hakubaliki, au ni access kwa daktari?
 
Wakaskazini wenzie wako wengi dar na ndo maana akizidiwa mikoani anarudi mjini kuzmua ..so far hata yeye alishasema mikoani hafahamiki ..mwaka huu lao
 
Ni trick nzur sana kuja Dar several times kwa sabab watu wengi wa Dar wana ndugu vijijin so unapowapa sumu watu wa dar watazisambaza huko interior na kuhamasisha na ikifika tym ya kwenda huko inakua ni kazi rahis kama kumsukuma mlevi....
 
Dar kuna kero kuu 3
1~Makazi holela

2~ Foleni

3~ Kero ya maji
 
ila huu ushindi huu unaoelekea CCM, umesababishwa na mambo makuu mawili :-


1. Tanzania bado ni vijijini zaidi
2. CCM ni kila kitu kwa sasa kioganizesheni
 
Back
Top Bottom