UKAWA: Tanzania sio Dar-es-salaam tu

UKAWA: Tanzania sio Dar-es-salaam tu

Kwa muda wa mwezi sasa, Lowassa amekuwa akitembea Dar mara moja kila week? kwani sehemu nyingine hakuna Watanzania? au hali ni mbaya?

for sure huna kumbukumbu na hujui usemalo

kampeni zina zaidi ya wiki tano, je ameshakuja mara tano hapa dar??
 
Nyie mnaojua ratiba si mseme sasa,au ndio 'makakati' watu hawatakiwi kujua?
 
Lowasa anafanya kampeni za kijanja zenye Akili sana hapo Tanga atarudi tena mikoa yote alikoacha majimbo atapita kote haachi kitu.

haha eti ameruhusu walioletwa kutoka Arusha na Kilimanjaro warudi tena ndio aende Tanga.

KUNA KITU SIO BURE, HAWEZI KUTEMBELEA DAR KILA WEEKEND.. hahaha
 
duh.. mbona unajichanganya mwenyewe? si ulizungumzia % ya population? au unataka kutudanyanya tena kwamba watoto wengi wanaishi mijini kuliko vijijini?

wewe kweli ni Cynic. jibu unalo ila basi kama jina lako umeamua kuuliza. au unataka nikudanganye?
 
Kama tujumlisha na zile alizokua akitembea/kudhurura mitaa,mbagala,tandale na g/mboto..uzinduzi..na ile ya ubungo kimara kabla ya hii basi mtoa mada anaweza kuwa sahihi
 
Wana UKAWA wanasema Lowassa anakubalika zaidi mjini, Magufuli anakubalika zaidi vijijini.

KWA TAARIFA YENU, watanzania asilimia 13% tu ndio wako mijini, hiyo iliyobaki asilimia 87% wako vijijini, kwanini msingeenda kukaa huko vijijini zaidi? kama ratiba yenu ndio hii ya mikutano mitatu mitatu Dar, basi CCM ndio mana hata hawajishughulishi sana. kweli uchaguzi huu ni rahisi kwa ccm kuliko 2010. Dr. Slaa akili kubwa ulienda wapi uuuuuuuuwi !!!

- Msemaji Huru

Kosa alilofanya Dr. Slaa 2010 ni kutofika mikoa yote. Yeye alijikita kule Chadema walipokuwa na nguvu. Huyu Lowassa ameweka mikoa yenye nguvu kiporo!
Pia mgombea mwenza wake 2010 hakuwa na nguvu bara na visiwani. Mwaka huu mgombea mwenza ni mwanasiasa mahiri na atasaidia kuleta kura Zanzibar na mikoa ya kusini!
Wadhungu wanasema "You do the math"
 
Sasa sielewi kama kila siku kutafungukiwa thread ka hizi je maanake nini?

Naomba mfungue thrd hizi.

UKAWA: Tanzania sio Dar-es-salaam tu
UKAWA: Tanzania sio Mwanza tu
UKAWA: Tanzania sio Arsha tu
UKAWA: Tanzania sio Mbeya tu
UKAWA: Tanzania sio Iringa tu
UKAWA: Tanzania sio Kilimnjaro tu
UKAWA: Tanzania sio Tanga tu
UKAWA: Tanzania sio Morogoro
UKAWA: Tanzania sio Dodoma tu.............................................mlizieni wengine
 
Kwa muda wa mwezi sasa, Lowassa amekuwa akitembea Dar mara moja kila week? kwani sehemu nyingine hakuna Watanzania? au hali ni mbaya?
Lowasa Ratiba yake nimeikubali sana anatumia akili kwa hizi moves zigzag ya ukweli
 
Ungejua maneno hayo "i think therefore iam", usinge andika kitu kama hicho. Tena Ungejua marekani ndio na hicho kizee chenu mbali mno. Pole. Fikiria ili uwe wewe.

Nafkl IQ yako ndogo sana njoo tukusaidie mdogo wangu inaonekana hata ajla huna then unapiga story za Hapa kazi tu...intelligencia hapa imeshakusoma na nimepitia comment zako zote ulizowah kucomment zinaonesha jins gan uwezo wako wa kufkl mdogo.umejifanya English inapanda nimekudesh unaleta uswahili pole dogo Hujui chochote kuhusu Tz hata Id yako ni ya juz tu JF....usi quote tena ntakupoteza town dogo.
 
Wana UKAWA wanasema Lowassa anakubalika zaidi mjini, Magufuli anakubalika zaidi vijijini.

KWA TAARIFA YENU, watanzania asilimia 13% tu ndio wako mijini, hiyo iliyobaki asilimia 87% wako vijijini, kwanini msingeenda kukaa huko vijijini zaidi? kama ratiba yenu ndio hii ya mikutano mitatu mitatu Dar, basi CCM ndio mana hata hawajishughulishi sana. kweli uchaguzi huu ni rahisi kwa ccm kuliko 2010. Dr. Slaa akili kubwa ulienda wapi uuuuuuuuwi !!!

- Msemaji Huru

usijitoe ufahamu wewe angeenda vijijini bado ungekuja hapa utuambie watz wengi wapo mjini! mwaka huu mmeshikwa pabaya
 
It is UN week in New York and all eyes are seemingly focused on Russia, Syria and ISIS. I will leave it to better-informed pundits to decide if President Putin outplayed President Obama. However, I can tell you that in this dangerous environment the US and the West need to line up as many allies as they can. Nowhere is that more apparent than in Africa, a continent plagued with poverty, corruption and radical Islamist yet blessed with resources, a determined populace and some of the fastest growing economies on earth.
Unfortunately, in Africa it is a rare instance to see smooth, democratic transitions of administrations, so when they happen it should be big news. Perhaps world events have forced attention away from one place the world needs to focus on right now, Tanzania. I’m here to ask you to pay close attention as a lot is at stake.
Tanzania will have a presidential election on October 25. Ordinarily, this might not be front-page news in the West but this election is different; it is actually being well contested, the incumbent party — in power since independence from Great Britain might actually lose and the geopolitical stakes are at the highest point ever.
Current president J.K. Kikwete attempted to hand pick his successor, this is no surprise as corruption and mishandling of off shore gas tenders has cast a suspicious shadow over his two terms in office. His party CCM had an insurgency that attempted to take over the party and clean house. While the rebellion had many factions, the largest belonged to former Prime Minister Edward Lowassa.
When it became apparent that Lowassa would get the party’s nomination, Kikwete used all of his political muscle to get Lowassa off the intra-party ballot. As a result, rather than secure the nomination for his own choice the party selected Minister of Public Works Dr. John Pombe Magafuli. The best way to describe this is to imagine President Obama putting all of his muscle behind Bernie Sanders in order to stop Hillary from getting the nomination but in the end the party chooses Martin O’Malley. Who is Martin O’Malley you ask? Exactly! Well, just so you know, O’Malley is a competent, former governor of Maryland with a mixed record, currently polling at 1% name recognition that is running as a Democrat for president.
Now, imagine the above scenario, but instead of taking it on the chin, Hillary bolts and runs as the Republican nominee, vowing to break gridlock in Washington and uniting the country. Suddenly an election that all data showed was going to be a Democratic landslide proves to be too close to call. In Tanzania, Lowassa joined a confederation of opposition parties heading the ticket and has sparked what experts believe will be the closest election ever on the African continent. That is not only headline worthy, it’s a political tsunami.
Who is Edward Lowassa? For starters he is a reformer who cannot be bought. He is a patriot who seeks to negotiate better and fairer terms for his country from foreign investors. He is a successful businessman who looks to the West (not just China) to assist one of the fastest growing economies in the world build its infrastructure. He is a free market democrat, an eloquent spokesman for his people and a charismatic and popular leader who is attracting record crowds while he travels the country and stumps for office.
Most importantly to us in the West, he is someone who can be relied on to be a bulwark against the spread of ISIS, Boko Haram and Al Quaida. He is a unifier and a known quantity. He is experienced, well known and popular. He has a proven record of governance and maverick ideology.
Lowassa is so popular and is making such inroads that the incumbent party has taken to payoffs, corruption, collusion and dirty tricks to try and stem the Lowassa tidal wave from landing. Lowassa’s strategy to fight back is to win by the biggest margin possible so his opponents cannot steal the election from him.
I have spent enough time in Tanzania to know no matter the outcome of the election the country’s strong willed, peaceful people will be not allow their homeland to sink into chaos but I do know they will be better served with a new face and that new face is the very familiar Edward Lowassa.

Lowassa draws record crowds throughout Tanzania while campaigning. This election is expected to be the closest ever in Africa.

We believe lowassa he will take over
Siku nyingine ukiiba makala za wengine jitahidi kuweka anagalau chanzo.
 
Nafkl IQ yako ndogo sana njoo tukusaidie mdogo wangu inaonekana hata ajla huna then unapiga story za Hapa kazi tu...intelligencia hapa imeshakusoma na nimepitia comment zako zote ulizowah kucomment zinaonesha jins gan uwezo wako wa kufkl mdogo.umejifanya English inapanda nimekudesh unaleta uswahili pole dogo Hujui chochote kuhusu Tz hata Id yako ni ya juz tu JF....usi quote tena ntakupoteza town dogo.

# hapa ni kazi tu. majivuno, matusi, ni Ukawa. Babu yenu Huyo bebeni. Dhambi ya kumtukana Dr.slaa na ndie amekifikisha chama hapo, kwa ajili ya tamaa ndio dhambi ile ile itakavyo wala. Baada ya uchaguzi haya yote mtakuwa mmefunga midomo. # hapa ni kazi tu.
 
Kwa muda wa mwezi sasa, Lowassa amekuwa akitembea Dar mara moja kila week? kwani sehemu nyingine hakuna Watanzania? au hali ni mbaya?

Umetoka bafuni na taulo wakimbilia kuandika Topic. Kaa chini tuliza akili. Omba ratiba kama huna upewe.
 
Ukawa wanapenda misifa ya kijinga ya kuonekana kwenye TV wamejaza watu mikutanoni na wengine wanazimia, hii itawagharimu.Angalau wajifunze kwa ACT wazalendo wanavyofanya kampeni zao huko vijijini
 
Ukawa hakuna ratiba.kila kitu vululu vululu mgombea akitamani mafuriko ya kupanga anaamua tu
 
Back
Top Bottom