UKAWA sasa IKAWA?

wewe fuatilia vyama vya marekani huko maana sijui kama unachangia kodi(PAYE,VAT, mapato,etc) hapa Tanzania. Sifa zimepanda kichwani unaona mawazo yako tuu ndio sahihi...angalau basi ungekuwa unapambania ukiwa hapa Tanzania lakini unapambana kwa kutumia keyboard ukiwa ndani ya kiyoyozi kwenye nchi ya dunia ya kwanza!
 
MMM huwezi amini kama ni wewe unatoa analysis hii nakuiponda UKAWA badala ya kupambana na changamoto zinazojitokeza ndani ya UKAWA.

Mkuu MMM wewe na Dr. Slaa kaeni pembeni sis tutafanya maamuzi wenyewe, na hakika tumeamua MABADILIKO!!!!!!!!!!!!!

Hii ya Mzee Mwanakijiji sio analysis (uchambuzi); ni simulizi (narrative). Uchambuzi ni lazima utawaliwe na hoja zenye mantiki na hatimae kufikia hitimisho lenye mantiki (logical arguments and conclusion). Ni bahati mbaya sana MM ana tatizo linaloitwa 'cognitive bias' linalomfanya asiwe tofauti na akina Nape, Kibajaji na yule mwanamke Mzanzibari wa Bunge Maalum la Katiba aliyesema hawawezi kutoa nchi kwa njia ya karatasi.
 
Wafuasi wa hili dubwasha wangekuwa na nia njema kwanza wangejiuliza Lowassa kama chanzo cha hii migogoro yote amefanya nini kujaribu kuizua au kuitatua migogoro hii? Baada ya kujiuliza hilo na kutafakari watabaini kuwa Lowassa hana mpango wowote wa kuimarisha upinzani, yeye anaendeshwa na ego yake tu.
 
"Tunaposhuhudia mamia ya wanachama wa CCM wanapoanza kukikimbia chama hicho kimsingi tunashuhudia kuharakishwa kwa kutimilika kwa unabii huo. Wanachama hawa wanakubali alichosema Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kuwa “CCM si mama yangu”.
By Mzee Mwanakijiji
 
Kwa kweli magufuli ni mzalendo,mchapa kazi,ana maono,sio fisadi na ni kiongozi shupavu,anatufaaa sanaaa
 

Mkuu, leo nilipata nafasi ya kuongea na wafuasi wa IKAWA, nilijikuta nacheka sana maana kitu walichokuwa wanakikazania kukitetea tafsiri yake ni kuwa hakuna UMOJA kati yao, yaani ni kama muungano fulani wa wajanja kuwaingiza mkenge wenzao.
 

mkuu nadhani kuna kitu cha msingi hukielewi, CCM kukimbiwa tu na wanachama wake hakutoshi bali "aina ya wanachama wanaokimbia" ndo cha msingi, matahalani mtu kama Chenge kukimbilia Chadema, hapo kuna substance???
 

Kumbe! Basi bila shaka he doubles as a CCM's PAID INTERNET TROLL. Tumpuuze!
 

Mkija na majibu ya Escrow Stanbic, EPA namengineyo Labda tunaweza japo kutathmini.
 


ndumila kuwili ukiendelea kugeukageuka nyuma mwishowe utageuka kuwa jiwe la chumvi........
 
Mchawi wa ukawa ni pesa sasa ni dhahiri wanachopigania sasa ni kupunguza tofauti ya kushindwa
 

Lowassa chaguo la wengi
 
Kabla yakubwabwaja yooote haya, nafsi yako irudishe kwa Ccm.

Je bado kwaupeo wako unaamini kwamba nikile chama cha wakulima nawafanyakazi??

Ukipata jibu ukajiridhisha ndo ucomment ktk Ukawa.
 

Mkuu nimekuelewa, jambo la muhimu hapa tufanye uchaguzi wa haki na huru...matokeo yaheshimiwe.
Kauli kama zile za m/kiti wenu wa wazazi ndizo zinazotia shaka! Tanzania salama inahitajika hata baada ya uchaguzi.
 

Uchumia tumbo at work.
 
MMM....stands for Mama Mja Mzito...I gues yuko labor for now. Akishatoka huko baada ya October 25 atapewa taarifa na Mamajusi kuwa Taifa lishakombolewa.

Hatuongozwi kwa mihemuko na fikra binafsi. He is too low to personalize our mind set -for those who are ready for MABADILIKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…