huitakii mema nchi yetu bora ukae kimya kwa sasa
Too low Mwanakijiji, kwani pilipili usioila yakuwashia nini?
Kura yangu ni mabadiliko.
Sio muungano wa Kilaghai tuliutarajia wengi, sio muungano wa kusigina Democrasia, kwa hali ilivyo sasa utaita muungano au "Genge" no planning, no strategy, no leadership..no reasoning, no motive, no ambitions, no mission, no vision ni uhuni na utapeli wa hali ya Juu, Chadema ikishinda uchaguzi Tz itakua ni Nchi inayoongozwa na Majuha Duniani elewa katiba iliyopp niya 1977 hebu nipangieni Baraza la Mawaziri la hawa matapeli usinitajie Mnyika,Sugu, Nyerere, Mbowe,Msigwa, Lema etc hawana sifa zote za kua viongozi.
Hao wasomi wako wamesaidia nini for the past 54 years?
Wasomi style ya akina Kapuya, Kawambwa, Tibaijuka and the likes?
Hao uliowataja ni viongozi tena wanajitosheleza kabisa...na kama wakihitaji technical advice, wapo wasomi wanaojielewa kama akina Prof Baregu watasaidia kama wanavyosaidia sasa.
Spidi bila breki, utaishia mtaroni!!!Too low Mwanakijiji, kwani pilipili usioila yakuwashia nini?
Kura yangu ni mabadiliko.
Sio muungano wa Kilaghai tuliutarajia wengi, sio muungano wa kusigina Democrasia, kwa hali ilivyo sasa utaita muungano au "Genge" no planning, no strategy, no leadership..no reasoning, no motive, no ambitions, no mission, no vision ni uhuni na utapeli wa hali ya Juu, Chadema ikishinda uchaguzi Tz itakua ni Nchi inayoongozwa na Majuha Duniani elewa katiba iliyopp niya 1977 hebu nipangieni Baraza la Mawaziri la hawa matapeli usinitajie Mnyika,Sugu, Nyerere, Mbowe,Msigwa, Lema etc hawana sifa zote za kua viongozi.
Wewe mwana haramu unadhani hutafika uzeeni? Watoto wa kizazi cha IKIWA wengiwao vichwavyao vimejaa utupu
Wewe babu unahangaika tokea Eddo atue Chadema badala ya kujishughulisha na shughuli zako za kukosha vikongwe huko ugaibuni unafikiri utabadilisha watu kwa vithread vyako? endelea kutunga riwaya za mapenzi uwauzie na wakina babu slaa wajifunze kuishi na wake vizuri badala ya kutawaliwa
Lowasa haitakii mema nchi yetu.
Wewe babu unahangaika tokea Eddo atue Chadema badala ya kujishughulisha na shughuli zako za kukosha vikongwe huko ugaibuni unafikiri utabadilisha watu kwa vithread vyako? endelea kutunga riwaya za mapenzi uwauzie na wakina babu slaa wajifunze kuishi na wake vizuri badala ya kutawaliwa
Dubwasha hili linaundwa na vyama vinne; vitatu kati ya hivyo ni vikubwa na vina historia ndefu tu ya upinzani Tanzania. Nimeliita "dubwasha" siyo kama kejeli bali ni kitu ambacho huwezi kukielezea kikaeleweka. SIyo chama, siyo muungano, siyo umoja ni ushirikiano tu fulani hivi ambao unataka kutuaminisha kuwa unataka kuja kuongoza Taifa. Kwa muda mrefu wapo watu ambao wameushabikia sana kiasi kwamba wanafikiria UKAWA ni kama chama cha siasa fulani hivi au kina mgombea au wagombea katika Uchaguzi. Kumbe UKAWA siyo chama cha siasa na hakina wala hakiwezi kuwa na Ilani, Sera, wagombea n.k.
Lakini ambacho kimethibitika mapema sasa na wengine tumeonya tangu kuundwa kwa hili dubwasha ni kuwa UKAWA unajiandaa kutuletea matatizo; tayari mengine tumeyaona na mengine yameashiriwa tu. Baada ya uongozi wa NCCR-Mageuzi nao kuja na kulalamikia dubwasha hili nimejikuta nikisema kuwa hili sasa siyo tena UKAWA bali ni IKAWA
UKAWA sasa imekuwa ni IKAWA! Vyama vitatu vinavyounda ushirikiano huu wenye mashaka tayari vimekuwa na matatizo na viongozi wao wajuu kisa UKAWA. Imekuwa hivyo kwa CHADEMA - na kuondoka kwa Dr. Slaa - Katibu Mkuu, CUF - kwa Prof. Lipumba (Mwenyekiti) na sasa NCCR-Mageuzi na malalamiko ya Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu kuhusiana na dubwasha hili.
Kimsingi sasa UKAWA imekuwa IKAWA kwani itakuwa ni shida nyingine ambayo hata hatujaifikiria sana; kwamba tayari vyama hivi vina migogoro ya ndani kuhusiana na ushiriki wao kwenye UKAWA na wengine kwa maamuzi ya kusimamisha wagombea mbalimbali. Ngoma yote itakuwa chungu pale baada ya Uchaguzi vyovyote itakavyokuwa - wakishinda CHADEMA na wagombea wake au wakishindwa kutakuwa na matokeo kwenye vyama hivi vikuu.
Fikiria kwa mbali tu ije itokee wajaribu kuunda Baraza la Mawaziri...!!!
Wanachama wa vyama hivi huko waliko nina uhakika wanaangalia kwa makini yanayoendelea kwenye vyama vyao; ukimya wao sidhani kama ni woga...
Na Itakuwa IKAWA kweli kweli...
NLD peke yao inaonekana ndio wamenufaika zaidi na dubwasha hili!
MMM