UKAWA sasa IKAWA?

UKAWA sasa IKAWA?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,092
Reaction score
43,265
UKAWA.jpg

Dubwasha hili linaundwa na vyama vinne; vitatu kati ya hivyo ni vikubwa na vina historia ndefu tu ya upinzani Tanzania. Nimeliita "dubwasha" siyo kama kejeli bali ni kitu ambacho huwezi kukielezea kikaeleweka. SIyo chama, siyo muungano, siyo umoja ni ushirikiano tu fulani hivi ambao unataka kutuaminisha kuwa unataka kuja kuongoza Taifa. Kwa muda mrefu wapo watu ambao wameushabikia sana kiasi kwamba wanafikiria UKAWA ni kama chama cha siasa fulani hivi au kina mgombea au wagombea katika Uchaguzi. Kumbe UKAWA siyo chama cha siasa na hakina wala hakiwezi kuwa na Ilani, Sera, wagombea n.k.

Lakini ambacho kimethibitika mapema sasa na wengine tumeonya tangu kuundwa kwa hili dubwasha ni kuwa UKAWA unajiandaa kutuletea matatizo; tayari mengine tumeyaona na mengine yameashiriwa tu. Baada ya uongozi wa NCCR-Mageuzi nao kuja na kulalamikia dubwasha hili nimejikuta nikisema kuwa hili sasa siyo tena UKAWA bali ni IKAWA

UKAWA sasa imekuwa ni IKAWA! Vyama vitatu vinavyounda ushirikiano huu wenye mashaka tayari vimekuwa na matatizo na viongozi wao wajuu kisa UKAWA. Imekuwa hivyo kwa CHADEMA - na kuondoka kwa Dr. Slaa - Katibu Mkuu, CUF - kwa Prof. Lipumba (Mwenyekiti) na sasa NCCR-Mageuzi na malalamiko ya Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu kuhusiana na dubwasha hili.

Kimsingi sasa UKAWA imekuwa IKAWA kwani itakuwa ni shida nyingine ambayo hata hatujaifikiria sana; kwamba tayari vyama hivi vina migogoro ya ndani kuhusiana na ushiriki wao kwenye UKAWA na wengine kwa maamuzi ya kusimamisha wagombea mbalimbali. Ngoma yote itakuwa chungu pale baada ya Uchaguzi vyovyote itakavyokuwa - wakishinda CHADEMA na wagombea wake au wakishindwa kutakuwa na matokeo kwenye vyama hivi vikuu.

Fikiria kwa mbali tu ije itokee wajaribu kuunda Baraza la Mawaziri...!!!

Wanachama wa vyama hivi huko waliko nina uhakika wanaangalia kwa makini yanayoendelea kwenye vyama vyao; ukimya wao sidhani kama ni woga...

Na Itakuwa IKAWA kweli kweli...

NLD peke yao inaonekana ndio wamenufaika zaidi na dubwasha hili!

MMM
 
the last minutes of your political heartbeats to stop ... UKAWA roars
 
Mkuu Mzee Mwanakijiji, ulikuwa ukitetea ustawi wa demokrasia na kutaka mabadiliko ya uongozi hapa Tanzania na kwingineko. Umekuwa ukiwataka wapinzani waungane ili wawe na nguvu kwenye uchaguzi na kuweza kuiondoa Serikali iliyo madarakani kwa njia ya kura. Leo hii unaita UKAWA dubwasha!? Nini kimekupata kaka? Ndawakiki wikita naa?

Mzee Tupatupa
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa nmwona huyu mtu kama mwanamageuzi kumbe ndo walewaleeeee,Kashindwa Slaa utakuwa wewe????? 150 B @WORK
 
Wewe zee upo huko marekani kwanza c mpga kura, cc tupo huku tz tunaiona hali halisi, kwa kweli ccm hawana chao.
 
UKAWA.jpg

Dubwasha hili linaundwa na vyama vinne; vitatu kati ya hivyo ni vikubwa na vina historia ndefu tu ya upinzani Tanzania. Nimeliita "dubwasha" siyo kama kejeli bali ni kitu ambacho huwezi kukielezea kikaeleweka. SIyo chama, siyo muungano, siyo umoja ni ushirikiano tu fulani hivi ambao unataka kutuaminisha kuwa unataka kuja kuongoza Taifa. Kwa muda mrefu wapo watu ambao wameushabikia sana kiasi kwamba wanafikiria UKAWA ni kama chama cha siasa fulani hivi au kina mgombea au wagombea katika Uchaguzi. Kumbe UKAWA siyo chama cha siasa na hakina wala hakiwezi kuwa na Ilani, Sera, wagombea n.k.

Lakini ambacho kimethibitika mapema sasa na wengine tumeonya tangu kuundwa kwa hili dubwasha ni kuwa UKAWA unajiandaa kutuletea matatizo; tayari mengine tumeyaona na mengine yameashiriwa tu. Baada ya uongozi wa NCCR-Mageuzi nao kuja na kulalamikia dubwasha hili nimejikuta nikisema kuwa hili sasa siyo tena UKAWA bali ni IKAWA

UKAWA sasa imekuwa ni IKAWA! Vyama vitatu vinavyounda ushirikiano huu wenye mashaka tayari vimekuwa na matatizo na viongozi wao wajuu kisa UKAWA. Imekuwa hivyo kwa CHADEMA - na kuondoka kwa Dr. Slaa - Katibu Mkuu, CUF - kwa Prof. Lipumba (Mwenyekiti) na sasa NCCR-Mageuzi na malalamiko ya Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu kuhusiana na dubwasha hili.

Kimsingi sasa UKAWA imekuwa IKAWA kwani itakuwa ni shida nyingine ambayo hata hatujaifikiria sana; kwamba tayari vyama hivi vina migogoro ya ndani kuhusiana na ushiriki wao kwenye UKAWA na wengine kwa maamuzi ya kusimamisha wagombea mbalimbali. Ngoma yote itakuwa chungu pale baada ya Uchaguzi vyovyote itakavyokuwa - wakishinda CHADEMA na wagombea wake au wakishindwa kutakuwa na matokeo kwenye vyama hivi vikuu.

Fikiria kwa mbali tu ije itokee wajaribu kuunda Baraza la Mawaziri...!!!

Wanachama wa vyama hivi huko waliko nina uhakika wanaangalia kwa makini yanayoendelea kwenye vyama vyao; ukimya wao sidhani kama ni woga...

Na Itakuwa IKAWA kweli kweli...

NLD peke yao inaonekana ndio wamenufaika zaidi na dubwasha hili!

MMM

IT masaki at work.
 
Hili ni genge la wasaka tonge na wameanza kuzulumiana.

Kapumzike Mwanakijiji katika ushirikiano wowote ule changamoto kama hizi lazima zitokee kwani hawa ni watu sio madebe!!! Cha msingi ni njia gani sahihi tunapaswa kuzitatua, tena mimi nawasifu hao kwa vile wameeleza hisia zao.
 
UKAWA.jpg

Dubwasha hili linaundwa na vyama vinne; vitatu kati ya hivyo ni vikubwa na vina historia ndefu tu ya upinzani Tanzania. Nimeliita "dubwasha" siyo kama kejeli bali ni kitu ambacho huwezi kukielezea kikaeleweka. SIyo chama, siyo muungano, siyo umoja ni ushirikiano tu fulani hivi ambao unataka kutuaminisha kuwa unataka kuja kuongoza Taifa. Kwa muda mrefu wapo watu ambao wameushabikia sana kiasi kwamba wanafikiria UKAWA ni kama chama cha siasa fulani hivi au kina mgombea au wagombea katika Uchaguzi. Kumbe UKAWA siyo chama cha siasa na hakina wala hakiwezi kuwa na Ilani, Sera, wagombea n.k.

Lakini ambacho kimethibitika mapema sasa na wengine tumeonya tangu kuundwa kwa hili dubwasha ni kuwa UKAWA unajiandaa kutuletea matatizo; tayari mengine tumeyaona na mengine yameashiriwa tu. Baada ya uongozi wa NCCR-Mageuzi nao kuja na kulalamikia dubwasha hili nimejikuta nikisema kuwa hili sasa siyo tena UKAWA bali ni IKAWA

UKAWA sasa imekuwa ni IKAWA! Vyama vitatu vinavyounda ushirikiano huu wenye mashaka tayari vimekuwa na matatizo na viongozi wao wajuu kisa UKAWA. Imekuwa hivyo kwa CHADEMA - na kuondoka kwa Dr. Slaa - Katibu Mkuu, CUF - kwa Prof. Lipumba (Mwenyekiti) na sasa NCCR-Mageuzi na malalamiko ya Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu kuhusiana na dubwasha hili.

Kimsingi sasa UKAWA imekuwa IKAWA kwani itakuwa ni shida nyingine ambayo hata hatujaifikiria sana; kwamba tayari vyama hivi vina migogoro ya ndani kuhusiana na ushiriki wao kwenye UKAWA na wengine kwa maamuzi ya kusimamisha wagombea mbalimbali. Ngoma yote itakuwa chungu pale baada ya Uchaguzi vyovyote itakavyokuwa - wakishinda CHADEMA na wagombea wake au wakishindwa kutakuwa na matokeo kwenye vyama hivi vikuu.

Fikiria kwa mbali tu ije itokee wajaribu kuunda Baraza la Mawaziri...!!!

Wanachama wa vyama hivi huko waliko nina uhakika wanaangalia kwa makini yanayoendelea kwenye vyama vyao; ukimya wao sidhani kama ni woga...

Na Itakuwa IKAWA kweli kweli...

NLD peke yao inaonekana ndio wamenufaika zaidi na dubwasha hili!

MMM

Mzee mwenzangu. Kuipigia ccm chapuo inahitaji ujitoe ufahamu wako, na kuvaa miwani ya mbao.

Kimsingi mzee mabadiliko ya kimfumo mwaka huu. Ni muhimu na hakuna wa kuzuia jambo hilo.

Vijana ambao waliaminishwa na ccm kwamba wao ni taifa la kesho. Sasa kesho yao imeshafika na sasa wanataka taifa lao.

Kwaiyo ni vyema heshima uliyo ichuma hapa jukwaani kwa muda mrefu. Basi ni vyema ukaisitiri comredi mwenzangu.

Yasije kukuta kama ya dr slaa kuvunja heshima yake kwa siku moja. Heshima Ambayo aliijenga kwa nguvu kubwa na kuaminiwa na walio wengi.

Lakini sasa heshima hiyo hako nayo tena hata hakipita maali watoto wadogo watamtema mate chini.
 
Mkuu Mzee Mwanakijiji, ulikuwa ukitetea ustawi wa demokrasia na kutaka mabadiliko ya uongozi hapa Tanzania na kwingineko. Umekuwa ukiwataka wapinzani waungane ili wawe na nguvu kwenye uchaguzi na kuweza kuiondoa Serikali iliyo madarakani kwa njia ya kura. Leo hii unaita UKAWA dubwasha!? Nini kimekupata kaka? Ndawakiki wikita naa?

Mzee Tupatupa

Sio muungano wa Kilaghai tuliutarajia wengi, sio muungano wa kusigina Democrasia, kwa hali ilivyo sasa utaita muungano au "Genge" no planning, no strategy, no leadership..no reasoning, no motive, no ambitions, no mission, no vision ni uhuni na utapeli wa hali ya Juu, Chadema ikishinda uchaguzi Tz itakua ni Nchi inayoongozwa na Majuha Duniani elewa katiba iliyopp niya 1977 hebu nipangieni Baraza la Mawaziri la hawa matapeli usinitajie Mnyika,Sugu, Nyerere, Mbowe,Msigwa, Lema etc hawana sifa zote za kua viongozi.
 
Last edited by a moderator:
MMM huwezi amini kama ni wewe unatoa analysis hii nakuiponda UKAWA badala ya kupambana na changamoto zinazojitokeza ndani ya UKAWA.

Mkuu MMM wewe na Dr. Slaa kaeni pembeni sis tutafanya maamuzi wenyewe, na hakika tumeamua MABADILIKO!!!!!!!!!!!!!
 
Sio muungano wa Kilaghai tuliutarajia wengi, sio muungano wa kusigina Democrasia, kwa hali ilivyo sasa utaita muungano au "Genge" no planning, no strategy, no leadership..no reasoning, no motive, no ambitions, no mission, no vision ni uhuni na utapeli wa hali ya Juu, Chadema ikishinda uchaguzi Tz itakua ni Nchi inayoongozwa na Majuha Duniani elewa katiba iliyopp niya 1977 hebu nipangieni Baraza la Mawaziri la hawa matapeli usinitajie Mnyika,Sugu, Nyerere, Mbowe,Msigwa, Lema etc hawana sifa zote za kua viongozi.

Eti hawana sifa za kuwa viongozi...hapo walipo tayari ni viongozi tena mahiri!
Acha kukaririshwa kijana...
 
Back
Top Bottom