UKAWA ona CCM na waendesha bodaboda

UKAWA ona CCM na waendesha bodaboda

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,203
Reaction score
25,378
Leo nikiwa maeneo ya beach tulivu ya ununio yapata saa 1830 nimekaa nikiangalia na kutafakali maisha yanavosonga, nyuma yangu walikaa wazee flani hv wakike na kiume, gafla nikasikia kijana mmoja akisema "…sasa wengine wanaagiza soda na wengine bia niwaruhusu au utakuja kulipa…" mh, nilishtuka ila nikasema ndani ya nafsi yangu labda wanavunja kamati au ni uchakavu kutokana na utaratibu wa vikao vya harusi.

Baadaya ya 8mins wale wazee sikuwaona pale nyuma yangu, niligeuka na kuangalia vizuri kulikuwa na pkpk bodaboda nyiiingii pembeni na kilichoendelea ni kusikia makofi na vinywaji vikigongana kwa pembeni palipokuwa na ukumbi hv, nlsogea na kusikia '… ccm ouyeee…' na maneno mengine ya kuwapa ushupavu vijana kuhusu uchaguzi kwa wao kutumika kwny kampen.

Nilipotaka kuingia nikaulizwa wewe pkpk yako iko wapi, nikazuga kama namuangalia jamaa yangu flani, kisha nikasepa.

Angalizo:
Ukawa kuweni macho na tambueni rafu wanazocheza wenzenu ccm si lelemama.
Kampeni gani usiku usiku…?
 
Leo nikiwa maeneo ya beach tulivu ya ununio yapata saa 1830 nimekaa nikiangalia na kutafakali maisha yanavosonga, nyuma yangu walikaa wazee flani hv wakike na kiume, gafla nikasikia kijana mmoja akisema "…sasa wengine wanaagiza soda na wengine bia niwaruhusu utakuja kulipa…" mh, nilishtuka ila nikasema ndani ya nafsi yangu labda wanavunja kamati au ni uchakavu kutokana na utaratibu wa vikao vya harusi.

Baadaya ya 8mins wale wazee sikuwaona pale nyuma yangu, niligeuka na kuangalia vizuri kulikuwa na pkpk bodaboda nyiiingii pembeni na kilichoendelea ni kusikia makofi na vinywaji vikigongana kwa pembeni palipokuwa na ukumbi hv, nlsogea na kusikia '… ccm ouyeee…' na maneno mengine ya kuwapa ushupavu vijana kuhusu uchaguzi kwa wao kutumika kwny kampen.

Nilipotaka kuingia nikaulizwa wewe pkpk yako iko wapi, nikazuga kama namuangalia jamaa yangu flani, kisha nikasepa.

Angalizo:
Ukawa kuweni macho na tambueni rafu wanazocheza wenzenu ccm si lelemama.
Kampeni gani usiku usiku…?
 
Mhh hii Kali

Mkuu Meno umeona eeh!
Alafu baadaye hao kina Ukawa waje waseme oooh tumeibiwa kura, oooh wasimamizi wetu wameongwa, oooh escrow isingeshinda. Sie tusio wanasiasa na kuwa na vyama tunawadadavulia ili mcheze uwanja mmoja, wasilale na wao. AMKENI.
 
Kumbuka (the power of approaching) inavotenda kazi, so unakula, unavishwa na kupewa maneno matamu baadaye unamtosa mh!!

Hatuwakatazi vijana kula ...kinachotakiwa ni kura
 
Tushausoma mchezo wao ccm hawana jipya

Kuna mchezo wa kuengua wagombea mlishausoma? Maana mnapofunguliwa mashtaka baadaye kwny kutaka kugombea nafasi ya kuhudumia jamii unakumbana na kipengele (awe hajawahi kushitakiwa popote kwa kosa la…!!)
 
Back
Top Bottom